Mzee Warioba ateuliwe tena kukamilisha kazi aliyotumwa na Watanzania

Tuliona kazi iliyotukuka iliyofanywa na Tume ya kukusanya maoni juu ya Katiba mpya mwenyekiti wa Tume hiyo akiwa Mzee Warioba.

Walikuwepo wazee kama Mzee Sitta walioshiriki katika mchakato huo katika ngazi mbalimbali, pamoja na kuwa na afya njema enzi hizo, Leo hatunao tena Duniani lakini Mzee Warioba yupo.

Mzee Warioba ni Mzee aliyelitumikia Taifa letu Kwa uadilifu mkubwa na ameshiriki kikamilifu kulisaidia Taifa kufika hapa tulipo kwa uzoefu na busara zake.

Mzee Warioba ni Mzee amekula chumvi nyingi na kushiba siku nyingi za kheri katika Nchi yetu nzuri Tanzania. Hadi hivi leo Watanzania tunatambua mchango wake katika mambo mengi, lakini jambo kuu lililotugusa Watanzania ni Utumishi wake uliotukuka katika mchakato wa Katiba mpya.

Alizunguka Nchi nzima akiwa na Tume yake na Watanzania tulishiriki Kutoa maoni tukimuamini Nia yake njema juu ya Taifa letu. Pamoja na mchakato huo kukwama mwaka 2014, bado wananchi tunayo Imani juu yake kuwa ana uwezo kusaidia Nchi kupata KATIBA mpya nzuri ya kulivusha Taifa letu Kwa sasa.

Mnyukano unaoendelea wa wasaka urais usipotanguliwa na kupatikana Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hakika "Watatoana macho"

Watanzania tunaendelea kumuombea Kwa Mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu Ili ashuhudie Kwa macho yake maono yake ya nchi yetu ikipata katiba mpya itakayozaa vyama imara, Uchumi imara, viongozi mahiri na Usimamizi bora wa Raslimali zetu Kwa Sheria zinazotekelezeka.

USHAURI: Mzee Warioba Bado ana nguvu, busara, nia na utayari wa kumalizia kazi aliyoianza.

Arudishwe kwenye Tume ya Katiba mpya, mchakato uhuishwe UPYA, tuondoe uchafuzi Ule unaoitwa "Katiba Pendekezwa".

Tuanze na Rasimu ya Katiba mpya kabla ya kuingia Bunge la Katiba, mchakato uanzie hapo, tujadiliane Kwa kina mfumo mzuri wa kuwapata wabunge wa Bunge maalum la Katiba wasio mapandikizi ya chama Dola, na hatimaye tupate KATIBA mpya.

Mungu mbariki Mzee Warioba.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
Hatumtaki. Akili yake ishachoka. Atapewa peter kibatala.
 
Hujamsikia vizuri tundulissu hataki Rais awe na madataka ya kuteua mtu yeyote. Yeye (tundulissu) anatakackazi zote zitangazwe magazetini watu waombe kama ajira vile. Mwanbia Warioba asubiri tangazo la kazi aandike barua Dear Sir asubiri kuitwa kuhojiwa mtihani hazarani.
 
Serikali ya CCM bwana, hivi sijuwi kwanini hatuna kiongozi wa maana hapa nchini. Mze Warioba huyu huyu si alishasema kuwa ile katika aliyoishughulikia wakati wa Kikwete ndiyo bora zaidi, sasa wanamtuma nini tena au walimpa mabilioni na ushauri kuwa airekebishe ili rais na vibaka wake wasinyongwe kama tunavyotaka Watanzania?
 
Wananchi ndo tunamtaka WARIOBA na Rasimu alofanikiwa kuuandaa pamoja na team yake,

Rais atatimiza tu matakwa yetu Kwa kumteua.

Mchakato wa KATIBA mpya hautakiwi kumilikiwa na yeyote.
 
Hatumtaki. Akili yake ishachoka. Atapewa peter kibatala.
Naheshimu maamuzi Yako.

Unatumia kipimo kipi kujua akili ya Mzee Warioba imechoka?

Joe Bidden au Trump ilikuwaje wakachaguliwa Urais Nchi kama Marekani wakaacha vijana wa Rika lako?

Pia haendi kuanza UPYA mchakato, ni kumalizia KAZI tu.

Kama hutojali, Jenga HOJA Yako vizuri kwanini Awe Kibatala Badala ya Mzee Warioba ukiweka facts mezani.🙏🙏
 
Serikali ya CCM bwana, hivi sijuwi kwanini hatuna kiongozi wa maana hapa nchini. Mze Warioba huyu huyu si alishasema kuwa ile katika aliyoishughulikia wakati wa Kikwete ndiyo bora zaidi, sasa wanamtuma nini tena au walimpa mabilioni na ushauri kuwa airekebishe ili rais na vibaka wake wasinyongwe kama tunavyotaka Watanzania?
Msimamo wa Mzee Warioba juu ya Katiba mpya umenyooka, anania ya dhati na Nchi hii.

