PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Miaka yote nimesikia waislamu wakisema serikali ya nchi hii inakandamiza na kuonea waislamu. Leo nashangaa kuona waislamu ndo watetezi wa serikali hiyohiyo ya CCM.

Hata hizi teuzi za mawaziri, Wakuu wa mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi, Makamishna, mpaka leo wengi bado ni Wakiristo sasa hao Waislamu wanafurahia nini kwa kulambishwa pipi?.

Huyo mama Samia kwa nini asiteue Waislamu wengi kama afanyavyo kwa Wakiristo, Kwa nini asiende misikitini na kutoa milioni 100 kama afanyavyo makanisani.

Halafu muislamu unakuja hapa unadhani eti serikali hii iko fair kwa waislamu.

Waislamu makini wanapaswa washirikiane na wananchi wengine kuiondoa serikali hii madarakani na kuileta nyingine watakayoikaba mashati iwe FAIR kwao. CCM haiko fair kwa Waislamu hata kidogo, kihistoria iko hivyo na itaendelea kuwa hivyo!
Inashangaza sana,
Utawala wa JK uliwaweka gerezani bila kesi kwa miaka masheikh wa uamsho, ulimnyang'anya maalim Seif ushindi wa wazi. Wakina Lipumba, Professional Abdallah Safari, Maalim Seif n.k waliupinga vikali sana utawala wa JK. Huo mfumo Kristo Mkapa aliwapa chuo cha umma Morogoro, Jiwe kawajengea msikiti mkubwa Dar, Nyerere aliwanyang'anya Wagalatia shule zao akazigeuza za umma . Udini wa masheikh ubwabwa ni karata mbaya inayochomekewa wakati huu kuhalalisha utawala mbovu kuliko wakati mwingine wowote baada ya kukosekana hoja za maana kuutetea.
 
Hakuna mwenye uwezo wa kumjibu warioba wala TEC, mnajinyea nyea tu. Huwezi kutawala watu uliowaulia ndugu zao kinyama vile, halafu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kwenye udini. The truth is, SAMIA NI MUUAJI, ndo legacy atakayoiacha na ndivyo historia itakavyomkumbuka.

Kama TEC alidhani tutaacha nchi yetu ichomwe na wahuni wale eti kisa tuh wakichukuliwa hatua itaonekana kuna watu wameonewa basi acha liwalo na liwe.

Hatuwezi kuacha nchi iharibike eti kwa kikundi cha wahuni wachache hilo hapana
 
Baadhi ya makobazi huwa ni zaidi ya wajinga, inakuwa kama urithi vile!.
Badala mhangaike na hoja za Warioba mnakimbilia kujificha kwenye kichaka cha udini...na samuya naye kashajua msivyo na akili kama yeye basi anawatumia tu hovyo kusudi ai divert mada!.
Prof Lipumba muislam msomi alimpinga samuya kwa kumwambia ANAPWAYA PWAYA, udini uko wapi hapo???
Yaani mtu ashindwe kutuongoza vizuri akikosolewa useme ni uislam umesababisha, uislam ulimtuma afumbie macho utekaji na kuuwa wanaomkosoa...sura gani ktk Quran imeagiza hivyo??!!.
Lipumba kiongozi wa chama cha upinzani, alisema hivyo kwa mkapa, kikwete,magu, huwezi shangaa
 
KUKUJIBU KAFIRI KAMA WEWE HADI UELEWE KAZI NI KUBWA KWA SABABU INAONESHA KIWANGO CHAKO CHA UJINGA NI KIKUBWA SANA

KWANZA,RAISI WA NCHI NI TAASISI NA SIYO MTU MMOJA...CHINI YAKE ANA WASAIDIZI WAKE NA WATUMISHI

WATUMISHI NCHI HII ZAID YA ASILIMIA TISINI NI WAKRISTO WANAOJIITA WASOMI WA KANISA,HAO NDIYO HUSHURIKI KWENYE MIKATABA MIBOVU YA RASILIMALI ZA NCHI HII KAMA TAIFA HAO NDIYO HUSHIRIKI KWENYE WIZI NA UFISADI NA HATA MWENDAZAKE ALIPOKUJA NA ZOEZI LA VYETI FEKI ASILIMIA TISINI YA WATU WAMEKUTWA NA VYETI FEKI NI HAO WASOMI WA KANISA

