Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Uoe bikra ama la zingatia hili kama unataka kuishi kwa amani! 👇👇👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kafiri kwani lazima uwaguse Waislam? Nikikuuliza kwanini unawachokoza Waislam unaweza kuniambia sababu? Au ndio hasira unataka kuwamalizia?Kwa hiyo huyu msanii wa kizazi kipya mke aliyenae si wake, wake yeye yuko mbinguni katika wale majini 72 walioahidiwa wale wenzetu wasiojitambua akili, si ndiyo?
Mkuu japo siungani naye mawazo yake lakini hajawataja waislam.Wewe kafiri kwani lazima uwaguse Waislam? Nikikuuliza kwanini unawachokoza Waislam unaweza kuniambia sababu? Au ndio hasira unataka kuwamalizia?
Halafu hayuko sahihi hata hivyo. Sijui kwanini umewaparamia Waislam!
Allah awaongoze wewe na yeye
Nadhani umemuelewa exactly alichomaanisha.Mkuu japo siungani naye mawazo yake lakini hajawataja waislam.
Hajielewi anachokiongea huyo anakurupuka na mihemko ili mradi ajifariji kwamba mkewe haliwi na watu wengine,siku akija kujua siri atazimia kama sio kufa.Sasa unamkosoa mwamba afu unajipiga nyundo mwenyewe. Awe bikra au sio bikra umalaya n tabia tu ya mtu husika. Unaweza oa bikra afu akaanza kutoka na ikawa lala salama
Ukweli huu ni mchungu sana Mzee wa Upako ni Mchungaji Hananja aliechangamka anakupa makavu kuna yule mwingine kaibuka anaitwa Nabii IPM nae anagawa makavu yeye anasema Dini yake anasoma vitabu vyote Biblia na Qur'an ni makavu kwa kwenda mbeleSasa kwanini yeye anaishi na asiye mke wake kama analijua hilo?🤔
Punguzeni mipasho basi...kila mtu na desire yake😀😀😀😀 mzee baba kumbe huwa unacomment, mimi nilikua najua unagawa likes tu.
Siwezi kujadili hoja na mpumbavu ambaye hafahamu mada inayojadiliwa!Yaani wewe unajiona ni mjanja kumbe ndio mjinga zaidi.
Yaani wewe kwa akili yako ndogo unadhani mkeo kwa vile unalala naye kwenye chumba kimoja kila siku ndio hawezi kukucheat?
Wewe bado mtoto kumbe kajifunze upya kuhusu wanawake,napoteza muda wangu tu kubishana na wewe
Chill fella, its just a jokePunguzeni mipasho basi...kila mtu na desire yake
Hujamwelewa mzee wa upako anadai aliyetoa bikra ndio alitakiwa kuwa mume wa huyo mwanamke bikira ni agano ......ndio maana kama ulizaliwa enzi mwl nyerere wazee walikizingatia sana hili...Usasa wa nyie vijana umekuja na mambo yake.Yaani wewe unajiona ni mjanja kumbe ndio mjinga zaidi.
Yaani wewe kwa akili yako ndogo unadhani mkeo kwa vile unalala naye kwenye chumba kimoja kila siku ndio hawezi kukucheat?
Wewe bado mtoto kumbe kajifunze upya kuhusu wanawake,napoteza muda wangu tu kubishana na wewe
Bado haimake sense mzee sijui ni mzee sijui ni kijana.Hujamwelewa mzee wa upako anadai aliyetoa bikra ndio alitakiwa kuwa mume wa huyo mwanamke bikira ni agano ......ndio maana kama ulizaliwa enzi mwl nyerere wazee walikizingatia sana hili...Usasa wa nyie vijana umekuja na mambo yake.
Bikira ni kielelezo cha maadili mema na usafi wa mwanamke. Marry a non virgin woman for your own risk.Bado haimake sense mzee sijui ni mzee sijui ni kijana.
Na ukitolea mifano ya wazee wa zamani kuchapiana pia kulikuwepo ndio maana walikuja na misemo yao ya kitanda hakizai haramu ili kupoza.
Kwa hiyo bado hujanishawishi naona kaongea utopolo tu
Hiyo ilikuwa zamani ndugu.Bikira ni kielelezo cha maadili mema na usafi wa mwanamke. Marry a non virgin woman for your own risk.
Ni kwa sababu wanaume wajinga wameruhusu huo upuuzi zamani bikira ilikua kigezo kikuu cha mwanamke kuolewa ila sasa hivi wanawake hawajali wanajua hata wakikitombesha mtaa mzima wataolewa tu. Wanaume tukianza kuwa-treat harshly kutokana na past zao watapata somo hata wakiachiwa izo access watajua wanatakiwa kujichunga.Hiyo ilikuwa zamani ndugu.
Siku hizi mwanamke ukimkuta bikra means alikuwa bado hajapata access ya kuanza kuonja hayo mambo akishafunguliwa tu basi anaanza kuvurugwa kama wanawake wengine tu wasiokuwa na bikra.
Siku hizi tuna fumba macho ila daah,ukigeuka upande wa mahali ndio husisema zinapanda kila siku kama dollar.
Maana zamani mahali maana yake unawashukuru wazazi kwa kukutunzia mke wako (wanacho kitunza ni bikra).Ndio maana walikuwa wakali sana kwa binti zao,ili hasiwatie aibu akiolewa.Ila siku hizi wazazi wanashirikiana na watoto zao,kupiga hela na madanga
Ni kweli ila bikra ni agano Mungu hakuiweka bahati mbaya...Hiyo ilikuwa zamani ndugu.
Siku hizi mwanamke ukimkuta bikra means alikuwa bado hajapata access ya kuanza kuonja hayo mambo akishafunguliwa tu basi anaanza kuvurugwa kama wanawake wengine tu wasiokuwa na bikra.