Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.

Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.

Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.

Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.

Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Inkuntum tuhibbuna-Llaaha Fattabi'uuni...

Wewe sii muislam.

Km ni muislam, hujielewi!
 
Twende kwa fact, kwann usibadili utaratibu wa Swala kama unapenda kwenda na teknolojia? Yaan kwann usianzishe basi swala 8 au swala 3 ili kuendana na teknolojia?
Siwezi kujipa jukumu hilo maana nitakuwa nakufuru na nitakuwa sipo sahihi, lakini katika masuala ya yanayoweza kubadilika kutokana na teknolojia na wakati mfano kuzika kulingana na wakati wetu hiyo nitafanya kwa sababu sio kosa. Mtume mwenyewe hakuzikwa siku hiyohiyo sasa nyinyi ni wajuzi kiasi gani kukimbilia kuzika au mnataka tu mali za marehemu mpige panga chap?
 
Siwezi kujipa jukumu hilo maana nitakuwa nakufuru na nitakuwa sipo sahihi, lakini katika masuala ya yanayoweza kubadilika kutokana na teknolojia na wakati mfano kuzika kulingana na wakati wetu hiyo nitafanya kwa sababu sio kosa.
Unajua kwa mujibu wa Dini yako ni Mambo gani ambayo umetakiwa kuyafanya kwa uharaka Zaidi? Mantiki yake unaijua? Kwamba wewe akili zako umehisi kwamba mtu anaoza ndani ya siku 2 au sio?

Kama unajua kukufuru kwann kwenye kuzika unahisi haukufuru? Je leo hii Majokofu hayapo? Vipi utaratibu huo umebadilika huko Uarabuni, Ulaya, Asia yote, Afrika na Dunia kwa ujumla?

Juzi juzi tu hapa Sultan wa Oman amefariki, kwa level yake hakukuwa na majokofu ya kuhifadhi huo mwili wake?

Wakati mwingine acha kujifanya Muislam wakati msingi wa Uislam hauujui.

Ukute hata hujui shahada imetoka kwenye Surah ipi kwenye Quran lkn unajiita Muislam. Uislam umekataa UNAFIKI. Na wewe ni MNAFIKI.
 
Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.

Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.

Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.

Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.

Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Wewe sio muislamu wewe ni KAFIRI TU. Na haito tokea hata siku Moja wewe KUWA Muslim. Maisha na miongozo ya kiislam imekamilika. Hakuna kitakacho ongezeka hakuna usasa kwenye uislam
 
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,

View attachment 2585799

Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:

Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long

Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni

Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....

Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Ukifa li mwili lililobaki ni sawa sawa na mizoga mingine hapo atuna Thamani tena! Zamani Kutokana na Hali ya Hewa ya Joto Miili ilikuwa ina wai kuzikwa kwani ilikuwa ina haribika haraka- na ata jinsi miili ya hawa Wenzetu maandalizi yake kabla ya Kuzika inaonyesha fika kuwa ni kwa ajili ya kurefusha hali ya kuto haribika haraka. Kiongozi aijalishi ata kama Wa Swala 5! Kidiplomasia atozikwa same date!..... Hivyo inaonyesha kuwai zikwa au kucheleweshwa Zikwa sio Tatizo kufika kwenye Pepo (ni matendo yako wewe na Mungu wako). Hizi zingine ni mila na Desturi tu lakini sio Sheria au amri ya Mungu. Mimi kwa Mfano ningependa Nikifa Maiti yangu ipigwe Kibiriti kama vile Wahindi.
 
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,

View attachment 2585799

Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:

Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long

Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni

Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....

Wakristo tuendelee kuchukua notisi
UKitaka kuzikwa haraka badili dini uitwe Wahid, kila watu na tamaduni zao
 
Mi nikifa msinizike sikuhiyo hiyo....Kuna kufufuka bhandugu
 
Wewe sio muislamu wewe ni KAFIRI TU. Na haito tokea hata siku Moja wewe KUWA Muslim. Maisha na miongozo ya kiislam imekamilika. Hakuna kitakacho ongezeka hakuna usasa kwenye uislam
Sawa mzee we nihukumu tu maana ndio mlivyofundishwa chuki dhidi ya watu walio tofauti na nyinyi, mimi dini sikukarirshwa ila nimejifunza mwenyewe kwa hiyo nina wigo mpana wa kutafakari mambo. Dini ni njia ya maisha na hayo maisha hatuishi huko Uarabuni bali tunaishi hapahapa Tanzania na kina John kwa hiyo lazima nifanye tafakuri namna ya kuishi kwa amani,salama na upendo dhidi ya wenzangu.
 
Unajua kwa mujibu wa Dini yako ni Mambo gani ambayo umetakiwa kuyafanya kwa uharaka Zaidi? Mantiki yake unaijua? Kwamba wewe akili zako umehisi kwamba mtu anaoza ndani ya siku 2 au sio?

Kama unajua kukufuru kwann kwenye kuzika unahisi haukufuru? Je leo hii Majokofu hayapo? Vipi utaratibu huo umebadilika huko Uarabuni, Ulaya, Asia yote, Afrika na Dunia kwa ujumla?

Juzi juzi tu hapa Sultan wa Oman amefariki, kwa level yake hakukuwa na majokofu ya kuhifadhi huo mwili wake?

Wakati mwingine acha kujifanya Muislam wakati msingi wa Uislam hauujui.