KWAHIYO UNATAKIWA KUFAHAM KWAMBA NCHI HII IMEUMIZWA SANA NA KANISA,KUNA KIPINDI JPM ALISIKIKA AKIWAAMBIA MAASKOFU AWAMU HII SADAKA ZITAPUNGUA HUKO MAKANISANI ALISEMA HIVYO KWA KUWA ALIKUA ANAJUA WEZI WENU WENGI PESA WANAPELEKA MAKANISANI KAMA FUNGU LA KUMI. MFANO NIMEKUPA SAKATA LA ESCROW

RAIS ALIEKAA MADARAKANI MIAKA MINGI NA KUSABASHIA TAIFA HILI UMASKINI KWA MIAKA 23 NI MKATOLIKI MWENZENU NYERERE...SISI WAISLAM UKWELI WENYEWE MNAUJUA...NI WATU WA HAKI NA UWAZI...SAFARI HII HATUTAWAPA NAFASI YA KUTUYUMBISHA HATA KIDOGO...KWA MASLAHI YA NCHI HII TUTAILINDA AMANI HII NA KUWAPA PONGEZI MAJESHI YETU YOTE KWA UJASIRI WA KIZALENDO
Watz tunataka sadaka zipungue makanisa na misikiti ila nchi ipate maendeleo ...mambo ya sadaka yanafaida gani na sisi ? Niliwai kuuliza hapa jf kwa nitajiwe faida hata moja ya makanisa na misikiti nchini sikupata jibu hata leo ....pia wewe ujui nguvu ya Rais nchini ndiyo maana unaongelea taasisi ....kwa tanzania Rais ndiyo taasisi .. .nikama Samia ...kanuni inasema Kiongozi mpumbavu uchaguzi wapumbavu wenzie ili kuongoza naye...hivyo taasisi zinafuata upumbavu wa kiongozi wa juu na Rais mwenye akili uchagu wenye akili wenzie ili kuongoza ...hivyo taasisi zinafuata akili ...
NIMEKUULIZA KWA NINI SAMIA AJAPIGIWA KURA HATA NA WAISLAMU WENZIEM? UJATOA JIBU ? NIONYESHE FOLENI YA WAPIGA KULA HATA HAO WAISLAMU POPOTE NCHINI.
 
Ndio karata pekee ya kujitetea waliyobaki nayo...
Hizi sarakasi zote shida ni dini ya rais,walikataliwa waliyoyataka wakamwambia utaona,tangu mwanzo alisema mmeahidi kupeleka moto hadi niachie,siachii,moto wenyewe ndiyo huu,sasa umezimwa,wamejua nguvu hawana,wanaropoka wanataka uawa
 

Attachments

  • Screenshot_2025-11-20-16-55-40-719.jpg
    Screenshot_2025-11-20-16-55-40-719.jpg
    132.6 KB · Views: 25
Huyo hana credibility ya kuzungumzia chochote nchi hii baada ya kushutumu teuzi za Samia Zina harufu ya udini
Ale pensheni asubiri kabuli,asivuruge nchi
Nchi inevurugwa na CCM, sio warioba wala TEC, TEC wala warioba hawajawahi kuteka watu na kuua watu, hayo yanafanywa na CCM
 
Kama TEC alidhani tutaacha nchi yetu ichomwe na wahuni wale eti kisa tuh wakichukuliwa hatua itaonekana kuna watu wameonewa basi acha liwalo na liwe.

Hatuwezi kuacha nchi iharibike eti kwa kikundi cha wahuni wachache hilo hapana
Nchi imeharibiwa na CCM wala sio TEC. Shida mkiambiwa ukweli mnatafutwa mwavuli wa udini kuwa mnaonewa kwa sababu ya udini. Serikali ya CCM ndo inayoteka na kuua watu, sio TEC wala warioba
 
Waislam akili zao bana🤣🤣🤣
Yaani unajua kuishi na jamii yenye ufinyu wa ufahamu kama hivi ni kazi sana,ona kama huyu alichoandika hapa
Siku hizi ukiangalia taarifa za habari tz, shughuli za serikali haukosekani ushungi,sasa wanaumia kweli
Ni kwamba kwa akili zake kuna miaka taarifa za habari nchi hii zilikuwa hazina wavaa ushungi na kwamba leo wapo kwa sababu ya samia na (kwa mawazo yake) ni hatua kubwa sana kwa upande wao,hovyo kabisa yaani ni hasara.
 
Back
Top Bottom