PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanatetea haki kulingana na nani raisi wa nchi
Na hivi ndivyo inavyoonyesha kwenye matamko

View attachment 3519757
Mzee Nyerere viciously collided with Cardinal Rugambwa to the extent he had to use the Vatican to inoculate him. Mzee Nyerere went further by writing a scathing letter to TEC which reminding them not to forget their place.

You can't know about this because Tanzanian academia is in decline.​
 
Huwa nawaambia vijana wenzangu wa kiislam wanao shabikiaga Chadema kua, Chadema ni sauti ya kanisa.
Kanisa baada ya kuona CCM imeamua kutoa haki sawa kwa wote, lenyewe limechukia na kuamua kutafuta njia mbadala ambayo ndio kuitumia Chadema.
Kanisa lilizoea kubebwa kila nyakati.
Lakini baada ya harakati zilizo pigwa na baadhi ya waislam serkali ya CCM imeona ni bora kugawa keki ya Taifa kwa watu wote bila kujali itikadi zao za kidini.
Ona leo mikoa iliyo na waislam wengi nayao ina maendeleo.

Kitu hicho kanisa linaumia sana.
Ndio maana limeona bora liunge mkono Chadema ili kurudisha zama zao.

Kidogo kidogo tutaelewana tu.
 
Hii CCM hii ndo unasema imeamua kutoa haki kwa wote?

Duh!
 
Uliibiwa kura gani na hamkupiga?..ulitekwa lini?..kwa nini hujutekwa?
Abdul anauza matairi ya gari kkoo tangu 2007,unajua hata bei ya tairi la gari?.. bandari ilikua chini ya TICTS kwa miaka 25 kabla ya DP world, mbona TEC hawakutoka kushutumu na kudai imeuzwa?
Kwaiyo unaamini voters turn out ilikuwa milion 32 na Samia akapata kura 98%
Abduli hakuwa na biashara yoyote Kariakoo yupo tu anaibia serikali.
 
Hii CCM hii ndo unasema imeamua kutoa haki kwa wote?

Duh!
Endelea kujitia upofu, ila waislam tumeamka.
Na tunajua bila sisi, nyinyi tu wagalatia hamuwezi kufanya chochote ndani ya nchi hii.

Ni bora CCM itawale milele lakini sio hiyo taka taka yenu.
Mchongo wenu tumeushtukia, hamuichukii CCM kama chama bali munaichukia CCM CCM kwakua imeamua kugawa keki ya taifa kwa watu wote.

Huwoni munaompinga Rais ni wakrsto watupu.
Anza kwa wanasiasa wenu mpaka wanaojiita wanaharakati wote ni wagalatia watupu, waislam tunawachoreni tu.
Na kwahakika hicho chama chenu ndio kisha kufa kifo cha mende, hakina sumu tena.
Labda mujipange kivingine.
 
Huu ufisadi, nepotism, kuuza rasilimali za nchi kwa mikataba mibovu, utekaji, wizi wa chaguzi etc, kama unaona haya ni kwa Maslahi ya Waislamu nchini basi hewala.

Kama unadhani Mtawala kuwa Muislamu ndo kunaifanya CCM kiwe chama chema kwa waislamu basi nikukumbushe tu miaka michache iliyopita kuna Mamia ya Masheikh waliswekwa ndani miaka lukuki na wengine kulalamika kufanyiwa vitu vibaya kabisa magerezani. Na utawala uliofanya hivyo ni ea CHADEMA na siyo CCM!
 
Kwaiyo unaamini voters turn out ilikuwa milion 32 na Samia akapata kura 98%
Abduli hakuwa na biashara yoyote Kariakoo yupo tu anaibia serikali.
Huyo Abdul mumeamua tu kumpa kiki kama mulivyo fanya kwa Ridhiwani.
Ili fikia kipindi kila lori hapa nchini mulisema ni la Ridhiwani.
Mradi wowote ulioanzishwa kipindi cha Kikwete mulisema ni wa Ridhiwani, sasa hivi mbona hatusikii.
Hizo ni propaganda za kipuuzi kutoka kwa wapuuzi kwenda kwa wapuuzi.
Kiufupi wagalatia mumeshikwa kule kunako toa ule mlio wa mbwaaa!
 
Huu ufisadi, nepotism, kuuza rasilimali za nchi kwa mikataba mibovu, utekaji, wizi wa chaguzi etc, kama unaona haya ni kwa Maslahi ya Waislamu nchini basi hewala.

Kama unadhani Mtawala kuwa Muislamu ndo kunaifanya CCM kiwe chama chema kwa waislamu basi nikukumbushe tu miaka michache iliyopita kuna Mamia ya Masheikh waliswekwa ndani miaka lukuki na wengine kulalamika kufanyiwa vitu vibaya kabisa magerezani. Na utawala uliofanya hivyo ni ea CHADEMA na siyo CCM!
Bado hauja ongea.
 
Bado hauja ongea.

