PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Lazima uwe huna akili kutarajia matamko yalingane kwa biongozi wote ilihali matendo ya watawala hayafanani. Matamko na maonyo pale utawala unapotenda mambo yasiyo sahihi. Na matamko siyo ya TEC pekee, pia kulikuwepo matamko ya taasisi mbalimbali kama vile TLS, KKKT, chama ha wanasheria wanawake, n.k. Lakini kwa vile fikra zako zimefungwa na ujinga wa mtazamo wa kidini, unaangalia matamko ya TEC pekee.

Hao uliowataja hao kama TLS,CHADEMA,WANASIASA NA KADHALIKA HAO NI HASA KAZI YAO NI HIYO KUTOA HAYO MATAMKO..NA KAZI YA KANISA NI KUHUBIRI NENO NA KUJENGA AMANI KWA WAUMINI WAKE NA SIYO KUJA KUIPA MASHINIKIZO YASIYO NA MASHIKO SERIKALI
 
Ana credibility kubwa tu, and when ameshutumu?
Njoo na facts ya kupinga hoja yake badala ku divert kwenye mambo ya dini

No room for excuse safari hii

I think ambao hamna room ya excuse this time around ni nyinyi makafiri

Warioba katamka mwenyewe kuwa katika wale maaskari polisi eti waliomsimaisha walimlalamkia kuwa katika utendaji wao kuna udini...teh teh teh..makafiri bana kumbe hata wakizeeka wanazeeka na upumbavu wao...sasa udini uko wapi katika utendaji wa jeshi la polisi??

Kwanini mnaumia sana na hiyo shungi ya huyo.madame prezoo.?

Hii yote ni chuki tuh mlizonazo vifuani mwenu...nchi inaenda na mkitaka kuleta fujo.cha moto mtakiona
 
TEC kaingia vipi hapa?Hivi TEC atake kuwafitini unadhani hata mwaka mtamaliza?

Vatican wana balozi zao hapa sio?Vatican ni nani na TEC ni nani?(si familia au sio?)

Pope kiongozi mkuu wa kanisa unajua anatokea nchi gani?(Marekani si ndio?)

Hii picha ndogo tu niliyokupa TEC wakasema walibebe kuna kitu mtafanya kweli?.Anyway kanisa halijawahi kuwa na interest na ujinga wenu,huwa wanatokea tu kutimiza jukumu lao la kitume na kuondoka basi
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Polepole.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Kitima

Warioba anaakisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama Lissu, Heche, Gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile, anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya Kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama Warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tu kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Umekalia udini tu mpumbavu wewe. Uzuri Watannganyika tumeshawajua kuwa nyie ni washenzi na mnataka kutugawa kwa udini. Wapi Mzee Warioba kaongelea udini?
 
Watu kama nyie wabaguzi,wanafiki ndio mliotufikisha hapa kama Nchi...

Mtu' akiongea ukweli mara mnaanza ni mkatoliki, mara mkristo, mara ni chadema, mara wamepewa hela, mara wanawachonganisha kwasababu mna rasilimali nyingi kuliko wote Duniani

Nyie watu nyie, embu acheni hii tabia... Mbona hamna misimamo mnaweweseka kila iitwapo leo... Hakuna anayefurahia yanayoendelea, hakuna anayefurahia vifo vya vijana walionyimwa uhai wa kuishi kisa kulinda madaraka ya Duniani ambapo siku moja tunaweza kufa na kutoonekana tena Duniani.

Acheni bhana, ukweli upo na usemwe...

Mara ni vijana kutoka nje ya nchi, mara wamelipwa, Mara tunawaombea wapumzike kwa amani, mara tumewadhuru kutokana na waliyoyatenda, Mara wanatuonea wivu kwasababu tuna rasilimali nyingi....

Hizo rasilimali nyingi mbona hatuzioni
 
Hao uliowataja hao kama TLS,CHADEMA,WANASIASA NA KADHALIKA HAO NI HASA KAZI YAO NI HIYO KUTOA HAYO MATAMKO..NA KAZI YA KANISA NI KUHUBIRI NENO NA KUJENGA AMANI KWA WAUMINI WAKE NA SIYO KUJA KUIPA MASHINIKIZO YASIYO NA MASHIKO SERIKALI
Ww hata kazi ya kabisa huijui, si ku deliver neno na kukemea maovu.
Kanisa linafuata msingi wa Yesu kristo ambae licha la kutangaza neno alikemea maovu, at one point hata kwa hasira kabisa alipokuta hekalu linatumia ndivyo sivyo

Kama si mkristo huwezi elewa haya
 
Huwezi kuua watu wengi kuliko hata vita vya kagera alafu ufunike kombe kama hamna kilichotokea, wasipowajibishwa leo, watawajibishwa huko mbeleni!

Uhalifu mkubwa kuwahi kufanyika Tanganyika ni huu wa Oct 29!