Waliohusika kuharibu mchakato ni kiongozi mkuu alokuwepo, Mzee Wassira, PINDA, Makonda, Sitta,na chama Cha CCM Wahafidhina.

Kamwe usimhusishe Mzee Warioba na Hujuma juu ya Katiba mpya.

Bring back our WARIOBA 💪💪

Bring back our Rasimu ya Warioba 💪
 
Naona hujanilewa.....mimi nimeshangaa tu kwa CCM kumtaka tena Mze Sinde aipitie katiba wakati alishasema Watanzania wanaitaka ile katiba kwani ni katiba bora kwa nchi hii. Kinachonishangaza ni kwanini CCM wanataka Mze wetu aipitie tena? Hii ndiyo hoja yangu. Wananchi tunataka viongozi wetu wanyongwe au kuuliwa tu ikibainika wameliibia taifa. Huku mitaani vibaka wezi wa kuku wanauliwa kwanini wezi wa mali ya umma serikalini wasiuliwe?
 
Wananchi ndo tunamtaka WARIOBA na Rasimu alofanikiwa kuuandaa pamoja na team yake,

Rais atatimiza tu matakwa yetu Kwa kumteua.

Mchakato wa KATIBA mpya hautakiwi kumilikiwa na yeyote.
Wananchi gani mbamtaka, mmemtaka lini mlikaa wapi? Huyo no mteule wa Rais alipatikana kwa sirisiri na ni kada wa CCM hakupigiwa kura na wananchi. Cha kufanya ni kusikil8za ushauri wa tundulissu, kazi itabgazwe kwenye magazei na TV na blogu za zittokabwe, ndipo Jaji Warioba aandike barua ya maombi, asailiwe, apambanishwe na maombi mengine hasa ya vijana na kuzingatia gender na pande mbili za muungano. Mie napendekeza fatmakarume awe Chaiman na askofubagonza awe Makamo wake tusingatie gender na pande mbili za Muungano.
 
Huyo Fatma Karume apotelee huko huko asije ingiza USHOGA kwenye Katiba yetu.

Narudia, mchakato huu Si wa Lisu au CHADEMA, ni WA Watanzania.

Na Kwa kuwa mchakato hauanzi UPYA,

Mzee WARIOBA Bado ni Chaguo sahihi.
 
Naona hujanilewa.....mimi nimeshangaa tu kwa CCM kumtaka tena Mze Sinde aipitie katiba wakati alishasema Watanzania wanaitaka ile katiba kwani ni katiba bora kwa nchi hii. Kinachonishangaza ni kwanini CCM wanataka Mze wetu aipitie tena? Hii ndiyo hoja yangu. Wananchi tunataka viongozi wetu wanyongwe au kuuliwa tu ikibainika wameliibia taifa. Huku mitaani vibaka wezi wa kuku wanauliwa kwanini wezi wa mali ya umma serikalini wasiuliwe?
CCM haimtaki WARIOBA, ndomana iliunda kikosi KAZI Cha Mukandala.

Mzee Warioba hasimamii maslah ya CCCM kwenye mchakato Bali anaitamani Tanzania mpya yenye ustawi.

Tunataka Mzee Warioba arudi kwenye Tume, Rasimu ya Katiba irudi mezani, na Rasimu hiyo iwe Ile ambayo ilikamilika kabla ya kuingia Bunge la Katiba na kuchakachuliwa.

Tunataka tuanzie kwenye Rasimu na sio KATIBA pendekezwa. Ile Rasimu ikiboreshwa na tukajadili mfumo mzuri wa kupata wajumbe wa Bunge la Katiba,

Tutapata Katiba mpya Bora Kwa vizazi vijavyo.

Mungu ibariki TANZANIA,

Amen
 
Mungu ibariki Tanzania na CCM ife moja kwa moja baada ya kupata katiba mpya na kufunga ama kunyonga viongozi wabadhilifu waliopo hai.
 
Tuliona kazi iliyotukuka iliyofanywa na Tume ya kukusanya maoni juu ya Katiba mpya mwenyekiti wa Tume hiyo akiwa Mzee Warioba.

Walikuwepo wazee kama Mzee Sitta walioshiriki katika mchakato huo katika ngazi mbalimbali, pamoja na kuwa na afya njema enzi hizo, Leo hatunao tena Duniani lakini Mzee Warioba yupo.

Mzee Warioba ni Mzee aliyelitumikia Taifa letu Kwa uadilifu mkubwa na ameshiriki kikamilifu kulisaidia Taifa kufika hapa tulipo kwa uzoefu na busara zake.

Mzee Warioba ni Mzee amekula chumvi nyingi na kushiba siku nyingi za kheri katika Nchi yetu nzuri Tanzania. Hadi hivi leo Watanzania tunatambua mchango wake katika mambo mengi, lakini jambo kuu lililotugusa Watanzania ni Utumishi wake uliotukuka katika mchakato wa Katiba mpya.