Miaka yote nimesikia waislamu wakisema serikali ya nchi hii inakandamiza na kuonea waislamu. Leo nashangaa kuona waislamu ndo watetezi wa serikali hiyohiyo ya CCM.

Hata hizi teuzi za mawaziri, Wakuu wa mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi, Makamishna, mpaka leo wengi bado ni Wakiristo sasa hao Waislamu wanafurahia nini kwa kulambishwa pipi?.

Huyo mama Samia kwa nini asiteue Waislamu wengi kama afanyavyo kwa Wakiristo, Kwa nini asiende misikitini na kutoa milioni 100 kama afanyavyo makanisani.

Halafu muislamu unakuja hapa unadhani eti serikali hii iko fair kwa waislamu.

Waislamu makini wanapaswa washirikiane na wananchi wengine kuiondoa serikali hii madarakani na kuileta nyingine watakayoikaba mashati iwe FAIR kwao. CCM haiko fair kwa Waislamu hata kidogo, kihistoria iko hivyo na itaendelea kuwa hivyo!
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba ana akisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ pole pole.

Warioba ana akisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ kitima

Warioba ana akisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama lisu,heche,gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile,anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouwawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?au mzee.ndio mirembe inaanza kumuita.

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tuh kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Mfumo kristo ni bora kuliko mifumo mnayo dhani nyinyi ndiyo maana marais wote waislamu ndiyo wabovu na wahuni...wasio wazalendo na maadui wa wazalendo na uzalendo....THIS IS NAKED TRUTHS.....WAISLAMU WOTE MSIPOTOSHWE KWA KUPINGANA NA UKWELI HUU ....MFUMO KRISTO NI BORA KULIKO TAKATAKA YOYOTE ZA MASHEKH NA MISIKITINI.
 
Huyo Abdul mumeamua tu kumpa kiki kama mulivyo fanya kwa Ridhiwani.
Ili fikia kipindi kila lori hapa nchini mulisema ni la Ridhiwani.
Mradi wowote ulioanzishwa kipindi cha Kikwete mulisema ni wa Ridhiwani, sasa hivi mbona hatusikii.
Hizo ni propaganda za kipuuzi kutoka kwa wapuuzi kwenda kwa wapuuzi.
Kiufupi wagalatia mumeshikwa kule kunako toa ule mlio wa mbwaaa!
Njoo na ID moja
We MLA ubwabwa wa Abduli
Usibadili ID ovyo
 
Mzee Nyerere viciously collided with Cardinal Rugambwa to the extent he had to use the Vatican to inoculate him. Mzee Nyerere went further by writing a scathing letter to TEC which reminding them not to forget their place.

You can't know about this because Tanzanian academia is in decline.​
I found no single citation or reference to your claim
If these were kitchen talks of those days, then they are no different from vijiwe vya kahawa chitchat

Cardinal Rugambwa is said to have been instrumental in helping the late Mwalimu Julius Nyerere create a workable nationalisation policy in the heydays of Ujamaa in the 1960s.

It is believed that Mwalimu Nyerere requested that Cardinal Rugambwa be transferred from Bukoba to Dar es Salaam to be part of his team of advisors on nationalisation, according to Fr Mutungi.

1766528922217.png
 
View attachment 3519771
If you haven't heard of the bad blood between Nyerere and TEC, then I cannot convince you of anything. This was an obvious story back in the 80's, a gossip in vogue.

But like I said, education has viciously declined. People are no longer inquisitive, they're just easily pulled by a vortex of cheap propaganda. Gives them a dopamine hit​
 
Huyo mzee ni mmoja wa master minders wa vita vya msalaba vya oktoba
Anaona kakaribia kung'ata dongo basi anaropoka tu bila kujali
Siku kadhaa nyuma lilisema teuzi za Samia Zina harufu ya udini,leo linajifanya kushangaa udini hadi vyombo vya usalama
Kazi yako ni ngumu mno!! Pambana, kaza buti
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba ana akisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ pole pole.

Warioba ana akisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ kitima

Warioba ana akisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama lisu,heche,gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile,anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouwawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?au mzee.ndio mirembe inaanza kumuita.

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tuh kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Kama vipi tumuweke Sheikh Aboubakr Zuber na Kitime kwenye TV live tuwashindanishe kwa hoja tuone ukweli upo wapi...na je Bakwata inasaidia vipi jamii ya waislaam. Wakati wenzao mahospitali hakuna hata muislam mmoja alie Tanzania hajawahi tibiwa na hospital za katoliki ukipenda Buruda.
 
TEC ni taasisi ya dini siyo siasa wala demokrasia,ila kwa kuwa hawana kazi, wanakula bure,wameona wajiingize kwenye siasa
Mchezo na watoto wameona makelele mengi
Tuweke rekodi sawa. Ponda alisumbua kipindi cha Kikwete. Ndiyo kipindi alishambuliwa kwa Risasi.
 
Back
Top Bottom