Mzee wa Upako: Kuoa wake wengi sio dhambi, katazo ni propaganda

Mwanamke anaweza kubeba mimba moja kwa miezi tisa, mwanaume anaweza kuwabebesha wanawake kila siku,

Sasa logic ndogo kama hii unashindwa kuielewa? ...
 
YUPO SAHIHI [emoji106][emoji106][emoji106]
Ni wachache wenye akili kubwa wanaoelewa..

Juzi alisema Yesu sio Mungu mkuu..alisimangwa sana..

Ila mara ngapi Yesu anamzungumzia Baba yake?
Yehova ni nani?
Yahwe ni nani?
Bila Yesu kristo hatuwezi kufika kwa babake.
Tafakari

Mungu baba,Mungu mwana na Roho mtakatifu.
 
Bibilia inasema tuzijaribu hizo roho kama zimetokana na Mungu , maana watatokea manabii wauongo wanaweza kuwateka yumkini hata wateule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…