Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Basi mwakani ni lazima tumwambie Samia kama bado anautaka Urais, akagombee Zanzibar, na siyo Tanganyika, maana anayetajwa kuwa Rais wa Tanzania, kiuhalisia ni Rais wa Tanganyika.View attachment 3124713
Ona pia
Pre GE2025 - Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Currently Bara kunaongozwa na Mtaalamu kutoka njewww.jamiiforums.com
Hii ni fedheha kubwa!! Yaani Tanganyika inatawaliwa na mtu ambaye siye raia wa Tanganyika!!
Samia awaondoe haraka sana mamia ya wazanzibari aliowatrua na kuwapachika kwenye nafasi mbalimbali za kiutawala Tanganyika. Kama anawataka, awapeleke Zanzibar maana kule wanan nchi yao.
Tanganyika haijafa na haitakuja kufa. Inaweza kubadilisha majina mara kadhaa lakini haiwezi kufa. Ni sawa na wewe, ukitaka unaweza kwenda kuapa kwa wakili na kulibadilisha jina lako lakini hiyo haimaanishi umekuwa mtu mwingine.TAnganyika is dead, labda useme "bara"