Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
Mwenyewe alijimwambafai hadi akabaki pekee yake.
Nadhani kuna vitu alifanya hadi akabaki pekee yake.. vijana wakaapa tutaonana kwenye sanduku la kura.
Pia watu hawajui kwamba sumay hajawahi kuwa mwana siasa zaidi ya kubebwa bebwa.
Angekua mzee lowasa ningemwelewa.
Ndio maana hata alipo amua kurudi home hakutukana chadema.
Sasa huyu ka cheo ka kanda basi anaanzisha vita.
Upumbafu kabisa huu.