Naona unalazimisha ccm ifanane na cdm, ule ushenzi wa kupita bila kupingwa ubaki huko huko ccm kwenye chama cha wazee na waendekeza hila. Ninachojua uchaguzi ulifanyika bila vurugu wala watu kutoka nje na box la kura. Arudi ccm akaunge juhudi kama wanaccm wenzake. Cdm wameshaumizwa sana na hao wanaccm, hivyo wameshtuka.
Mkuu Fundi Mchundo, ingependeza kama ungesoma kwanza links ndipo akauliza.Fafanua Paskali.
Yanayosemwa na Dr. Bashiru juu ya Bw. Bernard Kamillius Membe (tena kwa kuhisiwa kutaka kuchukua fomu tu) sote tumeyasikia.
Ni kweli unamshauri Sumaye arudi nyumbani achukue fomu ya kugombea Uenyekiti wa CCM?
Lengo la Sumaye ni Uenyekiti Taifa!
Hilo wazo linafikirika ndani ya CCM?
Chadema ni wasahaulifu sana, kumpa sumaye uenyekiti wanakwambia hawawezi ila kumpa lowassa kugombea uraisi ni sawa!Mngekuwa na akili! Na au kumpa Sumaye uenyekiti kuna tofauti gani na kumpa Lowasa kugombea urais?
Bahati mbaya sana nyie hamuwezi kuamua lolote isipokuwa Mbowe pekee.
Mkuu Fundi Mchundo, ingependeza kama ungesoma kwanza links ndipo akauliza.
P
tatizo uko bias.. makengeza fulani..
Ukigombea against Mbowe unakuwa victim.
Na bado una praise chadema kuna demokrasi
Bora hata CCM
How many times unalia juu ya Mbowe kuwa mwenyekiti wa kudumu?
Hii sio dalili ya demokrasia...
Wangwe, Zitto walipotaka uenyekiti ulijua nn kimetokea.
Jaribu kuwa mkweli hata kama u hate CCM
Hivi matanga yanafanyika wapi?Kama habari hizi ni za kweli, imekula kwake!
Naomba ukubali kutofautiana na mimiNakuona hapo star Tv unapiga Siasa za majitaka, nikisikia tu mtu anasema kifo cha Wangwe na kukihusisha na cheo cha Mbowe namuona ni mshenzi fulani.
Usidhani sifahamu ninachosema, nimesema wazi Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, kwakuwa hiyo sio demokrasia tena bali ni uhuni kama uhuni mwingine, na hata akiwa mwenyekiti mimi nitakuwa mmoja ya watu watakaomsakama Mbowe bila kuogopa chochote na yoyote. Hilo la Wangwe inaonyesha ww ni mfuata mkumbo, kesi ya Wangwe ilioendeshwa mahakamani, ungeenda kutoa ushahidi ulionao. Kuhusu Zito aliambiwa asubiri, lakini hakukubali, kibaya zaidi akageuka kuanza kukihujumu chama chake. Je huko Zitto alipo anatekeleza alichokilalamikia cdm?
Hili la Sumaye, liko wazi, kashindwa kwa kura na wala hakukuwa na wizi wala fujo kwenye box la kura. Sema alizoea huko ccm ukibaki mwenyewe unapita bila kupingwa. Huo ujinga bakini nao huko ccm.
Kumkataa ili mbowe mumpitishe baada ya miaka yote hiyo. Chadema ni kiiinimacho cha demokrasia.w
Wamejifunza na hawataki kurudia makosa. Demokrasia imetumika kama jina la chama chao lilivyo.
Kumkataa ili mbowe mumpitishe baada ya miaka yote hiyo. Chadema ni kiiinimacho cha demokrasia.w
Wamejifunza na hawataki kurudia makosa. Demokrasia imetumika kama jina la chama chao lilivyo.
Sio kweli bro, lowassa alipita bila kupingwa!Naona unalazimisha ccm ifanane na cdm, ule ushenzi wa kupita bila kupingwa ubaki huko huko ccm kwenye chama cha wazee na waendekeza hila. Ninachojua uchaguzi ulifanyika bila vurugu wala watu kutoka nje na box la kura. Arudi ccm akaunge juhudi kama wanaccm wenzake. Cdm wameshaumizwa sana na hao wanaccm, hivyo wameshtuka.
Mbona nilisema wazi kabisa kuwa japo kuna maneno maneno lakini mimi naamini kifo cha Wangwe ni ajali ya kawaida, ila nimezungumzia figisu za Wangwe alipoutaka uenyekiti, Zitto alipoutaka uenyekiti, na sasa Sumaye, his days in Chadema are numbered, countable!. Mwambe ni bangusilo tuu sio serious contender.Nakuona hapo star Tv unapiga Siasa za majitaka, nikisikia tu mtu anasema kifo cha Wangwe na kukihusisha na cheo cha Mbowe namuona ni mshenzi fulani.
Mgombea mmoja peke yake anapigwa mawe anashindwa?
Una akili tamamu boss... nakufahamu...
Hakuna unachohalalisha hapo wala kufananisha na CCM...
Mbowe power imempiga Sumaye ...
Hata CCM hakuna unyama kama huo..
Usilazimishe kufananisha uhayawani...
Mbona nilisema wazi kabisa kuwa japo kuna maneno maneno lakini mimi naamini kifo cha Wangwe ni ajali ya kawaida, ila nimezungumzia figisu za Wangwe alipoutaka uenyekiti, Zitto alipoutaka uenyekiti, na sasa Sumaye, his days in Chadema are countable!. Mwambe ni bangusilo tuu sio serious contender.
P
Zitto 2014 alisema Wange died,i won't.Nakuona hapo star Tv unapiga Siasa za majitaka, nikisikia tu mtu anasema kifo cha Wangwe na kukihusisha na cheo cha Mbowe namuona ni mshenzi fulani.
Kibaya ni kipi kilichojiri juu ya uchaguzi huwo.tatizo uko bias.. makengeza fulani..
Ukigombea against Mbowe unakuwa victim.
Na bado una praise chadema kuna demokrasi
Bora hata CCM
How many times unalia juu ya Mbowe kuwa mwenyekiti wa kudumu?
Hii sio dalili ya demokrasia...
Wangwe, Zitto walipotaka uenyekiti ulijua nn kimetokea.
Jaribu kuwa mkweli hata kama u hate CCM
Watu nyinyi, kwanini mkiambiwa ukweli, mnakasirika?. Kosa langu siku zote ni kuusema ukweli, hizo unazoita siasa za kishamba ndio ukweli mchungu.Kuna uchaguzi usio na figisu za kiushindani? Hivi Paskali unadhani sisi ni watoto hatuwezi kupima ulichokuwa unaongea? Sisemi kwamba kila ulichochangia kwenye kipindi kile ni kibaya, ulioongea vyema, bali pale ulichotaka kusema kiko wazi. Nakushauri acha siasa za kishamba na kufuata mkumbo, ww tunakuheshimu.