Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

View attachment 3042240
Wanawake hawajitunzi kwa sababu mpo wanaume kama nyie ambao mnaoa tu bila kujali body count.
Mkuu, body count inabidi iwe ngapi ndiyo mwanamke angalau awe na sifa ya kuoleka kama kupata bikra imeshindikana?

Vipi kama mtu ana body count ya mwanaume mmoja tu lakini ndiyo walioana chuoni huko kwa ndoa bubu miaka mitatu wanaishi pamoja kama mume na mke? Hii inakubalika? Huoni kama hata hiki kigezo cha body count nacho kina matatizo?
 
Hii dhana ni dhaifu sana,ndio maana sehemu flani wanatoa ndogo ili kutunza bikra😁😁,ndio muhimu si ni bikra kukutwa iko vile vile!!!!ni heshima sana kwa muoaji kukuta bikra,so hata itamfanya kujiona kidume maana ana uhakika hana upinzani.

Body count ni nini mbele ya mwanamke kiburi,mchafu,roho mbaya,kisirani,mfitini,mkorofi,ana gubu??mwisho wa siku wote tunakubaliana bikra sio hitaji la msingi ktk ndoa,ndio maana bado watu wanoa watu wasio na bikra.
najua unajitetea indirectly. Kama umeoa non virgin woman jua kwamba umepigwa
 
Yaani wewe kwa mfano unahitaji kuoa kwa hiyo ndio uanze kupita mitaani jamani natafuta mke ila kigezo chake awe ni bikira watu watakuona umechanganyikiwa,au wewe ukimuona mwanamke bila ya kumvua nguo kwa kumuangalia tu unawezaje kujua kama ni bikira?
Naona hatuelewani
 
View attachment 3042240
Mkuu, body count inabidi iwe ngapi ndiyo mwanamke angalau awe na sifa ya kuoleka kama kupata bikra imeshindikana?

Vipi kama mtu ana body count ya mwanaume mmoja tu lakini ndiyo walioana chuoni huko kwa ndoa bubu miaka mitatu wanaishi pamoja kama mume na mke? Hii inakubalika? Huoni kama hata hiki kigezo cha body count nacho kina matatizo?
Body count hata ikiwa moja tu ni red flag.
 
Nilishawahi mwita demu malaya aka mind kinyama

Umetoka na wanaume 6 kama wewe sio malaya ni nani?

Angekuwa ametoka na watatu ningemfikiria
Nahakika ungemwambia malaya mwenzangu asingekasirika 😂😂😂
 
Hila sasa hivi kuna trend ya masingle mother sio poa! Hapa mtaani nyumba nyingi tena watu chini ya miaka 40 wake zao ni Masingle mother. Wana watoto wakubwa kuliko waliowazalia waume zao! Naona hadi kinyaa!
Wimbi la single mothers ilihali mafather wapo..imekuwa fashion kwa wanawake wengi hasa tu akiwa ana uwezo kumake vihela kadhaa..hakika hii trend ni mbaya kama ile ya vijana kutaka mashangazi walelewe.
 
Ulikosea ....

Ungemwita kwa jina lake tu.
Kweli
Alikuwa ananidangany
Natembea nae mchana
Usiku anatembea na mshikaj mmoja

Alikuwa ni malaya..Alilia kilio cha msiba kuomba msamaha.

Nikamwambia "Nakuona malaya mbunifu unalia na kuomba msamaha".

Hata kama Nina mapungufu sikuweza kumridhisha tungeyajenga, kuna mkongo

Ila malaya hawezi kurudhika
 
So hapo ulipo upo na mke wako uliyemtoa bikra au umeng'ang'ana na mke wa mtu?
Mimi nipo na mke wa mtu bwana😭😭😭 hiyo bikra ningeitafutia wapi...Mimi mwenyewe Huwa sizipendi Huwa sitaki usumbufu.

Yani Mimi mwanamke akiwa sitaki na taka au akiniwekea vikwazo tu mtalimbo una lala yooo na hau amki ng'000 sasa bikra Mimi za nini​
 
Sawa ndio utulie na mkeo uko sasa usiamasishe na wengine kuoa malaya.
Malaya ni hulka,malaya wote waliwahi kuwa na bikra.

mzee wa upako asikufanye ukaamini hujaoa malaya kisa ulikuta na bikra,utajiua ukigundua ameliwa nje.
 
Wewe kafiri kwani lazima uwaguse Waislam? Nikikuuliza kwanini unawachokoza Waislam unaweza kuniambia sababu? Au ndio hasira unataka kuwamalizia?

Halafu hayuko sahihi hata hivyo. Sijui kwanini umewaparamia Waislam!

Allah awaongoze wewe na yeye
Wapi nimewagusa waislam, naomba uweke mstari ni wapi nimewataja Waislam.
 
Wengine hata tuliowatoa bikra hatujui walipo na haujawahi hata kuonana hata kwa bahati mbaya tangu tubwagene
 
Back
Top Bottom