Alizunguka Nchi nzima akiwa na Tume yake na Watanzania tulishiriki Kutoa maoni tukimuamini Nia yake njema juu ya Taifa letu. Pamoja na mchakato huo kukwama mwaka 2014, bado wananchi tunayo Imani juu yake kuwa ana uwezo kusaidia Nchi kupata KATIBA mpya nzuri ya kulivusha Taifa letu Kwa sasa.

Mnyukano unaoendelea wa wasaka urais usipotanguliwa na kupatikana Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hakika "Watatoana macho"

Watanzania tunaendelea kumuombea Kwa Mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu Ili ashuhudie Kwa macho yake maono yake ya nchi yetu ikipata katiba mpya itakayozaa vyama imara, Uchumi imara, viongozi mahiri na Usimamizi bora wa Raslimali zetu Kwa Sheria zinazotekelezeka.

USHAURI: Mzee Warioba Bado ana nguvu, busara, nia na utayari wa kumalizia kazi aliyoianza.

Arudishwe kwenye Tume ya Katiba mpya, mchakato uhuishwe UPYA, tuondoe uchafuzi Ule unaoitwa "Katiba Pendekezwa".

Tuanze na Rasimu ya Katiba mpya kabla ya kuingia Bunge la Katiba, mchakato uanzie hapo, tujadiliane Kwa kina mfumo mzuri wa kuwapata wabunge wa Bunge maalum la Katiba wasio mapandikizi ya chama Dola, na hatimaye tupate KATIBA mpya.

Mungu mbariki Mzee Warioba.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
Alikuwa waziri mkuu
 
Alikuwa waziri mkuu
Alikuwa pia mkt wa Tume ya kukusanya maoni Nchi nzima juu ya KATIBA mpya.

KAZI Ile hakuikamilisha,

Tunadai muswada upelekwe bungeni mchakato uhuishwe tena.

Hatimaye tupate KATIBA mpya.
 
Mungu ibariki Tanzania na CCM ife moja kwa moja baada ya kupata katiba mpya na kufunga ama kunyonga viongozi wabadhilifu waliopo hai.
CCM ikifa sitasikitika.

Wameubaka mfumo mzuri uliowekwa na waasisi, Ule usemao,

Nitasema KWELI Daima, RUSHWA kwangu MWIKO.

Bring back our Rasimu ya
WARIOBA 💪💪💪
 
Tuliona kazi iliyotukuka iliyofanywa na Tume ya kukusanya maoni juu ya Katiba mpya mwenyekiti wa Tume hiyo akiwa Mzee Warioba.

Walikuwepo wazee kama Mzee Sitta walioshiriki katika mchakato huo katika ngazi mbalimbali, pamoja na kuwa na afya njema enzi hizo, Leo hatunao tena Duniani lakini Mzee Warioba yupo.

Mzee Warioba ni Mzee aliyelitumikia Taifa letu Kwa uadilifu mkubwa na ameshiriki kikamilifu kulisaidia Taifa kufika hapa tulipo kwa uzoefu na busara zake.

Mzee Warioba ni Mzee amekula chumvi nyingi na kushiba siku nyingi za kheri katika Nchi yetu nzuri Tanzania. Hadi hivi leo Watanzania tunatambua mchango wake katika mambo mengi, lakini jambo kuu lililotugusa Watanzania ni Utumishi wake uliotukuka katika mchakato wa Katiba mpya.

Alizunguka Nchi nzima akiwa na Tume yake na Watanzania tulishiriki Kutoa maoni tukimuamini Nia yake njema juu ya Taifa letu. Pamoja na mchakato huo kukwama mwaka 2014, bado wananchi tunayo Imani juu yake kuwa ana uwezo kusaidia Nchi kupata KATIBA mpya nzuri ya kulivusha Taifa letu Kwa sasa.

Mnyukano unaoendelea wa wasaka urais usipotanguliwa na kupatikana Kwa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hakika "Watatoana macho"

Watanzania tunaendelea kumuombea Kwa Mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu Ili ashuhudie Kwa macho yake maono yake ya nchi yetu ikipata katiba mpya itakayozaa vyama imara, Uchumi imara, viongozi mahiri na Usimamizi bora wa Raslimali zetu Kwa Sheria zinazotekelezeka.

USHAURI: Mzee Warioba Bado ana nguvu, busara, nia na utayari wa kumalizia kazi aliyoianza.

Arudishwe kwenye Tume ya Katiba mpya, mchakato uhuishwe UPYA, tuondoe uchafuzi Ule unaoitwa "Katiba Pendekezwa".

Tuanze na Rasimu ya Katiba mpya kabla ya kuingia Bunge la Katiba, mchakato uanzie hapo, tujadiliane Kwa kina mfumo mzuri wa kuwapata wabunge wa Bunge maalum la Katiba wasio mapandikizi ya chama Dola, na hatimaye tupate KATIBA mpya.

Mungu mbariki Mzee Warioba.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
.
 
Back
Top Bottom