PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Siku hizi ukiangalia taarifa za habari tz, shughuli za serikali haukosekani ushungi,sasa wanaumia kweli
Baadhi ya makobazi huwa ni zaidi ya wajinga, inakuwa kama urithi vile!.
Badala mhangaike na hoja za Warioba mnakimbilia kujificha kwenye kichaka cha udini...na samuya naye kashajua msivyo na akili kama yeye basi anawatumia tu hovyo kusudi ai divert mada!.
Prof Lipumba muislam msomi alimpinga samuya kwa kumwambia ANAPWAYA PWAYA, udini uko wapi hapo???
Yaani mtu ashindwe kutuongoza vizuri akikosolewa useme ni uislam umesababisha, uislam ulimtuma afumbie macho utekaji na kuuwa wanaomkosoa...sura gani ktk Quran imeagiza hivyo??!!.
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Polepole.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Kitima

Warioba anaakisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama Lissu, Heche, Gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile, anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya Kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama Warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tu kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Acha udini wewe Huna hoja unakimbilia udini uzuri gen z na mambo ya dini mbalimbali kwa hiyo wanakuona boya tu
 
Kwahiyo mnataka kuleta udini Sasa? Mi Muslim ila suala la mtu akikosoa kumnasabisha na dini ni hatari sana!
Warioba tangu enzi magu alikuwa anakosoa sana pia,bila kujali alikuwa mkristo mwenzie
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Polepole.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Kitima

Warioba anaakisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama Lissu, Heche, Gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile, anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya Kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama Warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tu kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.

Nyie MACHAWA sojui MBA akili gani? Je anachokisema ni kweli au si kweli?

Nyie mnataka anyamaza kama wengine ili waendelee na BUSINESS AS USUAL?
 
Watu kama nyie wabaguzi,wanafiki ndio mliotufikisha hapa kama Nchi...

Mtu' akiongea ukweli mara mnaanza ni mkatoliki, mara mkristo, mara ni chadema, mara wamepewa hela, mara wanawachonganisha kwasababu mna rasilimali nyingi kuliko wote Duniani

Nyie watu nyie, embu acheni hii tabia... Mbona hamna misimamo mnaweweseka kila iitwapo leo... Hakuna anayefurahia yanayoendelea, hakuna anayefurahia vifo vya vijana walionyimwa uhai wa kuishi kisa kulinda madaraka ya Duniani ambapo siku moja tunaweza kufa na kutoonekana tena Duniani.

Acheni bhana, ukweli upo na usemwe...

Mara ni vijana kutoka nje ya nchi, mara wamelipwa, Mara tunawaombea wapumzike kwa amani, mara tumewadhuru kutokana na waliyoyatenda, Mara wanatuonea wivu kwasababu tuna rasilimali nyingi....

Hizo rasilimali nyingi mbona hatuzioni
Mara ni vita vya uchumi vya madini adimu na uranium kulingana na Madelu!
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Polepole.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Kitima

Warioba anaakisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama Lissu, Heche, Gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile, anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya Kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama Warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tu kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Kaka binadamu kukosoa ni hulka yake,Mungu wenyewe kuna watu wanamkosoa na kumpinga,na bado Allah anawaruzuku kama kawaida, binadamu ndio kaumbwa ivyo, cha msingi watu waachwe waongee hadi midomo ichoke yenyewe! Maana akidhibitiwa huyu yule nae anaongea, dawa ni kuwapuuza au kuwajibu kwa hoja tu.
 
Wamezoea kuona safu zote zina majina yao
Na ilikuwa hivyo kwa miaka mingi sana
Sasa meza imepinduliwa ndio wanalialia udini
Inakusaidia nini wewe Sheikh ubwabwa Wazanzibari na familia za kina Samuya, Mkwere n.k wakijaa kwenye nafasi za utawala??
 
Huyo hana credibility ya kuzungumzia chochote nchi hii baada ya kushutumu teuzi za Samia Zina harufu ya udini
Ale pensheni asubiri kabuli,asivuruge nchi
Bibie utakufa wewe huyo Babu yupo hapo hapo!
 
