Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

..ila siko tayari kuona nafasi hiyo inaangukia kwa mwanaccm yoyote. Maana inaeleweka fika Sumaye sio mwanacdm..
Hao wanacdm damu kabisa kwanini hawajitokezi kuchukua form za uongozi? Hawana uwezo? Confidence chini? Chama “mbadala” wa CCM lazima kijipambanue kwa vitendo. Yaani kujitokeza tu kuchukua form ni shida, siku chama kikichukua Nchi sijui kitaenda kuomba na kuokota watu kaka Rungwe au Dovutwa na kuwapa uwaziri?
 
Hii si kama kura ya Mwalimu Nyerere,Mwinyi na juzi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa...maana ukisema hapana wakati mgombea ni mmoja kuna maana gani?
Ndiyo....ndiyo yeye pekee

Hapana......Hapana mwingine zaidi ya huyu

Bado ni shida kuwa na mgombea mmoja
 
Hongera zake kwa kujaribu, hiyo ndio demokrasia.kuna kupata na kukosa nawapongeza CHADEMA. Hata uchaguzi Wa taifa moto uwe huohuo
 
Kwani kachukua form ya uenyekiti taifa?Taifa naona kuna Mbowe na yule mbunge wa Ndanda.Sumaye nae kachukua?
Ningetamani wangechukua hata wanne.MTU lazima ashinde kwa kushindanishwa Na wengine.demokrasia huanzia nyumbani.
 
Namshauri mzee Sumaye aachane na siasa afanye mambo mengine, mchango aliotoa kwenye taifa hili ni mkubwa na unatosha.
 
Na mbowe haya yanamkuta hiyo 10nov siasa za kulazimisha mbaya sana

State agent
Uchaguzi uliofanyija Jioni hii Kibaha Pwani wa kumpata mwenyekiti wa Kanda ya pwani, Chadema umekanilika

Kwa nafasi ya Mwenyekiti, Mgombea alikuwa Mzee Sumaye Peke yake ndipo zikapigwa kura za Ndio au hapana

Matokeo: Kura za Ndio kwa Mzee Sumaye ni 28, na kura za Hapana ni 48

Hivyo, nafasi ya Mwenyekiti bado iko wazi!
 
Yule aliyekuja CDM na kupokelewa kwa kishindo na kupewa nafasi ya kugombea uraisi amekifanyaje CDM yetu mbona kinapukutika tu na kuelekea kufa kama NCCR?
 
Back
Top Bottom