Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

We ajuza unaongea nini, au unarukia mada na kuuza face ukidhani kuna mtu anataka wazee huku jukwaani? Ww nenda kwa wazee wenzako kama kina Pius Msekwa ndio wanakufaa, hapa achia watu wenye nguvu zao wa lea wajukuu.
Nonsense,common sense is not common.
 
CHADEMA Wana double standards. Lowasa alipoingia CHADEMA kwa kuwa alikuwa na pesa hakupigiwa kura za ndio au hapana kukubaliwa kugombea uraisi
hebu jaribuni na nyie kumsimamisha MEKO na wagombea wengine kwenye nafasi ya uenyekiti kama mtaweza
 
Lowasa na Sumaye pamoja na wengine wengi waliingia chadema wakitegemea kupata post za juu za uongozi.

Soon .. i mean very soon Sumaye anaweza kurudi CCM kulinda heshima yake ya uPM..

Kashindanishwa na kivuri na bado kashindwa.. Aibu sana kwa ex-PM
Bora hata mmeamka, huu uhuni wa kuwapa nafasi wanaccm ulifanywa na Mbowe na genge lake, matokeo yake cdm ikawa na wagombea wa mwendo kasi toka ccm. Saa hii kila mwanaccm anadhani anaweza kupata madaraka ndani ya cdm, kisha ahongwe kwenda kuunga mkono juhudi. 95% ya waliorudi kuunga juhudi walikuwa ni wanaccm. Huyo Sumaye hastahili hata kuwa mjumbe wa kamati kuu maana hana msaada wowote.
 
Huna jipya haya matusi huwa unanitukana sana nikiisema Saccos ya Mtei.Yaani ndo kwanzaaa nakuwa na ka uso sofffffffft.
yaani mpaka wa leo nashindwa kuelewa inakuwaje mavyama yooote hayo CUF NCCR TLP ACT woote vimeshindwa na fisiem ila hii hii FISIEM inasumbuliwa kwa muda mrefu sana na KASACCOS kadooogo✌😎.. kweli mtapata na mnaendelea kupata taabu sana FISIEM na hii SACCOS itaendelea hivohivo kuwa SACCOS ili iwatese na msipate usingizi kabisaa HASWA HUYU MEKO WENU NDO HALALI KABISAA akisikia PEEEEEEPOOOOOOOOZZZZ✌✌😎 anastuka kama vile betri imekata fyuzi 😂 😂😂
 
Hivi vyama vinavyopinga CCM havina strategy ya kushinda,kila chama kina mwenyewe.I wish kungekuwa na mgombea binafsi.
 
Lowasa na Sumaye pamoja na wengine wengi waliingia chadema wakitegemea kupata post za juu za uongozi.

Soon .. i mean very soon Sumaye anaweza kurudi CCM kulinda heshima yake ya uPM..

Kashindanishwa na kivuri na bado kashindwa.. Aibu sana kwa ex-PM

Baadhi ya mara chache kukuunga mkono kwenye hoja zako ni leo. Hakuna mwamaccm anayeweza siasa za upinzani kwani wote hutegemea mbeleko ya vyombo vya dola, hivyo wanapoingia kwenye ushindani wa kweli huishia kutepeta. Sumaye arudi haraka ccm kwenye siasa za upendeleo na figisu za kishenzi, huko upinzani ataishia kudhalilika.
 
According to your shit brain.I don't care how you describe me.Relax.

Nadhani hicho kisi@mi kilichokuwa nje ya housing sasa nimekirudishia ndani, nahisi utakaa kwa kutulia we kikongwe.
 
Nadhani hicho kisi@mi kilichokuwa nje ya housing sasa nimekirudishia ndani, nahisi utakaa kwa kutulia we kikongwe.
Unaota ndoto za abuniasi,no one wa kuniziba mdomo.Nina WIFI 366/366 days.Nitaendelea kutoa mawazo yangu.Matusi yako hayanisumbui hata kidogo.
 
Sumaye tena jaza form yako ya uenyekiti taifa,kilaza DJ,form six total failure wa Ihungo sukari impande zaidi.
 
Unaota ndoto za abuniasi,no one wa kuniziba mdomo.Nina WIFI 366/366 days.Nitaendelea kutoa mawazo yangu.Matusi yako hayanisumbui hata kidogo.

Toa hata ukiingia kaburini hakuna anayejali wala kukushobokea, na ukiona hamna aliyekuelewa wape hata hicho kipochi manyoya wanajf wenye ukame, lakini ukileta maoni ya wauza papuchi chafu unakula kubwa yako, hatujali umri wako hapa.
 
Sumaye lazima atakuwa kichwani anatatizo, zuzu ndiyo maana bosi wake Mzee Ben Mkapa alimwambia na wenzake kuwa ni wapumbafu na malofa.
Maana Lowasa mwenzake alienda Chadema kwa wahuni kutafuta urais hata sijui yeye alikwenda kutafuta nini maana cheo kikubwa ktk nchi kama waziri kuu alafu unagombea ukanda tena chadema nilazima tu huyu mzee atakuwa anashida ktk akili yake si bure.
Ametia aibu kanakwamba yeye haijui Chadema kweli?
Hata hivyo Mzee mkapa namuheshimu sana lakini watu walilalamika sana kuhusu uwezo wa Sumae hata hivyo Mzee Ben alikula jiwe na kumbeba hadi miaka yote kumi hivyo Benjamini Wiliam Mkapa analakujibu kwanini alikaa na hili zuzu miaka yote.
Tena akili kama hii anayo pia Razaro Nyarandu kwani kuna kipindi alijiinua sana kujenga chama hili wana Chadema wamfikilie yeye kuwa mwenyekiti ajae Mboe alikuwa anamwangalia tu ata alipopata na matatizo na polisi alishangaa kuona Mboe hamsaidii, ndipo akapoa naye tunamsubiri tuone ataende wapi kwani alisema CCM imekosa dila na mwelekeo.
 
Sumaye tena jaza form yako ya uenyekiti taifa,kilaza DJ,form six total failure wa Ihungo sukari impande zaidi.

Kamsaidie kujaza hizo fomu, hata ikibidi ulale kwake ili mjaze vizuri, ila hakuna mwanaccm yoyote kupata tena madaraka ndani ya cdm. Arudi ccm akale mafao yake ya uwaziri Mkuu, hakuna mtu anataka kuongozwa na mzee toka ccm. Sio wote tunamfagilia Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm kwani muda wake umeisha, lakini sio huyo Sumaye.
 
Back
Top Bottom