G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Ukitukana unakuwa mbayaaaSumaye tena jaza form yako ya uenyekiti taifa,kilaza DJ,form six total failure wa Ihungo sukari impande zaidi.
Ukitukana unakuwa mbayaaaSumaye tena jaza form yako ya uenyekiti taifa,kilaza DJ,form six total failure wa Ihungo sukari impande zaidi.
Teams zake Hulu apate njia kuelekea ikulu. Sasa anaibika hole mbayaNi nani alimshauri Mzee Sumaye kuhamia CHADEMA?
Hakujua kuwa CHADEMA ina mwenyewe? Ninapatwa na wasiwasi kuhusu IQ yake!
Unamtingisha Mbowe halafu unategemea kubaki na cheo ndani ya chama chake! Thubutu!
Ninamuhurumia sana huyu Mzee!
Baada ya Uchaguzi ndani ya CHADEMA kuna uwezekano wa kufukuzwa au kuondoka CHADEMA hasa ikichukuliwa kuwa amechukua fomu kupambana na Mbowe katika kiti cha Mwenyekiti Taifa!
Kwanza twende Uhuru tukaangalie ndondi..Punguza povu humu ndani. Hatuwezi kumpa mhamiaji tena anayelindwa na serikali kuwa mwenyekiti wa Chadema. Tukifanya hivyo naamini tutakuwa vilaza wa karne. Absolutely, be informed my dear maana baadaye utaanza kuleta mengine!Sumaye tena jaza form yako ya uenyekiti taifa,kilaza DJ,form six total failure wa Ihungo sukari impande zaidi.
Lakini kila aliyesema hayo unayoandika leo alibatizwa usaliti na kina Mbowe hawahawa.Hana tofauti na mmasai wanahamu na kiti cha mfalme magogoni
Maslahi binafsi ndio mtindo wa kisasa
Imekuwaje mgombea wa kanda pekee yake halafu ashindwe?Chadema demokrasia iko dhahiri
Sasa mlipokeaje kama hamna imani nae na kwanini msimfukuze? Subirini mtafunwe akili ziwakae vizuriNaomba usemacho kiwe kweli. Siafiki kabisa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm na sitamsupport kwenye nafasi hiyo, ila siko tayari kuona nafasi hiyo inaangukia kwa mwanaccm yoyote. Maana inaeleweka fika Sumaye sio mwanaCHADEMA, bali ni mwanaccm aliyeko likizo huko CHADEMA.
Sasa mlipokeaje kama hamna imani nae na kwanini msimfukuze? Subirini mtafunwe akili ziwakae vizuri
Uchaguzi uliofanyija Jioni hii Kibaha Pwani wa kumpata mwenyekiti wa Kanda ya pwani, Chadema umekanilika
Kwa nafasi ya Mwenyekiti, Mgombea alikuwa Mzee Sumaye Peke yake ndipo zikapigwa kura za Ndio au hapana
Matokeo: Kura za Ndio kwa Mzee Sumaye ni 28, na kura za Hapana ni 48
Hivyo, nafasi ya Mwenyekiti bado iko wazi!
Mme mchanganya na ametahayari
---
NAFASI ya Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani imekosa mridhi baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Frederick Sumaye kushindwa kupata kura za kutosha.
Akisoma matokeo hayo leo tarehe 28 Novemba 2019, Msimamizi wa uchaguzi huo, Ole Sosopi amesema kwa matokeo hayo aliyepaswa kushinda alitakiwa apate kura za ndio zaidi ya asilimia 50 na nafasi hiyo inabaki wazi kwa sababu Sumaye hajafikisha asilimia hizo.
“Kutokana na Sumaye kugombea nafasi hiyo peke yake bila kuwa na mpinzani, tulipiga kura za ndio na hapana na baada ya kupigiwa kura, zilipatikana kura za ndio 28 sawa na asilimia 36.3, kura moja iliharibika na kura za hapana 48 sawa na asilimia 62.3, hivyo nafasi hiyo itabaki kuwa wazi, hivyo mamlaka itamtangaza Mwenyekiti baadaye,” amesema.
Sumaye afunguka kukosa kiti
Baada ya Matokeo hayo kutangazwa MwanaHALISI Online ilimtafuta Sumaye na kumuuliza juu ya namna alivyoyapokea matokeo hayo na kueleza kuwa,
“Nilikuwa mgombea pekee wa kiti cha Kanda na sikutegemea kwamba ningeweza kushindwa ingawaje baada ya gazeti moja kutoa taarifa kwamba nimechukua fomu ya kugonbea uenyekiti mambo yaliweza kubadilika, matokeo yaliyotokea ni kwamba nimeadhibiwa kwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti taifa,” amesema.
Amesema kuwa aliwaeleza kwamba amechukua fomu lakini hajajaza hivyo baada ya matokeo hayo ataamua kama nitaichana chana au nitaijaza.
Ameueleza mtandao huu kuwa jambo lililomsukuma kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti Taifa ni kwamba alihiyaji kushiriki demokrasia katika chama kwa sababu kimekuwa kikituhumiwa kuwa hakina demokrasia.
