muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Machoko huwa hamjifichi.Kwa hiyo huyu msanii wa kizazi kipya mke aliyenae si wake, wake yeye yuko mbinguni katika wale majini 72 walioahidiwa wale wenzetu wasiojitambua akili, si ndiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machoko huwa hamjifichi.Kwa hiyo huyu msanii wa kizazi kipya mke aliyenae si wake, wake yeye yuko mbinguni katika wale majini 72 walioahidiwa wale wenzetu wasiojitambua akili, si ndiyo?
Sasa nadhani umeanza kunielewa nilichokuwa nakusudia kusema.Ni kwa sababu wanaume wajinga wameruhusu huo upuuzi zamani bikira ilikua kigezo kikuu cha mwanamke kuolewa ila sasa hivi wanawake hawajali wanajua hata wakikitombesha mtaa mzima wataolewa tu. Wanaume tukianza kuwa-treat harshly kutokana na past zao watapata somo hata wakiachiwa izo access watajua wanatakiwa kujichunga.
Hakuna popote nilipokuelewa, bikira ni kielelezo cha maadili mema na usafi wa mwanamke. Mwanamke ambae hana bikira wakati hajaolewa uyo ni mzinzi hatuwezi kuhalalisha uzinzi kwa kisingizio cha usasa. Wanawake hawajitunzi kwa sababu mpo wanaume kama nyie ambao mnaoa tu bila kujali body count.Sasa nadhani umeanza kunielewa nilichokuwa nakusudia kusema.
Ni zama hizi tulizonazo ushetani ni mwingi huwezi ukalinganisha na mwaka 1970.
Japo kuna nchi chache bado wameendeleza hizo tamaduni za wanawake kutunza bikira lakini na wanaume pia hawaruhusiwi kujihusisha na mapenzi na msichana hadi atakapooa na akikiuka anapewa adhabu kali unaweza hata ukauliwa,mfano wa nchi wenye mila hii ni Sudan Kusini.
Hajui hata malaya alikua bikra. So yeye atulie tu coz hao mabikra unakuta tuna warubuni sisi afu una walaumu tu. Bakra ili wawepo wanaume tuoe na sio kutest mitambo na kukimbiaHajielewi anachokiongea huyo anakurupuka na mihemko ili mradi ajifariji kwamba mkewe haliwi na watu wengine,siku akija kujua siri atazimia kama sio kufa.
Imekuuma eeh mdogo angu???? Vumilia spana hizo..Sasa kwanini yeye anaishi na asiye mke wake kama analijua hilo?🤔
Haijaniuma sababu chupa yangu ina mfuniko😂Imekuuma eeh mdogo angu???? Vumilia spana hizo..
Ni hatar kunywa soda umeikuta haina kizibo😂
Mmmmmmhhhhh mwandiko tu unaongea yote. Haya, acha tusuburi posaHaijaniuma sababu chupa yangu ina mfuniko😂
Anamaanisha hivi, mke wako ni yule muliyeingia agano kwa kumtoa bikra au kuwa wa kwanza kufanya naye ngono.Haina mantiki kabisa.
Kwa hiyo unataka kusema kama ulioa mwanamke wako akiwa bikra ndio wanaume wengine wakimtaka hawawezi kumpata?
Hahaha. Hii comment imenichekesha sana.Wanawake hawajitunzi kwa sababu mpo wanaume kama nyie ambao mnaoa tu bila kujali body count.
Hii mambo ya spiritual ndo inawapoteza watu, tupo kwenye dunia halisi mkuu.Anamaanisha hivi, mke wako ni yule muliyeingia agano kwa kumtoa bikra au kuwa wa kwanza kufanya naye ngono.
Yaani ile first date ndiyo ndoa ilifungwa spiritual. Hao waliogonga badala yako ni wazinzi wenzake
Yaani wewe kwa mfano unahitaji kuoa kwa hiyo ndio uanze kupita mitaani jamani natafuta mke ila kigezo chake awe ni bikira watu watakuona umechanganyikiwa,au wewe ukimuona mwanamke bila ya kumvua nguo kwa kumuangalia tu unawezaje kujua kama ni bikira?Hakuna popote nilipokuelewa, bikira ni kielelezo cha maadili mema na usafi wa mwanamke. Mwanamke ambae hana bikira wakati hajaolewa uyo ni mzinzi hatuwezi kuhalalisha uzinzi kwa kisingizio cha usasa. Wanawake hawajitunzi kwa sababu mpo wanaume kama nyie ambao mnaoa tu bila kujali body count.
Yes anashindwa kufikiria hilo.Hajui hata malaya alikua bikra. So yeye atulie tu coz hao mabikra unakuta tuna warubuni sisi afu una walaumu tu. Bakra ili wawepo wanaume tuoe na sio kutest mitambo na kukimbia
Na vipi mwanamke ambaye amebakwa tena na wanaume zaidi ya mmoja kisha bikra ikatoka?hao wote waliombaka watakuwa ni waume zake wa ndoa spiritually?Anamaanisha hivi, mke wako ni yule muliyeingia agano kwa kumtoa bikra au kuwa wa kwanza kufanya naye ngono.
Yaani ile first date ndiyo ndoa ilifungwa spiritual. Hao waliogonga badala yako ni wazinzi wenzake
Hii dhana ni dhaifu sana,ndio maana sehemu flani wanatoa ndogo ili kutunza bikra😁😁,ndio muhimu si ni bikra kukutwa iko vile vile!!!!ni heshima sana kwa muoaji kukuta bikra,so hata itamfanya kujiona kidume maana ana uhakika hana upinzani.Hakuna popote nilipokuelewa, bikira ni kielelezo cha maadili mema na usafi wa mwanamke. Mwanamke ambae hana bikira wakati hajaolewa uyo ni mzinzi hatuwezi kuhalalisha uzinzi kwa kisingizio cha usasa. Wanawake hawajitunzi kwa sababu mpo wanaume kama nyie ambao mnaoa tu bila kujali body count.
Hayo uliyoyaelezea possibility yake kutokea katika jamii 0.000001.Na vipi mwanamke ambaye amebakwa tena na wanaume zaidi ya mmoja kisha bikra ikatoka?hao wote waliombaka watakuwa ni waume zake wa ndoa spiritually?
Au mwanamke mwingine anaamua kupigwa mtungo siku ya kwanza tu na hapo unasemaje?
Unapotoa kanuni inabidi kanuni yako ifanye kazi kwenye conditions zote
Umejuaje?Sasa kwanini yeye anaishi na asiye mke wake kama analijua hilo?🤔