Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Hii i saw the devil siioni.
Au macho yangu yananiletea mapicha picha?
 
Mkuu tayari nishakuunga mkono kule Telegram na YouTube tuko pamoja sana.. endelea kushusha vitu!
 
Hujatazama vema mkuu. Imo.
Mkuu kwenye movie kitu rating kina maana gani ??

Mfano kuna movie imeandikwa rating 6.5 sijui,hii ina maana gani ?

Alafu kuna ile interstellar ile movie sijawahi kuielewa kabisa,napenda movie za vile ila kuna mdau aliniambia mpaka niwe nimepita na ohysics kidogo,nikaona ohooo
 
Mzee baba rating ni kama marks ambayo movie imepewa chini ya kumi. So unakuta 8/10 ama 6.5/10! ... ila usiamini sana rates, movie inaweza pewa low na bado ikawa nzuri! Ni uono wa mtu

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
SteveMollel mbona ujanijibu kiukwel nimependa movie ya 13 sins naomba unipe movie yenye maudhui Kama hii movie ukiachana na "nerve" na "truth or dare"
 
Back
Top Bottom