Ukute hata hujui shahada imetoka kwenye Surah ipi kwenye Quran lkn unajiita Muislam. Uislam umekataa UNAFIKI. Na wewe ni MNAFIKI.
Nafahamu kuwa shahada imetoka katika
Surah Al-Imran Aya ya 18 (3:18 Quran)

Kama una lingine sema.
View attachment 2586031
 
Msingi wa Shahada upo kwenye Surat Al Ikhlas, unajipa muda wa kugoogle na bado unayumba.
Ndio shida ya kukariri, kwa hiyo nilichokuletea hapo sicho ulichouliza?

Wewe umesema " Ukute hata hujui shahada imetoka kwenye Surah ipi"

Mimi nimekujibu shahada imetoka katika surah al imran, sura ya 3 aya 18
Mwenyezi Mungu, na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye Mwenye kusimamisha uadilifu; hapana mungu ila yeye Mwenye nguvu na Mwenye hikima.

Surat al ikhlas imeelezea pia shahada katika aya zake nne, 1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

Kote shahada imezungumziwa ila wewe kasuku wa kukariri umekariri tu Ikhlas peke yake.
 
Ndio shida ya kukariri, kwa hiyo nilichokuletea hapo sicho ulichouliza?
Sicho nimetaka msingi wake.

Kama wewe ni Muislam nakuuliza Maswali haya mawili.

1. KWANINI TUNAPOSWALI, IKITOKEA UMEJAMBA (UMETOA USHUZI) UNATOKA KWENDA KUTAWADHA UPYA (KUPATA UDHU MPYA) BADALA YA KUJISAFISHA PALE PALIPOTOKEA USHUZI TU. NINI MANTIKI YA KUPATA UDHU UPYA BADALA YA KUJISAFISHA TU PALIPOTOA USHUZI?

2. IKIWA SIKU YA QIYAMA KUNA HESABU (MZANI WA MABAYA NA MAZURI) KWANINI KABURINI KUNA ADHABU WAKATI INAJULIKANA HUKUMU NI SIKU YA QIYAMA? KWANINI KUNA ADHABU KABLA YA HUKUMU? JE ADHABU HIZO ZITAFUTA MAKOSA YAKO SIKU YA QIYAMA?

Nimekuuliza hivi kwa kutaka kujua kwa namna gani Unaujua Uislam na kwa kusoma kwako huko unakosema umesoma kwa kuelewa.
 
Mwanzo hukuuliza msingi, uliuliza shahada imetajwa wapi katika Quran me nimekutajia 3:18 sasa naona unakimbilia kwenye kubadili swali.

Mwanzo kabisa wa uzi nilishadeclare kuwa mimi sio katika wanaojiita wasomi kwa sababu bado najifunza kwa hiyo hilo suala lako la kusema kuwa nimesoma kwa kuelewa ni jipya kwangu sikuwahi kusema.
 
Unajaribu kutetea lkn utetezi wako hauna mashiko,,,, kwa kuwa hata hao watu wa zamani uwezo wa kuhifadhi maiti walikuwa nao kwa njia wanazozijua wao mfano mafarao wa misri,,,, lkn yesu kazikwa siku hiyo hiyo sio sababu ya kuharibika mwili kama ulivyosema wewe bali ni utaratibu,,,, kwani kuna haja gani ya kuiweka maiti wiki mbili ili iweje,,
Mkuu, naifahamu vizuri Mummification nikwambie tu hata ancient egyptians hawakuweza kufanya mummification kwenye maiti yenye vidonda kama vya Yesu, maiti ya King Tut ambaye inasemekana alikufa kwa ajali ya kuanguka na chaliot si unaona ilivowahishwa kuzikwa ? mpaka alizikwa kaburi sio lake na rangi za kabuli hazijakauka

hata with today's technology haiwezekani kutunza maiti kama ya Yesu

once again nasema, sitetei mtu kuzikwa mapema au kucheleweshwa, i reserve my opinion, nilichotaka kufanya ni kuweka some historical facts
 
Wanasema eti siku ya kufa ndio siku ya kuondoka duniani ndo maana wanakuzika harakaharaka, sa jiulize kaburi liko sayari gan
 
Mwanzo hukuuliza msingi, uliuliza shahada imetajwa wapi katika Quran me nimekutajia 3:18 sasa naona unakimbilia kwenye kubadili swali.

Mwanzo kabisa wa uzi nilishadeclare kuwa mimi sio katika wanaojiita wasomi kwa sababu bado najifunza kwa hiyo hilo suala lako la kusema kuwa nimesoma kwa kuelewa ni jipya kwangu sikuwahi kusema.
Sasa kama unajifunza kwanini useme Mazishi sio moja ya Sheria za Uislam kwamba yafanyike kwa haraka?

Kwako wewe kama hujui kitu kwenye dini kwanini useme hizo ni Tamaduni tu wakati unajua wazi huna unalolijua kwenye Dini?

Kuhusu hilo la shahada rudi usome niliandika nini.

Mwisho huna unalojua kwenye Dini umekuja na Google na imekutoa mchezoni.

Acha Unafiki. Hayo Maswali utagoogle hadi upasuke kichwa hutokaa hujibu, na ndio maana nikakuuliza hayo maswali kupima uelewa wako kwenye Dini.
 
Back
Top Bottom