Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili imeambatanishwa hapo juu.

MZEE wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu.

Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100 nyumbani kwake, Mtaa wa Mdote. Mgeni rasmi alikuwa Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif na ilihudhuriwa pia na Katibu wa BAKWATA Wilaya hiyo, Shabani Nguzo.

Nipashe

Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2950296
Mtoa ubweche hanuniwi😂😂😂😂😂
 
Hii nayo ni habari? We mwehu nini!
 
Isijekuwa serikali za mtaa 2024 au uchaguzi mkuu mwakani.

Unaweza one wachezaji wanapiga pasi 70 kama wanapoteza muda. Mara imepigwa kea namba 7,kaipiga v pass hadi kwenye D,namba kuni kakutana nayo,kambaaa
 
Ni sahihi.Wasabato ni waislamu waliochangamka

Mfano wasabato hawaamini kuwa Yesu ni Mungu na waislamu nao huamini Yesu sio Mungu

Wasabato mwiko kula nguruwe na waisllamu pia mwiko kula nguruwe
Ata kipindi mimi naamni hayo mambo ya Mungu ilikua ni ngumu sana kuamini ile hadithi ya bwana yesu kuwa ndio Mungu kwa sababu kwenye hyo hadithi ata yesu mwenyewe alipinga kuwa yeye ni Mungu.
 
Mtume gn mbakaji na malaya

Jibu swali kwanza, unasema Jesus Christ ni Mungu, Sasa Mungu Gani anaenda chooni kunya mavi?

Mnachukua sanamu la kizungu unaliweka ukutani kuliabuduia,akili hizo au matope?

Hamtafakari makafiri?
 
Ata kipindi mimi naamni hayo mambo ya Mungu ilikua ni ngumu sana kuamini ile hadithi ya bwana yesu kuwa ndio Mungu kwa sababu kwenye hyo hadithi ata yesu mwenyewe alipinga kuwa yeye ni Mungu.

Yesu SI Mungu, makafiri wamevurugwa tuh,WEWE Mungu aende kukata gogo kweli?

Aaah makafiri kwanini hawatumii akili kufikiria??
 
Ukitaka vipi sasa,si umeleta shobo mwenyewe?makafiri Kwa kuzuga mna upendo na sisi ndiyo wenyewe ila hamna lolote,watu wa chuki sana nyinyi makafiri.
Bc tapikeni hicho chakula cha makafiri, watu mmekula hadi kubeba kwenye mifuko ya madera/kanzu afu hapa mnajidai kuvimba.
 
Back
Top Bottom