Mzee Warioba ateuliwe tena kukamilisha kazi aliyotumwa na Watanzania

Amepotea kwani😄
Ndio amepotezwa,

Haiwezekani tuondolewe REAL afu tupewe FAKE,

Yaani tumtake WARIOBA tuletewe Mkandara!!!

Bring back our WARIOBA 💪💪💪
 
Yupo wapi mbona siku hz simwoni unawasiliana nae?
Huyo ni Public figure,

Ni MAARUFU Kwa kutenda HAKI,

Mtu muhimu Kwa KAZI maalum.

Naamini hajambo maana tunamwombea Mungu amtunze Ili amalizie KAZI tulomtuma wananchi.
 
Huyo ni Public figure,

Ni MAARUFU Kwa kutenda HAKI,

Mtu muhimu Kwa KAZI muhimu,

Naamini hajambo maana tunamwombea Mungu amtunze Ili amalizie KAZI tilimtuma wananchi.
Subri wenye mamlaka wataamua..naona chawa upo Moto Sana unataka ukatuvulugie Tena bunge letu
 
Subri wenye mamlaka wataamua..naona chawa upo Moto Sana unataka ukatuvulugie Tena bunge letu
Mimi ni Mtanzania MZALENDO.

Sijawahi hata Kumuona chawa live maana mm ni msafi wa Mwili, NAFSI na Roho.

Ungana nasi kudai KATIBA mpya na TUME HURU ya UCHAGUZI kabla ya Uchaguzi 2024/2025.
 
Mimi ni Mtanzania MZALENDO.

Sijawahi hata Kumuona chawa live maana mm ni msafi wa Mwili, NAFSI na Roho.

Ungana nasi kudai KATIBA mpya na TUME HURU ya UCHAGUZI kabla ya Uchaguzi 2024/2025.
Tungeiangalia kwanza katiba ya chadema inasemaje juu ya ukomo wa Mwenyekiti...tujue Kama Mwenyekiti anakuwa wakumu/milele au anatakiwa akae madaraka kwa muda gani.
 
Subri wenye mamlaka wataamua..naona chawa upo Moto Sana unataka ukatuvulugie Tena bunge letu
Pia ukumbuke,

KATIBA mpya hatudai tupewe na viongozi maana hawana uwezo kikatiba Kwa Katiba iliyopo.

Ktk suala la Katiba mpya, hatuombi hisani au huruma Kwa viongozi.

WENYE MAMLAKA ni WANANCHI, na wakitaka jambo lao, hayupo wa kuzuia.
 
Pia ukumbuke,

KATIBA mpya hatudai tupewe na wenye viongozi maana hawana uwezo kikatiba Kwa Katiba iliyopo.

Ktk suala la Katiba mpya, hatuombi hisani au huruma Kwa viongozi.

WENYE MAMLAKA ni WANANCHI, na wakimtaka jambo lao, hayupo wa kuzuia.
Katiba ya chadema inasemaje juu ya ukomo wa madaraka ya Mwenyekiti..maana naona mwaka wa 30 Mwenyekiti Ni Yule yule
 
Tungeiangalia kwanza katiba ya chadema inasemaje juu ya ukomo wa Mwenyekiti...tujue Kama Mwenyekiti anakuwa wakumu/milele au anatakiwa akae madaraka kwa muda gani.
Mzee WARIOBA ni CHADEMA?

KATIBA mpya ikipatikana itafumua automatically KATIBA za vyama vya siasa.

Hivyo HAPANA haja ya kuanza na Katiba ya CDM, ni RASIMU ya WARIOBA irudi mezani tufanye maboresho na marekebisho.
 
Mzee WARIOBA ni CHADEMA?

KATIBA mpya ikipatikana itafumua automatically KATIBA za vyama vya siasa.

Hivyo HAPANA haja ya kuanza na Katiba ya CDM, ni RASIMU ya WARIOBA irudi mezani tufanye marekebisho.
Hahaaaaa we jamaa kwahyo kumbe chadema hamna katiba ya chama kwahyo huyo Mwenyekiti Ni wakudumu ndo maana hamna ofs nyny....Ila unauelewa mdogo Sana wa vyama vya siasa...basilisheni kwanza katiba ya chadema kwenye ukomo wa madaraka
 
Katiba ya chadema inasemaje juu ya ukomo wa madaraka ya Mwenyekiti..maana naona mwaka wa 30 Mwenyekiti Ni Yule yule
Pia kama Kweli ni mwanademokrasia,

Ungeliona hili la CCM kukaa madarakani Kwa miaka zaidi ya 60 kuwa ni Tatizo.

Nakuhakikishia CDM ikishika Dola, Mkt Mbowe lazima atangatuka.
 
Pia kama Kweli ni mwanademokrasia,

Ungeliona hili la CCM kukaa madarakani Kwa miaka zaidi ya 60 kuwa ni Tatizo.

Nakuhakikishia CDM ilishika Dola, Mkt Mbowe lazima atangatuka.
Unamsema Hadi mfalme kuwa atang'atuka...Ila kushika dola hyo msahau....mkuu tuache sasa
 
Katiba ya chadema inasemaje juu ya ukomo wa madaraka ya Mwenyekiti..maana naona mwaka wa 30 Mwenyekiti Ni Yule yule
Pia ukumbuke mm Si mwanachama WA chama chochote ila nafuatilia Kwa karibu siasa za Nchi yangu,

Tukiipata KATIBA mpya naamini yatakuwepo mabadiliko ktk Katiba za vyama vya siasa.
 
Pia ukumbuke mm Si mwanachama WA chama chochote ila nafuatilia Kwa karibu siasa za Nchi yangu,

Tukiipata KATIBA mpya naamini yatakuwepo mabadiliko ktk Katiba za vyama vya siasa.
Sawa mkuu yaishe
 
Makamu wake awe Askofu Bagonza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…