Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

Hawa sio watu wa kuamini hata kidogo wanaweza kugeuza hiki chama kuwa kama akina TLP, UDP na CUF.

Serikali hii inatumia idara ya usalama kudhoofisha vyama vya upinzani na kuvigeuza vyama pandikizi. Wameshindwa kuitumia hiyo idara kuinufaisha nchi kiuchumi.
This must not be left to happen.
 
Kwa kile kilichotokea kwa Sumaye CCM ni better kuliko chadema, hata Sumaye kasema kushindwa kwake ni baada ya kuchukua form ya kuwania Uenyekiti wa Taifa , bado hivi vyama vya upinzani havina demokrasia kama vinavyo waaminisha wananchi.
 
Watu nyinyi, kwanini mkiambiwa ukweli, mnakasirika?. Kosa langu siku zote ni kuusema ukweli, hizo unazoita siasa za kishamba ndio ukweli mchungu.

Zitto alipoutaka uenyekiti najua unajua kilichomkuta, jee unadhani Sumaye atasubiri?.
P

Acha siasa za kishamba bro, kesi ya Wangwe iliendeshwa mahakamani, kama kulikuwa na ushahidi ungeupeleka, au hao unakochukua taarifa wangepeleka huo ushahidi. Ukweli mchungu tunaujua na sio Majungu, kile ulichokuwa unasema kuhusu Wangwe yale ni Majungu, ona aibu kwa kuamka asubuhi kwenda kwenye kipindi kupiga Majungu.

Mimi binafsi siafiki Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, na msimamo wangu uko wazi hapa jukwaani na popote, na wala sijali ww ukiongea huo unaitwa ukweli mchungu, lakini Majungu na kuchafulia watu sio jambo zuri. After all ukweli wako una macho na hilo liko wazi. Huenda ni kweli Zito alifanyiwa vibaya, je reaction yake ilikuwa ni ya kujenga chama au kukibomoa? Je huko alikoanzisha chama anawatendea aliyokuwa anayalalamikia cdm?
 
Mkuu Tindo, this is not fair hata kidogo on my part, kipindi ni 90min, issue ya Chadema ni just one item ya something like for just 10 min, hivyo kuniita nimeamka asubuhi kupeleka majungu, sio kunitendea haki hata kidogo, ila pia naheshimu mawazo yako, kama ilivyo kwa "one man's meat is another man's poison", hivyo inawezekana kabisa kuwa huo mimi ninao uona kama ukweli mchungu, kwa mwingine ni majungu, lakini kusema kuamka asubuhi kwenda kwenye kipindi kupiga majungu, sio kunitendea haki, haswa kwa kuzingatia mazuri mengine mengi yaliyojadiliwa ambapo yakitekelezwa, Chadema itakuwa amongst the beneficiaries.

P
 
At least umeacha ku attack CCM kwa yaliyotokea Chadema
Narudia tena, kama uchaguzi ulikuwa huru na haki na ukashindwa unataka nini? Kubaki peke yako haimaanishi unakubalika na wote. Tunachokataa ni wizi na vurugu kwenye box la kura. Kama kubaki mwenyewe ndio alitegemea awe mshindi basi kachemka. Kwa taarifa yako kwenye mtihani hata ukifanya mwenyewe sio lazima ufaulu. Sihitaji kufananisha chochote kati ya cdm na ccm, ninachojua ni vyama visivyofanana, iwe kwa ubora au kwa udhaifu.
 
At least umeacha ku attack CCM kwa yaliyotokea Chadema

Siattack ccm kwa ajili ya rangi yake wala umri wa chama hicho, bali nakiindama kwa ajili ya siasa zake za kihayawani. Kwa hilo sitoacha mpaka wabadilike.
 
hujakatazwa....

Ila ya chadema yawe ya chadema na ya ccm yabaki ya ccm.

Kwa kumuadhibu Sumaye... kisa nafasi ya Mbowe then chademaz democracy is worse than CCM...

Siattack ccm kwa ajili ya rangi yake wala umri wa chama hicho, bali nakiindama kwa ajili ya siasa zake za kihayawani. Kwa hilo sitoacha mpaka wabadilike.
 
Mkuu Tindo, this is not fair hata kidogo on my part, kipindi ni 90min, issue ya Chadema ni just one item ya something like for just 10 min, hivyo kuniita nimeamka asubuhi kupeleka majungu, sio kunitendea haki hata kidogo, ila pia naheshimu mawazo yako, kama ilivyo kwa "one man's meat is another man's poison", hivyo inawezekana kabisa kuwa huo mimi ninao uona kama ukweli mchungu, kwa mwingine ni majungu, lakini kusema kuamka asubuhi kwenda kwenye kipindi kupiga majungu, sio kunitendea haki, haswa kwa kuzingatia mazuri mengine mengi yaliyojadiliwa ambapo yakitekelezwa, Chadema itakuwa amongst the beneficiaries.

