Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Naona CCM wengi ndio wanapanick
Si umeona hata Demokrasia ya uchaguzi wa serikali za mitaa ilivyofanya kazi?Nawaza wakipewa Nchi wanaweza kujenga Demokrasia ya Nchi ikiwa ya ndani tu imewashinda?
mwambie mkuu wenu MEKOHivi vyama vinavyopinga CCM havina strategy ya kushinda,kila chama kina mwenyewe.I wish kungekuwa na mgombea binafsi.
Sumaye huwa namuona kama ni mkakati wa Lumumba, bado simuamini kwenye hiko Chama.
sema tujipe Muda, Muda utaongea
Anarudi analia eeh!!!!!!Miaka 10 Uwaziri Mkuu na hakuna ulichoshindwa kufanya.
Mara unataka Tena Urais CCM.
Kura hazikutosha, unakimbilia Chadema kuutaka uwenyekiti na Uraisi kura hazitoshi unarudi CCM kugombea Tena Urais.
Kura hazitoshi.
Unaomba kujiunga ACT ili ugombee Urais, (huko utafukuzwa)
Mkapa alikufungukiaga wewe Kwamba.
"Wacha Ulofa" Rudi CCM na utulie.
Vipi lumumba mnachagua mwenyekiti?Ni nani alimshauri Mzee Sumaye kuhamia CHADEMA?
Hakujua kuwa CHADEMA ina mwenyewe? Ninapatwa na wasiwasi kuhusu IQ yake!
Unamtingisha Mbowe halafu unategemea kubaki na cheo ndani ya chama chake! Thubutu!
Ninamuhurumia sana huyu Mzee!
Baada ya Uchaguzi ndani ya CHADEMA kuna uwezekano wa kufukuzwa au kuondoka CHADEMA hasa ikichukuliwa kuwa amechukua fomu kupambana na Mbowe katika kiti cha Mwenyekiti Taifa!
Kuna siku aliwahi kuita mkutano na waandishi WA habar akatumia aina hiyo ya barua kupitia ofice yake? Leo kuna nini hata akatumia njia hiyo?Vipi lumumba mnachagua mwenyekiti?
Ccm haina wenyewe?
Ni bora alivyokuwa hakuchaguliwa ccm ndio ilikuwa target yao ili wafanye yao Lakin imekula kwenu.
Mnaumia sana ccm kama mapandikizi yenu hayachaguliwi tena.
Hata Zitto mlisema ni pandikizi alipotaka kuwania uenyekiti wa chadomo.
Niliwahi kumwambia humu humu JF zamani sana, hao wachagga na hiyo chadomo ni mradi wao wa kupigia pesa hawatakuelewa. Matokeo?!