Nadhani umekosa hoja unaibuka na hoja ya udini. Zamani ID yako aliluwaga le mutuz mara Juma pinto.

Najua una nafasi ya kushauri lakini kama umefikia udhauri wa.aina hii basi iko kazi kubwa kuliponya taifa.

Wajua.Warioba ni zao la Nyerere si la TEC. Unapingana na nyerere mwenyewe hapo
 
Tunamuheshimu sana huyu Mzee lakini mambo anayoongea sasa hivi anaonyesha kabisa ana agenda.Eti kasimamishwa na trafic police barabarani wanamueleza habari ya udini na ukabila.Mara anaanza kutoa takwimu za vifo baada ya fujo walizofanya vijana wakati na baada ya uchaguzi analinganisha na vita vya Kagera.Mzee wetu wetu huyu tunayemuheshimu sana na tunampenda ila ana lake jambo.

Na ukimuangalia sura yake amefurah kweli kweli atakuwa amerukwa na akili
 
Hata Tundu lisu ambae mnasema ni shujaaa wenu amenusurika kifo kutoka mikononi mwa rais aliekawa kijana wa TEC

Let us be very clear on this,makafiri
Tumekuwa tunawavumilia *****.***** zenu za udini kwa muda mrefu sana toka zama za uhuru nchi hii imekuwa maskini kwa sababu ya wanaojiita wasomi wa kanisa kugeuza elimu yao kama kitivo.cha kuufanyia umalaya uchumi wa nchi hii

Na kila akija Rais muislam chuki zenu zinazidi maradufu..this time tutakula sahani moja na nyinyi bampa to bampa
Mkuu unajiongelesha kujifurahisha tu nyie hamna kitu hamjitambui wengi wenu!

Kwamfano, hapa umetuonesha Jiwe (M-tec) alitaka kumuua Lissu (M-tec) mwenzie sasa swali udini uko wapi hapo?!.

Wewe una chuki tu na wagalatia hata hivyo unateseka buure tu wagalatia historically lazima waende shule na hivyo lazima wataendelea kushika nafasi nyingi serikalini...we nenda hata udsm au udom fanya tafiti wakristo na waislam wapi ni wengi!
 
we jamaa sasa unachekesha! Mnasema hawana nguvu huku mmekazana kuwasakama. Kila mtu sasa akiongea against regime basi ni TEC, bila shaka atakapoongea muislam mwenzenu mtasema ni wakala wa TEC. Why mnakuwa na inferiority complex eny waislam, ni nani aliyewaloga? Kila mtu, kila kitu, mfumo ni TEC, hapo hapo mnasema TEC haina nguvu, haya, kama mnaona ni kitisho ifuteni, mamlaka mnayo, hapo ndiyo mtajua hamjui kuwa ina nguvu au haina
Prof Lipumba alisema Samuya ANAPWAYAPWAYA so naye ni TEC!
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Polepole.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Kitima

Warioba anaakisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama Lissu, Heche, Gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile, anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya Kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama Warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tu kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Tulisema milio itasikika...kitu kimeingia vizuri hadi kwenye maini...bado wakata vichwa wengine watasikika
 
Mfadhili mkuu wa Mange Kimambi (Mwislamu) ni Makamba na Kinana ongeza list mpya ya Ummy alirekodiwa kuwa Samia akilewa huwa hajitambui anakuwa chawote..
Yule bibi anagawa utamu kama peremende akilamba nyagi, hiyo niliipata tangu alipoteuliwa kuwa running mate wa Mwendazake.
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Polepole.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Kitima

Warioba anaakisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama Lissu, Heche, Gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile, anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya Kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama Warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tu kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Hakuna mwenye uwezo wa kumjibu warioba wala TEC, mnajinyea nyea tu. Huwezi kutawala watu uliowaulia ndugu zao kinyama vile, halafu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kwenye udini. The truth is, SAMIA NI MUUAJI, ndo legacy atakayoiacha na ndivyo historia itakavyomkumbuka.
 
