Hii ni kweli lakini clip ile ni ya wakati wa hayati JPM kama unataka husisha.
Mzee Warioba hawezi kuwa msafi ktk hili, wao ndio wasanifu wa nchi hii na katiba tuliyo nayo, kama walikuwa na nia na ya dhati wangelibadili siku nyingi. Naomba soma kwa makini hapo chini kama utanielewa kuhusu upande wa kina warioba na katiba.
Wao wanaamini katiba ya nchi hii haina tatizo ni nzuri kama itapata kiongozi mzuri, rudia tena hio statement.
Sasa Kiongozi mzuri ni nani? ukiwapima kwa historia ilivyo mpaka sasa, kiongozi mzuri ni yule anae toka ktk camp yao kina Mzee Warioba, na in most cases kiongozi huyo/hao wamekuwa ni wakristo mpaka sasa, hili ni ktk mambo yanayo changia sana kuleta hizo hisia za udini! Kwa msingi huu ndio maana licha ya wao kusimamia katiba mpya, lakini alipo ingia JPM wote (Mzee Warioba na kina Polepole) wakasasau kuhusu katiba kwasababu ndani ya mioyo yao wanaamini nchi ina Rais bora kwa wakti ule. Hivyo ni vigumu wao kukwepa tuhuma za udini, hata kama mimi nadhani kuna swala la utofauti wa ideology kati ya upande wa Warioba na upande mwingine hasa ule wa viongozi wa ki-islam, tofuati kati ya pande hizi ni kuwa upande wa kina warioba wanaamini wao ndio standard of leadership dhidi ya wengine, jambo amablo pia nadhani linachngia ktk hii crisis ya sasa.