Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

Maneno ya Mzee wa Upako...

Wanawake wana hisi kwanza alafu ndiyo wanafikiria ndiyo maana kwenye maamuzi yao mengi wanaangukia pua...
Wawanaume wanafikiri kwanza, alafu wanahisi baadae...

Kwa hiyo...
Mwanamke ukihisi jambo, usilotolee maamuzi ya haraka haraka, mshirikishe mwenzako afikirie kabla ya kutoa maamuzi, ndiyo maana mwanaume akaitwa kichwa sababu kichwa hufikiria kwanza...

Cc: Mahondaw
 
Haina mantiki kabisa.
Kwa hiyo unataka kusema kama ulioa mwanamke wako akiwa bikra ndio wanaume wengine wakimtaka hawawezi kumpata?
Na wewe acha kuuliza maswali ya kitoto! Umeambiwa mke na siyo mwanamke wako, mke akichukuliwa na mwanaume mwingine anakuwa mchepuko na anakuwa anafanya zinaa! Mwanamke wako huyo ni mali ya umma kila mtu ruksa kujipigia ingawa anaishi kwako! Wewe unalea tu!
 
Wewe ndio bado mtoto huna experience na wanawake,ndio nimeuliza mantiki yake ni nini yaani kama mke wako alikuwa bikira ndio wanaume wengine hawawezi kushea?Au hujui kuwa siku hizi ndoa zina siri nyingi sana zilizojificha
 
Si unaona ulivyo mjinga! Tunajadili mke na siyo michepuko! Kama "mke" (ulimuoa bikra) wako anagawia uchi wake kwa kila anayemshangaa huyo ni mke malaya. Umalaya ni tabia!
 
Si unaona ulivyo mjinga! Tunajadili mke na siyo michepuko! Kama "mke" (ulimuoa bikra) wako anagawia uchi wake kila anayemshangaa huyo ni mke malaya. Umalaya ni tabia!
Sasa unamkosoa mwamba afu unajipiga nyundo mwenyewe. Awe bikra au sio bikra umalaya n tabia tu ya mtu husika. Unaweza oa bikra afu akaanza kutoka na ikawa lala salama
 
Si unaona ulivyo mjinga! Tunajadili mke na siyo michepuko! Kama "mke" (ulimuoa bikra) wako anagawia uchi wake kila anayemshangaa huyo ni mke malaya. Umalaya ni tabia!
Yaani wewe unajiona ni mjanja kumbe ndio mjinga zaidi.
Yaani wewe kwa akili yako ndogo unadhani mkeo kwa vile unalala naye kwenye chumba kimoja kila siku ndio hawezi kukucheat?
Wewe bado mtoto kumbe kajifunze upya kuhusu wanawake,napoteza muda wangu tu kubishana na wewe
 
Back
Top Bottom