Shenzy kabisa,si mnapiga kelele nyinyi makafiri kuwa kuna mass graves?ziko.wapi hizo mqss graves muioneshe dunia waone?

Nchi hii unaweza kuuwa watu wote hao then kusiwe na misiba na maombolezi yanayofanana na misiba hiyo all over the country??mnataka kumfanya nani fala wa kumeza propaganda zenu.

Pamoja na hivyo ukitaka wale wahuni waachwe wanaichoma.nchi moto na kutishia kupindua serikali hadi watimize ndoto yao na.ndoto ya kanisa ya kumtoa Rais madarakani itimie siyo??

Sasa fanyeni mje tena kisha muone
 
I think ambao hamna room ya excuse this time around ni nyinyi makafiri

Warioba katamka mwenyewe kuwa katika wale maaskari polisi eti waliomsimaisha walimlalamkia kuwa katika utendaji wao kuna udini...teh teh teh..makafiri bana kumbe hata wakizeeka wanazeeka na upumbavu wao...sasa udini uko wapi katika utendaji wa jeshi la polisi??

Kwanini mnaumia sana na hiyo shungi ya huyo.madame prezoo.?

Hii yote ni chuki tuh mlizonazo vifuani mwenu...nchi inaenda na mkitaka kuleta fujo.cha moto mtakiona
Kwenye kauli yake hakuna mahali amelalamika kuwa baadhi ya askari eti walisema kuna utendaji wa kidini

Actuall bullshit unaandika hapa, nimesikiliza hotuba mwanzo hadi mwisho, no where amegusia dini ila utendaji wa polisi
 
Wakristo hata uwapitishe kwenye bonde la uvuli wa mauti huona ushindi, hawana inferiority complex kama waislam. Spirit ya kiislam ni tofauti na ya kikristo, hata mentality ni tofauti
 
Ww hata kazi ya kabisa huijui, si ku deliver neno na kukemea maovu.
Kanisa linafuata msingi wa Yesu kristo ambae licha la kutangaza neno alikemea maovu, at one point hata kwa hasira kabisa alipokuta hekalu linatumia ndivyo sivyo

Kama si mkristo huwezi elewa haya

Nenda kasome history ujue kanisa jinsi missionaries kama.agents of colonialism walivyoshiriki kwenye sramble and partion of africa berlin conference 1888/85 na jinsi gani kanisa lilishiriki katika kuwauza wazee.wetu na kuwafanya watumwa

Nenda kaone mbakaki ya kanisa kama.Fort Jesus almaarufu kama ngome ya yesu hapo bagamoyo

Nenda zanzibar kaone kanisa ambalo lilitumika kuombe watumwa kabla hawajasirishwa kwenda nje ya nchi

Nenda Rwanda kaone jinsi kanisa lilivyoshiriki katika mauaji ya halaiki

Rudi hapa bongo jifunze namna gani kanisa lilizipa kisogo harakati za kupigania uhuru wa nchi hii na kushirikiana na mkoloni kisha leo wanakuja hapa kujifanya wao wana uchungu na nchi hii

Kanisa ni balaa tuh ndani ya taifa hili
 
Huwezi kuzuia ukweli, hata ukifunika ukweli na karatasi ukweli utatoboa karatasi
Au mmesahau hadithi ya mfalme na kinyozi
 
Wakristo hata uwapitishe kwenye bonde la uvuli wa mauti huona ushindi, hawana inferiority complex kama waislam. Spirit ya kiislam ni tofauti na ya kikristo, hata mentality ni tofauti

Nani ana inferiory complex baina ya waislam na wakristo nchi hii

Makafiri nchi hii wamejawa na ugonjwa wa islamophobia na chuki

Just.imagime walivyojazana serikalini wanafanya wizi na ufisadi kisha leo wanakuja kulalamika udini kwenye serikali...sasa tunashangaa kwani nyinyi makafiri mkitaka pekeyenu mmbakie huko serikalini kwani mmeambiwa ni vigango vya kanisa huko??

Mnasema ati ninyi ni wasomi...sasa usomi wenu uko wapi mbona nchi hii inaendelea kuwa maskini?
 
Nenda kasome history ujue kanisa jinsi missionaries kama.agents of colonialism walivyoshiriki kwenye sramble and partion of africa berlin conference 1888/85 na jinsi gani kanisa lilishiriki katika kuwauza wazee.wetu na kuwafanya watumwa

Nenda kaone mbakaki ya kanisa kama.Fort Jesus almaarufu kama ngome ya yesu hapo bagamoyo

Nenda zanzibar kaone kanisa ambalo lilitumika kuombe watumwa kabla hawajasirishwa kwenda nje ya nchi

Nenda Rwanda kaone jinsi kanisa lilivyoshiriki katika mauaji ya halaiki

Rudi hapa bongo jifunze namna gani kanisa lilizipa kisogo harakati za kupigania uhuru wa nchi hii na kushirikiana na mkoloni kisha leo wanakuja hapa kujifanya wao wana uchungu na nchi hii

Kanisa ni balaa tuh ndani ya taifa hili
Niggha pls i know the history, tukiamua kufuata history ya mtume hapa na kufuata logic no body atamkubali
Unaijua history ya dini yako ww? Tuweke facts hapa?

