Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Kijini kwetu kulikuwa na msikiti mmoja halafu mdogo mkuu kuu, ulikuwa umechakaa sana kwasababu ulijengwa enzi za ukoloni na waarabu waliofika kijijini hapoFriends and Our Enemies,
Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.
Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.
Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Polepole.
Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Kitima
Warioba anaakisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama Lissu, Heche, Gwajima na kadhalika.
Ni muendelezo wa drama zile zile, anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya Kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?
Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?
Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.
Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.
Kama Warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tu kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija
Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Kwasababu hiyo kulikuwa na idadi ndogo sana ya waislamu ambapo wengi wao walikuwa wenye asili ya kiarabu na wale waliokuwa wafanyakazi wao
Shuleni kuna wakati watoto wa kike walianguka mapepo (sisi kule wanaita majini). Kwa bahati mbaya wote walioanguka walikuwa watoto wa kiislamu
Sasa bwana, story zikaanza kila mmoja anaongea lake kuhusu lile tukio.
Story iliyovuma zaidi ni kuwa waislamu wanafuga majini na majini kuna wakati wanajigeuza na kuwa na sura ya binadamu kwa hiyo wale waliopandisha sio binadamu ila ni majini yaliyovaa sura za binadamu
Story ikawa kubwa na watoto wengi (kama sio wote) tukaamini kwasababu hizo story zilisemwa na wakubwa wakiwemo wazazi na Babu na Bibi zetu (kumbuka ukubwa ni dawa)
Hatua hiyo iliwaogopesha baadhi ya watoto wa kiislamu hivyo wengi tukawa tunaenda nao kanisani hasa kwenye vipindi vya watoto baada ya masomo na jumamosi(japo mara nyingi walivutiwa na michezo yetu, kama mpira, kwaya, maigizo nk)
Pamoja na story zote hizo za kufuga majini pamoja na kuogopesha, lakini sisi kwa sisi hatukuogopana kwasababu unakuta labda mmoja ni mtoto wa mjomba yako, jirani, ndugu wengine.Hata hivyo, kilichoogopwa zaidi ni ULE MSIKITI. Yaani tulikuwa tukipita karibu nao tunatimua mbio tena wakati mwingine tunafumba na macho tusiuone kwasababu tuliamini mule ndani WANAFUGA MAJINI, yaani ni ZIZI LA MAJINI
Hii ilipelelea watoto wengi wa kiislamu kuogopa hadi kwenda madrassa ikapelekea wengine kupelekwa kwa lazima tena na viboko juu
Sasa basi, nikisoma story kama hizi zinazoeneza ubaguzi wa kidini hasa hasa zikienezwa na Waislamu, aah!..nachoka kabisa mimi mtoto wa Clemence Mwandabo....yaani naona kama zinaenezwa na MAJINI sio binadamu