Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

IMG-20191129-WA0062.jpg
Wana JF Hawa ndio wapishi was mazengwe yote hapa mjini. Waliwapa CCM ushindi wa kupita bila kupingwa, na pia Mwakinyo naye wamempa ushindi baada ya kupigwa vibaya
 
Kweli kande za upareni mbaya, CCM imuhofu Mbowe kwa lipi ?
Cdm wameshabadili Uongozi ngazi mbalimbali wakawaweka akina mashinji, kwa maslahi ya kisiasa ya kubadili Sura lakini nafasi hizo zimeonyesha kUPwaya hadi sasa.

Nafasi aliyonayo Mbowe; inaweza kumgharimu Maisha yake,Mali zake binafsi kwasababu ya misimamo kama ya Bob Wine.

Ukimuweka mtu ndumila kuwili. CC wakigundua, lazima watawachezesha sindimba. Mbowe ni aina ya viongozi bora wasioyumba na waerevu sana katika siasa na katika kuchagua maneno ya kusema. Ni mwana diplomasiia wa aina yake.
Mbowe Bado ana uwezo wa kuongoza Chama Katika siasa za kistaarabu na hizi zilizoandamwa na Vurugu na mauaji. Mnyonge mnyongeni. Haki yake mpeni.

Demokrasia pekee haifanyi uweze kuchagua kiongozi bora. Wako madikteta kama Morsi wa Egypt, Adolf Hitler, ambao walichaguliwa kwa demokrasia tena kwa popular votes.

Ni Lazima akili kubwa itumike na management, kutoa elimu kwa wanachama ili wakifanya maamuzi wasiendeshwe na hisia na mihemuko bali uhalisia uliopo sasa.

Mbowe ni kichwa kinachohofiwa na hadi na HQ ya CC pale Lumumba.

Sishangai wana Lumumba, wakishiriki ku-vote ili wamtoe kama wanavyounga mkono chokochoko.

Na akitoka watashehereka kua wana CDM hawamtaki Mbowe na wamemchoka.

Lakini wao, wanajua kabisa MwenyeKiti wao hawamtaki lakini hawawezi kumtoa kwa domokrasi, kwa sababu wanamuogopa kama ukoma. Siasa imejaa Unafiki.

Hata Sijajua hata kwanini Nimejiingiza hapa kujadili maigizo haya.....
 
Mh.Sumaye jikaze,vumilia taratiibuu

umeshaamua kuwa mpinzani,tulia apo hapo kama unanyolewa

Kwani ulifuata uenyekiti wao? Si in uwaziri Mkuu!? Si ndioo

Pole sana Mh...

..ila waliokuita Mr Zero sio watu wazuri...yaani from hero to zero INA kuhu
 
Mh.Sumaye jikaze,vumilia taratiibuu

umeshaamua kuwa mpinzani,tulia apo hapo kama unanyolewa

Kwani ulifuata uenyekiti wao? Si in uwaziri Mkuu!? Si ndioo

Pole sana Mh...

..ila waliokuita Mr Zero sio watu wazuri...yaani from hero to zero INA kuhu
Lumumba anarudi huyu,halafu Tunduka Lissu.
Wana njaa hawa
 
Aende aguse na wa Magufuli tuone

Tuache siasa watu kama sumaye wanatakiwa kwenda kuchunga ngombe na kulelewa na wajukuu sio kutafuta uwenyekiti chadema pumbavu.

Mbona umechukia sana? Kumbe mnahubiri ambavyo nyinyi wenyewe hamuwezi kufanya? How convenience to Bring JPM on the subject? Mnafikiri kuongoza nchi ni sawa na kuongoza sacos ya CHADEMA? Mmekaa kuongea mambo ambayo mengi yamejaa majungu na uzandiki tena wengi kwa majina ya bandia. Kama nyie wanaume/wanamama wa shoka tuanze hapa kuweka majina yetu halisi.

Mbowe huyu alikuja hapa kujinadi kabla ya kuinunua JF kwamba tutumie majina yetu ya kweli, akaanza yeye mwenyewe baada ya wiki moja akakimbia na hajarudi tena. (I mean yumo humu kwa jina lake la ... .... ... (kapuni) maana anafahamu hawezi kufanya kile ambacho anahubiri.
 
Hakuna uthibitisho kuwa Sumaye kayasema maneno hayo. Msichezewe akili kiurahisi kiasi hiki.
 
Ni upunguani kutoka kustaafu uwaziri mkuu wa GoT kwenda kugombea vyeo vya mitaroni, mi naona hao CDM walichomfanyia ni sawa tu.

Nadhani sasa akili itamrudi.
 
😂😂😂😂 Manyumbu wamegoma kuelewa, wanataka domokrasia! "Hata kujitoa nayo ni demokrasia!!!!!🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom