Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
ok, ok,Nimeshaeleza huko juu. Hii channel ni public sio private so ukisearch tu unaipata. Ingia Telegram kisha bonyeza alama ya kusearch juu kuume kisha andika Movies na stories utatupata.
Kwa series napo search Chumba cha series utatuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe menu mkuu..Hahaha uwe unajiunga kifurushi cha unlimited usiku. Hapo unajiachia uwezavyo ww.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halotel. Menu *148*66# >> intaneti >> usiku.Nipe menu mkuu..
Na mtandao wake..
HiyoHalotel. Menu *148*66# >> intaneti >> usiku.
Kasi ya kuridhisha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo Telegram upakue uwezavyo mzee baba.
Usisahau na youtube uniunge mkono!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nichek hapa mzee baba.U tube unatumia jina gani
Hujatazama vema mkuu. Imo.Hii i saw the devil siioni.
Au macho yangu yananiletea mapicha picha?
Usikonde kabisa mzee. Hiyo kazi niachieMkuu tayari nishakuunga mkono kule Telegram na YouTube tuko pamoja sana.. endelea kushusha vitu!
Mkuu kwenye movie kitu rating kina maana gani ??Hujatazama vema mkuu. Imo.
Nimeangalia 13 sins aisee hii movie ni shida ipo vizuri Sana, nipe movie nyingine yenye maudhui Kama hii ukitoa nerve na truth or dareUsikonde kabisa mzee. Hiyo kazi niachie
Movie ya leo naona umeshaitupie kule chimbo mkuu, aisee vitu vyako ni very very clearlyHujatazama vema mkuu. Imo.
Mzee baba rating ni kama marks ambayo movie imepewa chini ya kumi. So unakuta 8/10 ama 6.5/10! ... ila usiamini sana rates, movie inaweza pewa low na bado ikawa nzuri! Ni uono wa mtuMkuu kwenye movie kitu rating kina maana gani ??
Mfano kuna movie imeandikwa rating 6.5 sijui,hii ina maana gani ?
Alafu kuna ile interstellar ile movie sijawahi kuielewa kabisa,napenda movie za vile ila kuna mdau aliniambia mpaka niwe nimepita na ohysics kidogo,nikaona ohooo
SteveMollel mbona ujanijibu kiukwel nimependa movie ya 13 sins naomba unipe movie yenye maudhui Kama hii movie ukiachana na "nerve" na "truth or dare"Mzee baba rating ni kama marks ambayo movie imepewa chini ya kumi. So unakuta 8/10 ama 6.5/10! ... ila usiamini sana rates, movie inaweza pewa low na bado ikawa nzuri! Ni uono wa mtu
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app