Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
Haya hongereni wangu,mimi naangalia ngumi ingawa Mwakinyo mgosi wangu bado hajapanda jukwaani hatimae nimepata link inaitwa Goleha Tv. Sijui Mgosi anapanda saa ngapi ?Love kule Pwani kashindwa kutokana na wanachama kuogopa yaliyotokea huko nyuma ya kuunga mkono juhudi. Unajua kuwa Lowassa aliwahi kuapa kuwa atafia CCM then akahamia Chadema kisha akaapa tena kufia Chadema na sasa yupo CCM tena alihamia CCM asubuhi then usiku yupo ndani ya EK anaelekea Dubai kula bata? Hapana love, huyu Sumaye wala hajawahi kuapa hivyo kuondoka ni rahisi! Tuvumilie tu tufanye yetu ila kule Pwani aliangushwa na wanachama kiroho safi maana waliogopa ataunga mkono juhudi. Halafu love inabidi utupongeze now tumeshtuka....Aaah unayong'ang'ania unaniangusha mpenzi wangu!