Mbong'oaji katika ubora wako....Ni nani alimshauri Mzee Sumaye kuhamia CHADEMA?
Hakujua kuwa CHADEMA ina mwenyewe? Ninapatwa na wasiwasi kuhusu IQ yake!
Unamtingisha Mbowe halafu unategemea kubaki na cheo ndani ya chama chake! Thubutu!
Ninamuhurumia sana huyu Mzee!
Baada ya Uchaguzi ndani ya CHADEMA kuna uwezekano wa kufukuzwa au kuondoka CHADEMA hasa ikichukuliwa kuwa amechukua fomu kupambana na Mbowe katika kiti cha Mwenyekiti Taifa!
Wa jalalani ? Ndio walewale + Mhe Mbowe [emoji848][emoji848]kwa kabudi?
Ni kweli kama mtu ana mtandao wa kuua na kuteka kwanini asiogopwe .RIP Chacha wangwe!
digrii za class ya chini ni digrii gani ?Huhitaji hata kuuliza ufaulu wake lazima utakuwa wa kiwango Cha chini.Atakuwa na digrii zile za Bora digrii za class ya chini
Mkuu! Omba siku zote usiingie kwenye siasa. Hakika siasa ina kilevi (ediction). Usimlaumu kwa hili.Ila Kuna Watu Wana Tamaa Asee.
Hivi Sumaye Kuna Kitu Gani Hasa Bado Anakihitaji Kwenye Siasa ?
Hivi na Chadema wanaua wananchi wanaowapinga kama chama chetu kinavyofanya? "wasiojulikana"Sababu ni Mfalme mbowe a.k.a Mugabe a.k.a Museveni a.k.a Nkurunziza kaguswa
Majibu yake rasmi kapitie pitie wapinzani wa hao viongozi yanawakutaga nn ndo utajua.
CHADEMA NI GENGE LA WAPIGA HELA,WATAKUFINYANGA FINYANGA UTAPOINGILIA MASLAHI YA MATUMBO YAO.
Uwenyekiti wa chamaIla Kuna Watu Wana Tamaa Asee.
Hivi Sumaye Kuna Kitu Gani Hasa Bado Anakihitaji Kwenye Siasa ?
Watu wajifunze kuridhika na walichokwisha pata. A retired PM Leo unatafuta vyeo vya ajabu kwenye opposition? AibuUchaguzi uliofanyija Jioni hii Kibaha Pwani wa kumpata mwenyekiti wa Kanda ya pwani, Chadema umekanilika
Kwa nafasi ya Mwenyekiti, Mgombea alikuwa Mzee Sumaye Peke yake ndipo zikapigwa kura za Ndio au hapana
Matokeo: Kura za Ndio kwa Mzee Sumaye ni 28, na kura za Hapana ni 48
Hivyo, nafasi ya Mwenyekiti bado iko wazi!