PostGE2025 Mzee wa Upako: Wanaosema Rais Samia anakosolewa sababu Muislamu, wamefilisika kimawazo. Wajibu hoja, wasiingize mambo mengine

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye nchi yetu, huko tumeshavuka

Lusekelo amesema, katika kura 98% alizopata Samia kuna kura za Wakristo, na Serikali ya awamu ya Sita inaungwa mkono na Wakristo. Hivyo watu wanapomkosoa Rais wanakuwa hawakosoi dini yake bali Rais wao, na wakimpongeza, hawapongezi uislamu bali Rais wao.

Pia amesema kuwa, wakatoliki walimpinga hadi Haya Magufuli alipotangaza kuwa nchini hakuna Covid-19, wao wakasema kuna covid watu wakae ndani.

Hayati Mkapa pia aliwapenda Waislamu ndio maana alitoa chuo cha Umma na kuwapatia waislam ili kuwa chuo kikuu, na hakuna wakristo waliolalamika.

Mzee wa upako anajifanya mjuaji kwenye kila kitu.

Alaaniwe mazima huyu Mzee.
 
Tumefika pabaya sana.. na lazima kinuke tu
 
Kwa hiyo anambishia hata bi mdashi maana yeye kasema anapingwa kwa kuwa ni muislamu
 
Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye nchi yetu, huko tumeshavuka

Lusekelo amesema, katika kura 98% alizopata Samia kuna kura za Wakristo, na Serikali ya awamu ya Sita inaungwa mkono na Wakristo. Hivyo watu wanapomkosoa Rais wanakuwa hawakosoi dini yake bali Rais wao, na wakimpongeza, hawapongezi uislamu bali Rais wao.

Pia amesema kuwa, wakatoliki walimpinga hadi Haya Magufuli alipotangaza kuwa nchini hakuna Covid-19, wao wakasema kuna covid watu wakae ndani.

Hayati Mkapa pia aliwapenda Waislamu ndio maana alitoa chuo cha Umma na kuwapatia waislam ili kuwa chuo kikuu, na hakuna wakristo waliolalamika.

Spot on , mzee wa
1764843974584.png

Tupo pamoja!!
 
Mzee wa upako, who are you kuhoji hoji wanaosema hivyo?
 
Back
Top Bottom