Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Amepotea kwani😄Mzee WARIOBA anatosha.
Bring back our WARIOBA 💪💪💪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepotea kwani😄Mzee WARIOBA anatosha.
Bring back our WARIOBA 💪💪💪
Ndio amepotezwa,Amepotea kwani😄
Vizuri hupatikana Kwa JASHO!!!!Mbona unatumia nguvu Sana.
Yupo wapi mbona siku hz simwoni unawasiliana nae?Vizuri hupatikana Kwa JASHO!!!!
Huyo ni Public figure,Yupo wapi mbona siku hz simwoni unawasiliana nae?
Subri wenye mamlaka wataamua..naona chawa upo Moto Sana unataka ukatuvulugie Tena bunge letuHuyo ni Public figure,
Ni MAARUFU Kwa kutenda HAKI,
Mtu muhimu Kwa KAZI muhimu,
Naamini hajambo maana tunamwombea Mungu amtunze Ili amalizie KAZI tilimtuma wananchi.
Mimi ni Mtanzania MZALENDO.Subri wenye mamlaka wataamua..naona chawa upo Moto Sana unataka ukatuvulugie Tena bunge letu
Tungeiangalia kwanza katiba ya chadema inasemaje juu ya ukomo wa Mwenyekiti...tujue Kama Mwenyekiti anakuwa wakumu/milele au anatakiwa akae madaraka kwa muda gani.Mimi ni Mtanzania MZALENDO.
Sijawahi hata Kumuona chawa live maana mm ni msafi wa Mwili, NAFSI na Roho.
Ungana nasi kudai KATIBA mpya na TUME HURU ya UCHAGUZI kabla ya Uchaguzi 2024/2025.
Pia ukumbuke,Subri wenye mamlaka wataamua..naona chawa upo Moto Sana unataka ukatuvulugie Tena bunge letu
Katiba ya chadema inasemaje juu ya ukomo wa madaraka ya Mwenyekiti..maana naona mwaka wa 30 Mwenyekiti Ni Yule yulePia ukumbuke,
KATIBA mpya hatudai tupewe na wenye viongozi maana hawana uwezo kikatiba Kwa Katiba iliyopo.
Ktk suala la Katiba mpya, hatuombi hisani au huruma Kwa viongozi.
WENYE MAMLAKA ni WANANCHI, na wakimtaka jambo lao, hayupo wa kuzuia.
Mzee WARIOBA ni CHADEMA?Tungeiangalia kwanza katiba ya chadema inasemaje juu ya ukomo wa Mwenyekiti...tujue Kama Mwenyekiti anakuwa wakumu/milele au anatakiwa akae madaraka kwa muda gani.
Hahaaaaa we jamaa kwahyo kumbe chadema hamna katiba ya chama kwahyo huyo Mwenyekiti Ni wakudumu ndo maana hamna ofs nyny....Ila unauelewa mdogo Sana wa vyama vya siasa...basilisheni kwanza katiba ya chadema kwenye ukomo wa madarakaMzee WARIOBA ni CHADEMA?
KATIBA mpya ikipatikana itafumua automatically KATIBA za vyama vya siasa.
Hivyo HAPANA haja ya kuanza na Katiba ya CDM, ni RASIMU ya WARIOBA irudi mezani tufanye marekebisho.
Pia kama Kweli ni mwanademokrasia,Katiba ya chadema inasemaje juu ya ukomo wa madaraka ya Mwenyekiti..maana naona mwaka wa 30 Mwenyekiti Ni Yule yule
Unamsema Hadi mfalme kuwa atang'atuka...Ila kushika dola hyo msahau....mkuu tuache sasaPia kama Kweli ni mwanademokrasia,
Ungeliona hili la CCM kukaa madarakani Kwa miaka zaidi ya 60 kuwa ni Tatizo.
Nakuhakikishia CDM ilishika Dola, Mkt Mbowe lazima atangatuka.
Pia ukumbuke mm Si mwanachama WA chama chochote ila nafuatilia Kwa karibu siasa za Nchi yangu,Katiba ya chadema inasemaje juu ya ukomo wa madaraka ya Mwenyekiti..maana naona mwaka wa 30 Mwenyekiti Ni Yule yule
Sawa mkuu yaishePia ukumbuke mm Si mwanachama WA chama chochote ila nafuatilia Kwa karibu siasa za Nchi yangu,
Tukiipata KATIBA mpya naamini yatakuwepo mabadiliko ktk Katiba za vyama vya siasa.
Ok.Sawa mkuu yaishe
Makamu wake awe Askofu BagonzaTuliona kazi iliyotukuka iliyofanywa na Tume ya kukusanya maoni juu ya Katiba mpya mwenyekiti wa Tume hiyo akiwa Mzee Warioba.
Walikuwepo wazee kama Mzee Sitta walioshiriki katika mchakato huo katika ngazi mbalimbali, pamoja na kuwa na afya njema enzi hizo, Leo hatunao tena Duniani lakini Mzee Warioba yupo.
Mzee Warioba ni Mzee aliyelitumikia Taifa letu Kwa uadilifu mkubwa na ameshiriki kikamilifu kulisaidia Taifa kufika hapa tulipo kwa uzoefu na busara zake.
Mzee Warioba ni Mzee amekula chumvi nyingi na kushiba siku nyingi za kheri katika Nchi yetu nzuri Tanzania. Hadi hivi leo Watanzania tunatambua mchango wake katika mambo mengi, lakini jambo kuu lililotugusa Watanzania ni Utumishi wake uliotukuka katika mchakato wa Katiba mpya.
Alizunguka Nchi nzima akiwa na Tume yake na Watanzania tulishiriki Kutoa maoni tukimuamini Nia yake njema juu ya Taifa letu. Pamoja na mchakato huo kukwama mwaka 2014, bado wananchi tunayo Imani juu yake kuwa ana uwezo kusaidia Nchi kupata KATIBA mpya nzuri ya kulivusha Taifa letu Kwa sasa.
Mnyukano unaoendelea wa wasaka urais usipotanguliwa na kupatikana Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hakika "Watatoana macho"
Watanzania tunaendelea kumuombea Kwa Mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu Ili ashuhudie Kwa macho yake maono yake ya nchi yetu ikipata katiba mpya itakayozaa vyama imara, Uchumi imara, viongozi mahiri na Usimamizi bora wa Raslimali zetu Kwa Sheria zinazotekelezeka.
USHAURI: Mzee Warioba Bado ana nguvu, busara, nia na utayari wa kumalizia kazi aliyoianza.
Arudishwe kwenye Tume ya Katiba mpya, mchakato uhuishwe UPYA, tuondoe uchafuzi Ule unaoitwa "Katiba Pendekezwa".
Tuanze na Rasimu ya Katiba mpya kabla ya kuingia Bunge la Katiba, mchakato uanzie hapo, tujadiliane Kwa kina mfumo mzuri wa kuwapata wabunge wa Bunge maalum la Katiba wasio mapandikizi ya chama Dola, na hatimaye tupate KATIBA mpya.
Mungu mbariki Mzee Warioba.
Mungu ibariki TANZANIA.
Amen.
Kipaumbele wanaamua wenyenchi, waajiriwa jukumu lao ni kutii matakwa ya bosses wa viongozi ambao ni wananchi.Kwa sasa siyo kipaumbele...
Wazo zuri.Makamu wake awe Askofu Bagonza