Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Naona unaruka ruka TU . Eti Myahudi!? Myahudi Gani anayeamini katika Mtume Muhammad S.A.W!? Acha kuwaletea shobo wayahudi. Vipi Wahindu, nao ni makafiri!? Wachina!?

Una gubu sana na Wakristo, kwani wao peke yao ndio hawaamini katika huyo unayemuita Allah!? Eti Baba ,mwana na Roho mTakatifu, hiyo ni Imani yao, mbona hutaki kuelewa!? Unataka waifate ya kwako!? Punguzeni ujinga Aisee!
 
Kama katoa ubwabwa na kuku unaachaje?unakula vizuri tuh..

Lakini kuwa mkristo kisa ubwabwa no no no nooo,, mwamposa atawapata hao hao wavivu wa kufikiria,siyo WAISLAM wanaojitambua.
Huonagi zile hijabs pale kwa Mwamposa?
 
Myahudi mnaemshobokea ni nyinyi makafiri,siyo sisi... myahudi haamini kuwa Yesu ni Mungu na Wala hamtambui maria kama mama wa Mungu.

Tunawashangaa tuh makafiri kuishangilia Israel na kusema Taifa teule la Mungu,Mungu yupi Sasa...

Msivyo na akili Sasa,yule msela wa kizungu mmetundika pale msalabani na kumwita Mungu?toka Lin MUNGU akaenda chooni kukata gogo?
 
Yule Shekhe wa Kigamboni aliyesema Yuko na majini msikitini yakiabudu nayo, nayo yataingia peponi!?
 
Lzm ufahamu tofauti kati ya imani na UJINGA.
Imani ni km wewe kuamini kanisani kuna uokovu na ukiomba Dua huenda zikakubaliwa . Au kaburi la babu yako litakuletea bahati. Hizo ni imani japo nyingi ni POTOFU.

Ujinga ni kuuziwa mchanga wa mtoni na mtu tapeli au kuvishwa Chupi ya buku jero wewe ukauziwa kwa laki 1 ukidanganywa kuwa utazaa. Hio sio imani bali ni Upumbavu. Wala sio ujinga.
Mjinga hajui , mpumbavu anajua lkn hana fahamu za kujikwamua.

Sisi km waungwana ni wajibu wetu kuwaamsha wapumbavu.
Tusipofanya hivyo Mungu atakuja kutuuliza " nyie mliona watanzania anapigwa na mtu tapeli kwanini hamkuwa kumbusha hao watu?

Tutasema nini?
 
Yule Shekhe wa Kigamboni aliyesema Yuko na majini msikitini yakiabudu nayo, nayo yataingia peponi!?

Majini ni Viumbe km Viumbe wwt wa Mungu
Wana maisha yao na imani zao.
Ndani ya jamii zao wako waislamu wako makafiri.
Mtu yyt anaedai kuwa kaona majini au yuko nayo lzm alete ushahidi sio kuropoka tu.

Km hana ushahidi akae kimya.
Sisi sio watu wa kubebwa na story za mihemko km hizo parokia
 
Mimi naamini wewe unawaona wengine wapumbavu ndio mpumbavu namba Moja !
 
 

Attachments

  • images(26).jpg
    25.8 KB · Views: 3
Unajua nini!? Nimegundua Wewe kumbe ni Mpumbavu mmoja TU. Nimefunga mjadala.
 
SIANDIKI KITU BILA UHAKIKA.
Wayahudi Ndani ya Kitabu chao wanaamini MUNGU MMOJA TU.
Hana mshirika wala hana anaefanana nae.
Ndio nikasema IMANI PEKEE ZINAAMINI MUNGU NI MMOJA TU ni WAISLAMU NA WAYAHUDI.
Zilizobaki zote ni Imani za KIKAFIRI.
Yaani zina miungu wengi .
Wakristo wana Baba mwana Roho.
Wachina wana Masanamu hayana idadi.
Wahindi wao kila siku wanaabudu moj nyani nyoka, ng'ombe mpk Bata na sehemu za siri pia wako baadhi yao wanaabudu.

Soma upate elimu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…