KAKUDANGANYA NANI WEWE FALA ...NCHI IMEKUWA MASIKINI KWA SABABU YA MARAIS WAISLAMU HUO UKWELI TAYARI WAISLAMU WENZAKO KWA ASILIMIA 70% WAMEUTAMBUA, MARAIS WAKRISTO WANAJENGA MARAIS WAISLAMU WANAKUJA KUVUNJA NA KUFISADI NCHI NA FAMILIA ZAO....BAADA YA SAMIA KUSHIKA NCHI NA GENGE LA RAIS MSTAAFU KIKWETE, NDIYO WAISLAMUWENGI WAMETAMBUA NA KUKUBALI HUU UKWELI ...NDIYO MAANA HATA MIKOA YENYE WAISLAMU KWA ASILIMIA 80% SAMIA NA CCM YAKE AWAJAPIGIWA KURA ...NIONYESHE FOLENI ZA WAPIGA KURA KWENYE MKOA WOWOTE WENYE WAISLAMU WENGI ? HATA HAPA DAR AMBAPO WAISLAMU NA WAKRISTO NI KAMA NUSU KWA NUSU JE ULIONA FOLENI KWENYE KITUO GANI CHA KUPIGIA KURA ....WALIO PIGA KURA DAR ES SALAAM NZIMA AWAZIDI WATU 20000 -25000 TENA NI WALE WALIO LAZIMIKA KUPIGA KURA ...NIJIBU KWANINI WAISLAMU AWAKWENDA KUPIGA KURA ? VULUGU DAR ZILIANZA SAA 7 MCHANA ..KIKAWAIDA SIKU ZA UCHAGUZI FOLENI ZA WAPIGA KURA ZINAANZAGA ASUBUHI KABISA ...KWANINI VITUO VILIKUWA VYEUPE ?....MAANA YAKE WAISLAMU WA KAWAIDA WAMEKUBALI NA KUTAMBUA KUWA WAISLAMU WENZAO NDIYO SHIDA YA TAIFA...

TZ HAKUNA KIONGOZI YOYOTE MUISLAMU MZALENDO KAMA YUPO NITAJIE MMOJA ?

KUKUJIBU KAFIRI KAMA WEWE HADI UELEWE KAZI NI KUBWA KWA SABABU INAONESHA KIWANGO CHAKO CHA UJINGA NI KIKUBWA SANA

KWANZA,RAISI WA NCHI NI TAASISI NA SIYO MTU MMOJA...CHINI YAKE ANA WASAIDIZI WAKE NA WATUMISHI

WATUMISHI NCHI HII ZAID YA ASILIMIA TISINI NI WAKRISTO WANAOJIITA WASOMI WA KANISA,HAO NDIYO HUSHURIKI KWENYE MIKATABA MIBOVU YA RASILIMALI ZA NCHI HII KAMA TAIFA HAO NDIYO HUSHIRIKI KWENYE WIZI NA UFISADI NA HATA MWENDAZAKE ALIPOKUJA NA ZOEZI LA VYETI FEKI ASILIMIA TISINI YA WATU WAMEKUTWA NA VYETI FEKI NI HAO WASOMI WA KANISA

KWAHIYO UNATAKIWA KUFAHAM KWAMBA NCHI HII IMEUMIZWA SANA NA KANISA,KUNA KIPINDI JPM ALISIKIKA AKIWAAMBIA MAASKOFU AWAMU HII SADAKA ZITAPUNGUA HUKO MAKANISANI ALISEMA HIVYO KWA KUWA ALIKUA ANAJUA WEZI WENU WENGI PESA WANAPELEKA MAKANISANI KAMA FUNGU LA KUMI. MFANO NIMEKUPA SAKATA LA ESCROW

RAIS ALIEKAA MADARAKANI MIAKA MINGI NA KUSABASHIA TAIFA HILI UMASKINI KWA MIAKA 23 NI MKATOLIKI MWENZENU NYERERE...SISI WAISLAM UKWELI WENYEWE MNAUJUA...NI WATU WA HAKI NA UWAZI...SAFARI HII HATUTAWAPA NAFASI YA KUTUYUMBISHA HATA KIDOGO...KWA MASLAHI YA NCHI HII TUTAILINDA AMANI HII NA KUWAPA PONGEZI MAJESHI YETU YOTE KWA UJASIRI WA KIZALENDO
 
Back
Top Bottom