Naam mkuu ukweli mchungu, ila tupo katika hali ngumu. Ni heri hata waseme tumerudi chama kimoja tuUwezekano ni mdogo sana. Tayari kuna matukio ya udanganyifu mengi yameripotiwa, yakifanywa na watu wa chama tawala
Tusimlaumu Nyerere. Alikuwa na nia nzuri tu, na leo hii angekuwaapo kuna ujinga mwingi sana unaofanywa na Zanzibar asingeukubali na huenda angekuwa wa kwanza kusema muungano uvunjike. Kumbuka, Nyerere akiwa raisi wa Tanzania, alimtoa Abood Jumbe kuwa raisi wa Zanzibar kwa sababu ya ujinga kama huu. Sasa Samia ana ubavu wa kumtoa Mwinyi akiendekeza ujinga kule Zanzibar?Tabu ni Mzee Nyerere mwenyewe.
Kuendelea kukubali hali kama hii kwenye mikutano ya kimataifa ni matusi kwa Watanganyika
Ndicho kinasosemwa na thread hii, ni katika harakati hizo. Labda nikuulize, wewe sio Mtanganyika? Na kama ni Mtanganyika, mchango wako katika kuleta mamlaka ya Tanganyika ni nini au utakuwa nini?Badala ya kukaa kila siku kuwasema wazanzibari ambao kwa hiari yao wameamua kubaki na mamlaka yao, watanganyika tafuteni mamlaka yenu. Kulalamikia kila siku watu waliamua kutumia haki yao kupata wanachotaka ni kupoteza muda.
View attachment 3124713
Ona pia
Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano
Je waziri mkuu ni wa Muungano au Tanganyika?
Haya mambo ni ya ndani zaidi ya majina tunayojiita. Tujiite Tanzania bara, Tanganyika au Azania, hayo yote ni pambo la nje tu, sio jambo la msingiTanganyika iache kujiita Tanzania.
Mimi sina shida na hayo wanayolalamikia wengine. Ninachowashangaa ni kwanini wanapoteza muda kupiga kelele kwa mambo ambayo watu wametumia uhuru wao kuamua. Kwani ni lini ulisikia wanzanzinari hawataki watanganyika wawe na mamlaka yao?Ndicho kinasosemwa na thread hii, ni katika harakati hizo. Labda nikuulize, wewe sio Mtanganyika? Na kama ni Mtanganyika, mchango wako katika kuleta mamlaka ya Tanganyika ni nini au utakuwa nini?
Hapa Tatizo sio Wazanzibar, hili ni tatizo la Watanganyika. Watanganyika wakiamua hatutaki raisi toka Zanzibar awe raisi wa Tanzania, Zanzibar hawawezi kuzuia hilo. Watanganyika wakiamua hatutaki tena muungano Zanzibar hawawezi kuzuia hilo.Mimi sina shida na hayo wanayolalamikia wengine. Ninachowashangaa ni kwanini wanapoteza muda kupiga kelele kwa mambo ambayo watu wametumia uhuru wao kuamua. Kwani ni lini ulisikia wanzanzinari hawataki watanganyika wawe na mamlaka yao?
😂😂😂😂😂2025 tuwe makini, tupate Rais Mtanganyika, hata kama ni zezeta.
Tatizo liko kwa Watanganyika wowote.Nadhani tatizo liko kwa wanachama wa CCM wa Tanzania bara. Siku wakitambua Tanganyika ni kubwa kuliko CCM labda mambo ndio yatabadilika
Sawa kabisa, leo tunacheza mechi kati ya Watanganyika milioni 60 dhidi ya Wazanzibar milioni tatu, tumepigwa goli mbili kwa moja, na tunamlaumu kocha wetu wa zamani aliekwisha kufa miaka mingi iliyopita, Nyerere!Tatizo liko kwa Watanganyika wote.
We need our TanganyikaView attachment 3124713
Ona pia
Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano
Je waziri mkuu ni wa Muungano au Tanganyika?
Ni kawaida yetu kulaumu wengine kwa matatizo yetu wenyewe. Kuchukua hatua aaaah!!!Sawa kabisa, leo tunacheza mechi kati ya Watanganyika milioni 60 dhidi ya Wazanzibar milioni tatu, tumepigwa goli mbili kwa moja, na tunamlaumu kocha wetu wa zamani aliekwisha kufa miaka mingi iliyopita, Nyerere!
Hiyo ya muda sana.Video hii ni ya lini mkuu?
He messed up big time.Tusimlaumu Nyerere. Alikuwa na nia nzuri tu, na leo hii angekuwaapo kuna ujinga mwingi sana unaofanywa na Zanzibar asingeukubali na huenda angekuwa wa kwanza kusema muungano uvunjike. Kumbuka, Nyerere akiwa raisi wa Tanzania, alimtoa Abood Jumbe kuwa raisi wa Zanzibar kwa sababu ya ujinga kama huu. Sasa Samia ana ubavu wa kumtoa Mwinyi akiendekeza ujinga kule Zanzibar?
Kumbuka, ni Nyerere huyohuyo alieseme CCM wakileta mbofumbofu atajitoa, kwa sababu CCM sio mama yake kwamba hawezi kujitenga nae. Sasa unatajajia uvunjifu mkubwa huu wa katiba ya muungano Nyerere angeuvumilia?
🤮🤮🤮TAnganyika is dead, labda useme "bara"
We ushawai kumsikia raisi gani kaitaja katika miaka hii 25 ? Swali la pili zanzibar unaona inavotajwa kila kukicha?
Ni ccm ɓrooNANI AMETULOGA SISI WATANGANYIKA?
Tangu niione hii picha na kuona deep state imejikausha...ndipo rasmi nikaamini kuwa Nchi ya Tanganyika inarudi.View attachment 3124748
Hebu ona hapa. Hivi ni watu wenye akili ya kipumbavu kiasi gani wataendelea kukubali vitu kama hivi? Ina maana Watanzania wenye akili ya namna hii wako CCM peke yake?