Kanisa linafuata imani ya Yesu kristo, nothing else. Na biblia haijakataza kukemea maovu tena ina sisitiza kabisa


Na hakuna mahali kwenye sheria za nchi hii inakataza kukemea maovu
 
Kwenye kauli yake hakuna mahali amelalamika kuwa baadhi ya askari eti walisema kuna utendaji wa kidini

Actuall bullshit unaandika hapa, nimesikiliza hotuba mwanzo hadi mwisho, no where amegusia dini ila utendaji wa polisi

Hujamsikiliza basi vizuri kama ni hivyo...

Rudi kamsikilize tena
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Polepole.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Kitima

Warioba anaakisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama Lissu, Heche, Gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile, anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya Kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama Warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tu kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Tunamuheshimu sana huyu Mzee lakini mambo anayoongea sasa hivi anaonyesha kabisa ana agenda.Eti kasimamishwa na trafic police barabarani wanamueleza habari ya udini na ukabila.Mara anaanza kutoa takwimu za vifo baada ya fujo walizofanya vijana wakati na baada ya uchaguzi analinganisha na vita vya Kagera.Mzee wetu wetu huyu tunayemuheshimu sana na tunampenda ila ana lake jambo.
 
Mwislamu anaongoza nafasi kubwa kuliko zote Tanzania halafu manaleta lugha za mfumo kristo,nyie hamnaga jema ni kulalamika kwa kila la kheri au shari.
 
UNACHOTAKIWA KUFAHAMU NI KWAMBA NCHI HII IMEKUWA MASKINI SIYO KWA SABABU YA RAIS GANI YUKO MADARAKANI

NCHI HII IMEKUWA MASKINI KWA SABABU YA THINK TANK YA NCHI AMBAO NI WASOMI

WASOMI WENGI AMBAO KANISA NA MFUMO KRISTO IMEZALISHA NDANI YA NCHI HII AMBAO NI MAKAFIRI WENZAKO WENGI WAO NI VILAZA ,HAWANA UBUNIFU,WEZI PIA MAFISADI NA WAMEKUWA WANASHIRIKI SANA KWENYE MIKATABA MIBOVU NDANI YA NCHI HII FANYA REFERENCE YA ANDREW CHENGE,WEREMA NA WENGINEO WENGI

SO SISI TUNAJUA WAUAJI WA NCHI HII NI NYINYI...
KAKUDANGANYA NANI WEWE FALA ...NCHI IMEKUWA MASIKINI KWA SABABU YA MARAIS WAISLAMU HUO UKWELI TAYARI WAISLAMU WENZAKO KWA ASILIMIA 70% WAMEUTAMBUA, MARAIS WAKRISTO WANAJENGA MARAIS WAISLAMU WANAKUJA KUVUNJA NA KUFISADI NCHI NA FAMILIA ZAO....BAADA YA SAMIA KUSHIKA NCHI NA GENGE LA RAIS MSTAAFU KIKWETE, NDIYO WAISLAMUWENGI WAMETAMBUA NA KUKUBALI HUU UKWELI ...NDIYO MAANA HATA MIKOA YENYE WAISLAMU KWA ASILIMIA 80% SAMIA NA CCM YAKE AWAJAPIGIWA KURA ...NIONYESHE FOLENI ZA WAPIGA KURA KWENYE MKOA WOWOTE WENYE WAISLAMU WENGI ? HATA HAPA DAR AMBAPO WAISLAMU NA WAKRISTO NI KAMA NUSU KWA NUSU JE ULIONA FOLENI KWENYE KITUO GANI CHA KUPIGIA KURA ....WALIO PIGA KURA DAR ES SALAAM NZIMA AWAZIDI WATU 20000 -25000 TENA NI WALE WALIO LAZIMIKA KUPIGA KURA ...NIJIBU KWANINI WAISLAMU AWAKWENDA KUPIGA KURA ? VULUGU DAR ZILIANZA SAA 7 MCHANA ..KIKAWAIDA SIKU ZA UCHAGUZI FOLENI ZA WAPIGA KURA ZINAANZAGA ASUBUHI KABISA ...KWANINI VITUO VILIKUWA VYEUPE ?....MAANA YAKE WAISLAMU WA KAWAIDA WAMEKUBALI NA KUTAMBUA KUWA WAISLAMU WENZAO NDIYO SHIDA YA TAIFA...

TZ HAKUNA KIONGOZI YOYOTE MUISLAMU MZALENDO KAMA YUPO NITAJIE MMOJA ?
 
Back
Top Bottom