Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

Uoe bikra ama la zingatia hili kama unataka kuishi kwa amani! 👇👇👇

Screenshot_20240714_160626_Samsung Internet.jpg
 
Kwa hiyo huyu msanii wa kizazi kipya mke aliyenae si wake, wake yeye yuko mbinguni katika wale majini 72 walioahidiwa wale wenzetu wasiojitambua akili, si ndiyo?
Wewe kafiri kwani lazima uwaguse Waislam? Nikikuuliza kwanini unawachokoza Waislam unaweza kuniambia sababu? Au ndio hasira unataka kuwamalizia?

Halafu hayuko sahihi hata hivyo. Sijui kwanini umewaparamia Waislam!

Allah awaongoze wewe na yeye
 
HUyu mzee ni swala la muda tu mtagundua hakika kwamba dishi limeyumba.

hakuna andiko lolote linaloongoza hizi hisia zake,si la kiimani wala kisheria.
Watu wawaoe bikra halafu bado wagongewe itakuwaje??
Aliyetolewa bikra na mtu akafa je??
 
Wewe kafiri kwani lazima uwaguse Waislam? Nikikuuliza kwanini unawachokoza Waislam unaweza kuniambia sababu? Au ndio hasira unataka kuwamalizia?

Halafu hayuko sahihi hata hivyo. Sijui kwanini umewaparamia Waislam!

Allah awaongoze wewe na yeye
Mkuu japo siungani naye mawazo yake lakini hajawataja waislam.
 
Sasa unamkosoa mwamba afu unajipiga nyundo mwenyewe. Awe bikra au sio bikra umalaya n tabia tu ya mtu husika. Unaweza oa bikra afu akaanza kutoka na ikawa lala salama
Hajielewi anachokiongea huyo anakurupuka na mihemko ili mradi ajifariji kwamba mkewe haliwi na watu wengine,siku akija kujua siri atazimia kama sio kufa.
 
Sasa kwanini yeye anaishi na asiye mke wake kama analijua hilo?🤔
Ukweli huu ni mchungu sana Mzee wa Upako ni Mchungaji Hananja aliechangamka anakupa makavu kuna yule mwingine kaibuka anaitwa Nabii IPM nae anagawa makavu yeye anasema Dini yake anasoma vitabu vyote Biblia na Qur'an ni makavu kwa kwenda mbele
 
Yaani wewe unajiona ni mjanja kumbe ndio mjinga zaidi.
Yaani wewe kwa akili yako ndogo unadhani mkeo kwa vile unalala naye kwenye chumba kimoja kila siku ndio hawezi kukucheat?
Wewe bado mtoto kumbe kajifunze upya kuhusu wanawake,napoteza muda wangu tu kubishana na wewe
Siwezi kujadili hoja na mpumbavu ambaye hafahamu mada inayojadiliwa!
 
Yaani wewe unajiona ni mjanja kumbe ndio mjinga zaidi.
Yaani wewe kwa akili yako ndogo unadhani mkeo kwa vile unalala naye kwenye chumba kimoja kila siku ndio hawezi kukucheat?
Wewe bado mtoto kumbe kajifunze upya kuhusu wanawake,napoteza muda wangu tu kubishana na wewe
Hujamwelewa mzee wa upako anadai aliyetoa bikra ndio alitakiwa kuwa mume wa huyo mwanamke bikira ni agano ......ndio maana kama ulizaliwa enzi mwl nyerere wazee walikizingatia sana hili...Usasa wa nyie vijana umekuja na mambo yake.
 
Bado haimake sense mzee sijui ni mzee sijui ni kijana.
Na ukitolea mifano ya wazee wa zamani kuchapiana pia kulikuwepo ndio maana walikuja na misemo yao ya kitanda hakizai haramu ili kupoza.
Kwa hiyo bado hujanishawishi naona kaongea utopolo tu
 
izrael ya kale ilikuwa ukimbaka mwanamke na kumtoa bikra yake unalazimishwa umuoe ndo mke wako huyo..nadhan mzee wa upako yupo sahihi
 
Bado haimake sense mzee sijui ni mzee sijui ni kijana.
Na ukitolea mifano ya wazee wa zamani kuchapiana pia kulikuwepo ndio maana walikuja na misemo yao ya kitanda hakizai haramu ili kupoza.
Kwa hiyo bado hujanishawishi naona kaongea utopolo tu
Bikira ni kielelezo cha maadili mema na usafi wa mwanamke. Marry a non virgin woman for your own risk.
 
Bikira ni kielelezo cha maadili mema na usafi wa mwanamke. Marry a non virgin woman for your own risk.
Hiyo ilikuwa zamani ndugu.
Siku hizi mwanamke ukimkuta bikra means alikuwa bado hajapata access ya kuanza kuonja hayo mambo akishafunguliwa tu basi anaanza kuvurugwa kama wanawake wengine tu wasiokuwa na bikra.
 
Ni kwa sababu wanaume wajinga wameruhusu huo upuuzi zamani bikira ilikua kigezo kikuu cha mwanamke kuolewa ila sasa hivi wanawake hawajali wanajua hata wakikitombesha mtaa mzima wataolewa tu. Wanaume tukianza kuwa-treat harshly kutokana na past zao watapata somo hata wakiachiwa izo access watajua wanatakiwa kujichunga.
 
Siku hizi tuna fumba macho ila daah,ukigeuka upande wa mahali ndio husiseme zinapanda kila siku kama dollar.

Maana zamani mahali maana yake unawashukuru wazazi kwa kukutunzia mke wako (wanacho kitunza ni bikra).Ndio maana walikuwa wakali sana kwa binti zao,ili hasiwatie aibu akiolewa.Ila siku hizi wazazi wanashirikiana na watoto zao,kupiga hela za madanga.
 
Siku hizi tuna fumba macho ila daah,ukigeuka upande wa mahali ndio husisema zinapanda kila siku kama dollar.

Maana zamani mahali maana yake unawashukuru wazazi kwa kukutunzia mke wako (wanacho kitunza ni bikra).Ndio maana walikuwa wakali sana kwa binti zao,ili hasiwatie aibu akiolewa.Ila siku hizi wazazi wanashirikiana na watoto zao,kupiga hela na madanga
Hiyo ilikuwa zamani ndugu.
Siku hizi mwanamke ukimkuta bikra means alikuwa bado hajapata access ya kuanza kuonja hayo mambo akishafunguliwa tu basi anaanza kuvurugwa kama wanawake wengine tu wasiokuwa na bikra.
Ni kweli ila bikra ni agano Mungu hakuiweka bahati mbaya...
 
Back
Top Bottom