“Lengo langu lilikuwa ni kwamba Chadema huwa inatuhumiwa kwamba hakuna demokrasia na nafasi ya Mwenyekiti haiguswi hivyo nilitaka kuvunja hiyo watu wajue kuna demokrasia na kwamba nafasi ya Mwenyekiti ipo huru kwa mtu yoyote lakini kwa yaliyotokea ni kinyume chake,” amesema.
Katika uchaguzi huo inadaiwa kuwepo kundi kubwa pa wapambe wa Mbowe ambao walifika katika hoteli ya Njuweni mjini Kibaha, kwa lengo la kuhamasisha wapigakura kutomchagua Sumaye.
“Tumefika hapa kwa kazi moja tu. Nayo ni kumzuia Sumaye kuwa mwenyekiti wa Kanda kwa kuwa ameamua kutaka nafasi ya Mbowe,” ameeleza mmoja wa viongozi wa Chadema anayemuunga mkono mwenyekiti wa chama hicho.
Chanzo: Mwanahalisi
Mkuu ndio maana tunajaribu sana kuwakumbusha upinzani kwa mtindo uliopo ndani ya hivi vyama ukombozi ni bado sanaaaaLakini kila aliyesema hayo unayoandika leo alibatizwa usaliti na kina Mbowe hawahawa.
Mbona mmeogopa asichukue Pwani?Wakati alikuwa anatetea kiti chake?Ndondi zaonyeshwa wapi?Sina king'amuzi cha azam.I wish nipate link via internet.Uhuru siendi nina mtoto mdogo jamani.Kwanza twende Uhuru tukaangalie ndondi..Punguza povu humu ndani. Hatuwezi kumpa mhamiaji tena anayelindwa na serikali kuwa mwenyekiti wa Chadema. Tukifanya hivyo naamini tutakuwa vilaza wa karne. Absolutely, be informed my dear maana baadaye utaanza kuleta mengine!
Mbona hamna tusi hapo,Mbowe si ni DJ?Form six alifeli.Ukitukana unakuwa mbayaaa
BWAHAHAHAHAHAHAHHA.Toa hata ukiingia kaburini hakuna anayejali wala kukushobokea, na ukiona hamna aliyekuelewa wape hata hicho kipochi manyoya wanajf wenye ukame, lakini ukileta maoni ya wauza papuchi chafu unakula kubwa yako, hatujali umri wako hapa.
Love kule Pwani kashindwa kutokana na wanachama kuogopa yaliyotokea huko nyuma ya kuunga mkono juhudi. Unajua kuwa Lowassa aliwahi kuapa kuwa atafia CCM then akahamia Chadema kisha akaapa tena kufia Chadema na sasa yupo CCM tena alihamia CCM asubuhi then usiku yupo ndani ya EK anaelekea Dubai kula bata? Hapana love, huyu Sumaye wala hajawahi kuapa hivyo kuondoka ni rahisi! Tuvumilie tu tufanye yetu ila kule Pwani aliangushwa na wanachama kiroho safi maana waliogopa ataunga mkono juhudi. Halafu love inabidi utupongeze now tumeshtuka....Aaah unayong'ang'ania unaniangusha mpenzi wangu!Mbona mmeogopa asichukue Pwani?Wakati alikuwa anatetea kiti chake?Ndondi zaonyeshwa wapi?Sina king'amuzi cha azam.I wish nipate link via internet.Uhuru siendi nina mtoto mdogo jamani.
Ila kusema ukweli siasa zenu sizielewi kabisa wangu.
Sawa lakini kwenye siasa ya Tanzania nadhani anatakiwa apewe ile degree sijui ya doctor of nini pale UDOM aliyotunukiwa Mwamba maana Mkapa aliitamka kwa mbwembweeee emb nikumbushe alisema doctor of nini vile....Ile anastahili kutunukiwa Mbowe maana tangia mwaka 2000 nipo primary hadi leo anatikisa tu siasa za Tz..mpe heshima yake basi miaka 20 si haba kwa chama kimoja cha upinzani kutikisa Tz my dear!Mbona hamna tusi hapo,Mbowe si ni DJ?Form six alifeli.
mzee wamekustukia safisha galaYani kashindwa uenyekiti wa kanda ndio aende akashindane kuwa mwenyekiti wa taifa? 😂 au unamaanisha nn
Enzi hizo Slaa Dr alisaidia sana. Na mkimtenga Lissu chama ndo kinajifia kabisa. Huyo alikwenda kujiendeleza Marekani au UK kama sikosei. Alidisco mbaya. Mwenyewe akarudi nchini kimya kimya. Hastahili PhD ya heshima. Atafute walau degree ya kusotea. Baadae hata akipewa PhD ya heshima atakuwa anastahili.Sawa lakini kwenye siasa ya Tanzania nadhani anatakiwa apewe ile degree sijui ya doctor of nini pale UDOM aliyotunukiwa Mwamba maana Mkapa aliitamka kwa mbwembweeee emb nikumbushe alisema doctor of nini vile....Ile anastahili kutunukiwa Mbowe maana tangia mwaka 2000 nipo primary hadi leo anatikisa tu siasa za Tz..mpe heshima yake basi miaka 20 si haba kwa chama kimoja cha upinzani kutikisa Tz my dear!