Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwamba hawana jemaπ€£π€£π€£Afu kesho mchana wamvizie wamchape.....hawashindwi
Duh hiyo picha ina uhusiano na habari? maana naiona mikono ya watu wa mnyaaz mungu imeelekea kwenye kuvabua minyamaWadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa hapo juu.
MZEE wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu.
Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100 nyumbani kwake, Mtaa wa Mdote. Mgeni rasmi alikuwa Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif na ilihudhuriwa pia na Katibu wa BAKWATA Wilaya hiyo, Shabani Nguzo.
Nipashe
Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2950296
Dini yako ndo imekutuma uyaandike ayaMakafiri waache kujipendekeza,wao Wana dini Yao na sisi tuna dini yetu,waache shobo.
Kawaambie Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif na ambaye alikubali mwaliko na alihudhuria pia kamwambie Katibu wa BAKWATA Wilaya hiyo, Shabani Nguzo ambaye pia alihudhuia. Hao ndo uwaambie waache shobo kuhudhuria IFTAR za makafiri.Makafiri waache kujipendekeza,wao Wana dini Yao na sisi tuna dini yetu,waache shobo.
Afu kesho mchana wamvizie wamchape.....hawashindwi
Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif, na Katibu wa BAKWATA Wilaya hiyo, Shabani Nguzo wamekula futari ya watu eti kuumia anaumia yeye la haula la kwata...Dini yako ndo imekutuma uyaandike aya
ππMakafiri waache kujipendekeza,wao Wana dini Yao na sisi tuna dini yetu,waache shobo.
Wasabato na Waislam huwa wana endana sana,Hii ndio Tanzania tuitakayo.
Afu kesho mchana wamvizie wamchape.....hawashindwi