P

Hiyo lugha niliyoitumia dhidi yako sijaitumia kwa bahati mbaya, I know how to use such a language for a person of your callibre, sorry to use such a language, but you left me with no choice. Sina tatizo na maelezo yako mazuri kwenye hicho kipindi, hasa hayo unayoita ukweli mchungu, nina tatizo na upotoshaji ulioufanya kwa makusudi dhidi ya kifo cha Wangwe, ukijaribu kukihusisha na cheo cha Mbowe. This is where my concern lies in your contribution. Ungeweza kukesha kwenye hicho kipindi ukisema huo ukweli mchungu unaousema wala ninsingekuwa na tatizo lolote, lakini sio upotoshaji wa wazi hasa kwa mtu kama wewe.

Halafu huo ushauri mnaotoa na kupamba eti rais ni msikivu, kwangu nilikuwa naona kama ni kumpaka rais mafuta kwa mgongo wa chupa. Yeye hasa ndio chanzo cha hizi siasa za kihuni, na hata huo ushauri wenu hawezi kuufanyia kazi, maana hawezi siasa za ushindani na hatakaa asiweze. Ni vyema mngejikita kwenye kutaka katiba mpya na sio kutoa ushauri ambao utaishia kuwakausha mate. Sana sana mngejikita kwenye kusifia mnavyotakiwa kusifia , na sio kutoa ushauri kwa mtu asiyehitaji ushauri ambao pia cdm watakuwa wafaidika.
 
Mi naona unaongozwa na chuki binafsi katika hili.
Ukiangalia kwa kina, chama chenyewe, utagundua wazi kua Cdm bila mh. Mbowe haijiwezi.

Mbowe ndiye ameijenga CDM, na kuweka rekodi kuliko binadamu yoyote yule.

Wewe unawakataa wana CCM lakini hapohapo Unaiunga mkono CCM katika kumkataa Mbowe asiwe mwenyekiti. Na CCM wanajua kua Mh.Mbowe ndiye Mwiba mkali kwa CCM. Mchungaji akipigwa Kondoo watatawanyika. Utaelewa tu. Muda ni Mwalimu Mzuri.
Kweli kande za upareni mbaya, CCM imuhofu Mbowe kwa lipi ?
 
hujakatazwa....

Ila ya chadema yawe ya chadema na ya ccm yabaki ya ccm.

Kwa kumuadhibu Sumaye... kisa nafasi ya Mbowe then chademaz democracy is worse than CCM...

Katika vitu niliwadharau cdm tena wazi wazi ni kumpa Lowassa nafasi ya kugombea urais ndani ya cdm, wakati alikuwa hawezi siasa na wala hakuwa msafi. Ningeendelea kuwadharau kama wangempa Sumaye cheo chochote ndani ya cdm. 95% ya waliorudi kuunga mkono juhudi ni waliokuwa wanaccm, hivyo wampe Sumaye kura ili iweje kwa mfano? Sumaye arudi ccm no matter what, hana mchango wala faida yoyote kwa cdm. Akamalizie maisha yake ya kisiasa aliyolia huko ujanani. Na kitendo cha cdm kupiga kura ya ndio au hapana hiyo ni demokrasia ya kweli. Kama Sumaye alizoea siasa za mbeleko za kuhonga ili apite bila kupingwa, basi huo uhuni apeleke ccm ndio wanaendeleza huo ushenzi.

Siko hapa kutetea nafasi ya Mbowe ndani ya cdm kwani yeye ndio hasa chanzo cha kuharibu haiba ya cdm, kwa ajili ya kumkaribisha Lowassa ndani ya cdm na genge lake la wanaccm waliorudi kuunga juhudi. Ameshakaa madarakani zaidi ya miaka 15, hivyo hana jipya zaidi ya siasa za mazoea na hana lolote anaweza kuleta ndani ya cdm hivi sasa. Ni vyema Mbowe akakaa pembeni kiroho safi ili cdm isonge mbele, na kupata hamasa na changamoto mpya kama taasisi. Vinginevyo mimi nitakuwa namba moja kati ya watu watakaompinga Mbowe waziwazi kwani anataka kuleta siasa za kishenzi ndani ya cdm.
 
IMG_0035.JPG
 
Back
Top Bottom