Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

CHADEMA Wana double standards. Lowasa alipoingia CHADEMA kwa kuwa alikuwa na pesa hakupigiwa kura za ndio au hapana kukubaliwa kugombea uraisi
Lakini style ya upigaji kura sijaipenda. Yani mgombea yuko peke yake alafu eti mpige kura ya ndio au hapana? Nashauri vyama vingine visiige mtindo huu. Period.
 
Naomba usemacho kiwe kweli. Siafiki kabisa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm na sitamsupport kwenye nafasi hiyo, ila siko tayari kuona nafasi hiyo inaangukia kwa mwanaccm yoyote. Maana inaeleweka fika Sumaye sio mwanaCHADEMA, bali ni mwanaccm aliyeko likizo huko CHADEMA.
wewe ni nani
Kwa nini wamfukuze? Kama kweli kushindwa ngazi hiyo tayari mkakati wa kummaliza kisiasa umefanya kazi. CHADEMA imemalizana naye ki-hivyo. Imekula kwake. Hawahitaji kumfukuza.
kweli
 
Lakini style ya upigaji kura sijaipenda. Yani mgombea yuko peke yake alafu eti mpige kura ya ndio au hapana? Nashauri vyama vingine visiige mtindo huu. Period.
Mkuu huoni ndio demokrasia yenyewe!? Maana kuna kipindi hapa juzi kati walijadili wagombea kupita bila kupingwa isiwepo na badala yake zitapigwa kura za namna hii, kwa upande wangu huu utaratibu ndio mzuri hata akibaki mmoja watu wapige kura, watu tumeshindwa kupiga kura za juzi kati ni kwa kua limgombea limeletwa limoja tena miyeyusho, na halina mpinzani na utaskia limepita bila kupingwa..! Doohh...
 
MATOKEO YA MWENYEKITI CHADEMA KANDA YA PWANI 2019
S/NJINAKURA YAHAPANAKURA YA NDIOJUMLA
1NDUGU F. SUMAYE482876
 
Mi naona unaongozwa na chuki binafsi katika hili.
Ukiangalia kwa kina, chama chenyewe, utagundua wazi kua Cdm bila mh. Mbowe haijiwezi.

Mbowe ndiye ameijenga CDM, na kuweka rekodi kuliko binadamu yoyote yule.

Wewe unawakataa wana CCM lakini hapohapo Unaiunga mkono CCM katika kumkataa Mbowe asiwe mwenyekiti. Na CCM wanajua kua Mh.Mbowe ndiye Mwiba mkali kwa CCM. Mchungaji akipigwa Kondoo watatawanyika. Utaelewa tu. Muda ni Mwalimu Mzuri.

Naheshimu hoja zako, lakini kuniambia eti cdm bila Mbowe haijiwezi hiyo ni dhana potofu na ni kama kuokosea heshima cdm kama taasisi. Hilo kundi lote halina uwezo wa kuongoza cdm isipokuwa Mbowe tu! basi kama hilo ni kweli basi hicho sio chama bali watoto wa Mbowe wa kufikia. Sina kipingamizi wala sikatai mchango wa Mbowe mpaka hapo alipofikisha cdm, lakini mtu utawale chama zaidi ya miaka 15 huku chama kikiwa kikubwa, ushindwe kuaandaa succession plan, basi hao anaowaongoza ni mifugo na sio watu wenye akili na elimu.

Naona unasema nawakataa wanaccm ila naungana na ccm kumkataa Mbowe. Kwanza sina popote ninapoungana na wanaccm bali nasimamia utashi wangu na nina sababu zangu. Kama sababu zangu zinafanana na wanaccm hilo sio kosa langu, na wala siwezi kubadilisha utashi wangu eti kisa kuna wanaccm wanashabihiana na mitazamo yangu. Ninasema kuwa huu ni muda sahihi wa Mbowe kukaa pembeni kwani ameshafanya makubwa sana, na amekaa muda wa kutosha madarakani, si vibaya akipisha mtu mpya ili kupandisha hamasa na kuleta changamoto mpya. Hiyo ni demokrasia makini.
 
Mbona tulikuwa naye kwenye mahafali ya OUT tena alikuja na Escort.ya Polisi naona ameshawaacha solemba!
Ina maana hujui kwsmba waziri mkuu mstaafu anapewa ulinzi na serikali? Au unajitowa akili tu.
 
Safi sana,hii ndo demokrasia.I wish wamkatae Mbowe pia.
Tatizo Mbowe hana mshindani ni lazima ashinde kwa kishindo. Yule Cecil Mwambe kaingia Chadema na mafuriko ya Lowasa hata mimi ningekuwa mpiga kura siwezi kumchaguwa mtu from no where.
 

Baadhi ya wenye uwezo wa to read in between the lines, baadhi yao tuna uwezo to listen in between the lines kwa kumsikiliza mtu na kujua kilichomo moyoni mwake hata kama hajakisema.

Fredrick Sumaye mwisho wake Chadema umefika, kosa lake ni kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti, kitendo cha kusema amechukua fomu lakini hajaijaza, na sasa bado hajaamua aifanye nini kama ni kuichana chana, ni taarifa ya awali ya kwaherini Chadema.

Now its just a matter of time.

Naomba angalia tarehe ya bandiko hili na uanze kuhesabu siku kuanzia leo,


P
 
Juzi kulifanyika uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya pwani na mh. Waziri mkuu mstaafu alikuwa mgombea pekee kwa maana nyingine hakuwa na mshindani yaani ingekuwa serikal za mitaa angepita bila kupingwa lakin kilicho tokea ni kupigwa mueleka usio wa kawaida, baada ya kuambulia kula 23 kati ya 73.

Matokeo haya yanamaanisha nini je Chadema wenyewe kwa wenyew hawaaminiani? Je ni salam tu kwake kama anania za kutaka kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa bas jibu analo? Ama wamemchoka? Au ni mkakati wa CHADEMA kuwaondoa wale walio amia kwao kwa mbwembwe nyingi? Majibu ya maswali haya wanayo wenyewe CHADEMA.
Ila huu ni mwanzo tu tutasikia mengi sana kuelekea uchaguzi mkuu Taifa maana Chadema inawenyew na wenyewe ndo Chadema.

Kuiimba democracy ni rahis sana ila kuitekeleza ni habar nyingine..
 
Hili pandikizi bora lirudi kwao kwenye zizi la wasiokuwa na mikia.
 
Abdul Nondo,

Unajibu swali ambalo hujaulizwa!

Umeona swali ni gumu ukaamua kujitungia swali lako mwenyewe na kulijibu!

Hakun analogy ya aina yoyote!

Sumaye hakupitia kuteuliwa popote pale kwanza!

Alichukua fomu na kaenda kwenye sanduku moja kwa moja!

Sanduku limeongea kua halimtaki!

Ulivyo mpumbavu kupita maelezo unasema “kakatwa”?

Sanduku linakata mtu?

Kura hazikutosha,full stop!

Lawama wape wapiga kura basi kama vipi!

Na wewe kumlaumu mpiga kura ni uchizi kabisa!

Ndio maana ulipitapita kwa kufaulu marks za ugoko kumaanisha kwamba darasani ulikua hujui kujibu maswali kama ulivyoonesha hapa!
 
Back
Top Bottom