Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

Huyo hakuyataka,yupo hapo kimkakati,
Subiri muda utasema tu,unampaje uenyekiti mtu mchanga kiasi hiki ktk chama,si yatakuwa ya lowasa,
Huyu ni kichani mwenye koti ya blue kimkakati,
Kakutana na wanaoona Kesho kapanik,
Asingekuwa yupo kimkakati asingelalama kukosa uongozi,maana kukitumikia chama siyo mpaka uwe kiongozi
Hata Zitto mlisema ni pandikizi alipotaka kuwania uenyekiti wa chadomo.

Niliwahi kumwambia humu humu JF zamani sana, hao wachagga na hiyo chadomo ni mradi wao wa kupigia pesa hawatakuelewa. Matokeo?!
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Nawaza wakipewa Nchi wanaweza kujenga Demokrasia ya Nchi ikiwa ya ndani tu imewashinda?

Demokrasia ni kupigiwa kura na kisha kura ziheshimiwe. Sio zaidi ya hapo, Sumaye akamalizie uzee wake kwenye chama alicholia ujana wake. Alizoea siasa za mbeleko za kupita bila kupingwa, kama alihonga akidhani akibaki mwenyewe atapita bila kupingwa basi kaingizwa mjini. Asidhani kwakuwa alifanya mtihani mwenyewe basi ni lazima afaulu.
 
Misuko suko ya siasa ndivyo ilivyo, hata membe leo hii anapata misuko suko kwa kuhusishwa na nafasi ya mkuu wake. Lakini tatizo hapa sidhani kama ni hilo. Ninachokiona hapa ni kutokuaminika kwa hawa wazee walioshika nyadh
Siasa ndivyo zilivyo. hata membe anapata misuko suko kutokana na hofu kwamba anataka kuchukua nafasi ya m/kiti wake. Sumaye alichukua fomu na akagombea lakini ameshindwa kwa kura, sasa haya ya demokrasia yanatokea wapi? Inawezekana walimnyima kura kutokana nakutokumuamini. Hawa wazee walioshika nyadhifa kubwa wakiwa ccm sio wakuwaamini sana, maana lengo lao ni kushika nyadhifa kubwa tu na ndio sababu ya kuondoka kwao ccm. Yuko wapi Lowassa?
 
Membe kapata misukosuko Gani?
 
Kwani kushindwa sio demokrasia? Nini maana ya kupiga kura sasa
 
Kila akitaka kurudi na akifikiria walichomfanyia mashamba yake nafsi inamsuta sana akirudi huko.
Ukisikia mtu anakufa na tai shingoni mdo kama hivyo sasa
 
Laana ya Dr Slaa ni Kali na sasa hivi imeongezeka laana ya Sumaye tena.

Chadema kwisha kabisa
Wewe nawe,ziro brain kwisha nini sasa? Ingekuwa imeisha mngewakimbiza watendaji kata na fomu za wagombea?
 
Orchestra Tumbombele MNA shida, hamuwezi kuwa na maamuzi binafsi.
Ni upunguani kutoka kustaafu uwaziri mkuu wa GoT kwenda kugombea vyeo vya mitaroni, mi naona hao CDM walichomfanyia ni sawa tu.

Nadhani sasa akili itamrudi.
 
Sumaye kama walivyokuwa wengineo na mkawaamini huko Upinzani ni ' Undercover Agents ' na inavyoelekea tayari ameshamaliza Kazi yake na muda wowote anarudi Nyumbani japo kwa Kuzuga anaweza kwanza akajiunga kwa Kabwe kisha akaa hapo kidogo, akakorofisha / akagombana nae ' Kimkakati ' kabisa kisha atarejea rasmi Nyumbani Kuumalizia Uzee wake.
 
Ako Sumaye, na wewe kama safari ya kuondoka imefika nenda salama usianze majungu ndio uondoke. Nenda kimya kimya
 
Nawaza wakipewa Nchi wanaweza kujenga Demokrasia ya Nchi ikiwa ya ndani tu imewashinda?
Acha kupotosha. Demokrasia ni pamoja na uchaguzi huru. Mhe. Sumaye ameshiriki uchaguzi huru. Amesimama akiwa mgombea pekee. Akapigiwa kura nyingi za "Hapana." Anatakiwa ajiulize, kwa nini!!? Sasa Mbowe anahusikaje!?
Bado ana nafasi kwenye uenyekiti wa Taifa, achukue tu fomu.
Vinginevyo arudi kwao badala ya kuanza lawama zisizo kichwa wala miguu ili kutafuta sababu za kurejea nyumbani kwao.
 
Mbona umechukia sana? Kumbe mnahubiri ambavyo nyinyi wenyewe hamuwezi kufanya? How convenience to Bring JPM on the subject? Mnafikiri kuongoza nchi ni sawa na kuongoza sacos ya CHADEMA? Mmekaa kuongea mambo ambayo mengi yamejaa majungu na uzandiki tena wengi kwa majina ya bandia. Kama nyie wanaume/wanamama wa shoka tuanze hapa kuweka majina yetu halisi.

Mbowe huyu alikuja hapa kujinadi kabla ya kuinunua JF kwamba tutumie majina yetu ya kweli, akaanza yeye mwenyewe baada ya wiki moja akakimbia na hajarudi tena. (I mean yumo humu kwa jina lake la ... .... ... (kapuni) maana anafahamu hawezi kufanya kile ambacho anahubiri.
And why are you talking shit in a Great Thinker's forum!!!?
Mbona nakuona ukiwa umevaa gauni ubongoni huku ukijinadi kuwa mwamamume wa shoka!!!
 
And why are you talking shit in a Great Thinker's forum!!!?
Mbona nakuona ukiwa umevaa gauni ubongoni huku ukijinadi kuwa mwamamume wa shoka!!!

Is it great Tinkers? Gauni anavaa mama yako.
 
Back
Top Bottom