Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Hawana hoja.Jibuni hoja zake sio kuleta udini
Udini ni Kwa watu dhaifu.
Kila anayewakosoa mnaleta udini.
Hawana hoja.Jibuni hoja zake sio kuleta udini
Udini ni Kwa watu dhaifu.
Kila anayewakosoa mnaleta udini.
Xmas kama hivi miti ya Xmas ofisi za umma,na bajeti za kuchapa kadi za Xmas na mapambo,unakuta ofisi ya umma wanapiga kwaya kwenye computer ya ummaIlifikia kipindi mpaka kwenye ofisi za serkali unakuta kuna picha ya bikra Maria, hawa jamaa walituweza.
Wewe mbona hujatekwa?
Polisi hawaongei makatazo ya siasa, polisi wanaongea mambo ya usalama,wao ndiyo waliuawa oktoba,siyo wanasiasaHoja yake ni kuwa police wanaongea makatazo ya kisiasa
Waislamu kwanini mnakuwa wapumbavu hivi,nyie hamuwezi kushindana na TECFriends and Our Enemies,
Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.
Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.
Warioba ana akisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ pole pole.
Warioba ana akisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ kitima
Warioba ana akisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama lisu,heche,gwajima na kadhalika.
Ni muendelezo wa drama zile zile,anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouwawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?au mzee.ndio mirembe inaanza kumuita.
Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?
Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.
Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.
Kama warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tuh kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija
Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Polisi hawateki bali hukamata, ndiyo chombo chenye mamlaka ya kukamataHuwezi jua watekaji wanawaza nini na wanapanga nini, Hata mzee Ally Kibao alikuwa hajui kama siku hiyo atatekwa. Cha msingi tuendelee kukemea na kupinga kwa nguvu zote utekaji.
Kama Waislamu wa Tanzania wanaunga mkono utekaji hilo ni jambo la kusikitisha.
Sawaaa ni tunda la KikristoFriends and Our Enemies,
Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.
Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.
Warioba ana akisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ pole pole.
Warioba ana akisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ kitima
Warioba ana akisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama lisu,heche,gwajima na kadhalika.
Ni muendelezo wa drama zile zile,anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouwawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?au mzee.ndio mirembe inaanza kumuita.
Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?
Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.
Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.
Kama warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tuh kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija
Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Polisi hawaongei makatazo ya siasa, polisi wanaongea mambo ya usalama,wao ndiyo waliuawa oktoba,siyo wanasiasa
Huyo ***** ni mgalatia, hajawahi na hatakuwa muislamu, hatuko dhaifu hivyo, sisi ni vita mbeleDr Ahmed Albah-Shahwa
Huyu tu ndio mwenye akili humu hana uchawa
Hampendi ukweli mnataka kusikia yale mnayoyataka nyinyi
Nyie nani mulambwe viatu?
Mme muua Mama wa watu jenny😃
Jibu hoja zakeXmas kama hivi miti ya Xmas ofisi za umma,na bajeti za kuchapa kadi za Xmas na mapambo,unakuta ofisi ya umma wanapiga kwaya kwenye computer ya umma
Waliona nchi yao,sasa maofisini shungi kibao,samaleko nyingi,wanaumia kweli
Kwa hali hii lazima povu liwatoke.Japo Kikwete alishinikizwa awafunge, walimfungua kitu kichwani
Na tokea mabadiliko kwenye elimu aliyofanya yanawaumiza sana wagalatia
Hawaamini wakiona majina kama haya ambayo tumeona hata Warioba ameshindwa kukaa kimya, inamuuma hii
1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
Hao wape ubwabwa tuSawaaa ni tunda la Kikristo
Nyie makobasi tunda lenu lipi
Na vizuri ameonyesha yuko upande gani.
Nynyi mikobasi matunda yenu ni yapi na mmesimamia nini
Neno 'tu' lina maana gani kwenye nukuu yako?Inaelekea umesahau kauli ya ofisa wa polisi aliyewahi kusema kuwa "mama hajawa rais kwa sababu ya kura tu, tena akauliza kwani kura kitu gani?, na wao wamo, akionyesha mtutu wa bunduki".
Hii ndo aina ya jeshi la polisi ambalo Warioba anakemea!
Polisi hawaongei makatazo ya siasa, polisi wanaongea mambo ya usalama,wao ndiyo waliuawa oktoba,siyo wanasiasa
Uliibiwa kura gani na hamkupiga?..ulitekwa lini?..kwa nini hujutekwa?Jibu hoja zake
Shungi ndo nini?
Dini haina maana kwenye kuingiza.
Sisi hatuangalii dini wala jinsia
Ikiwa waislam wana uwezo waongoze kuanzia Rais hadi diwani.
Lakini wizi wa kura, utekaji na mauaji ufisadi wa Abduli, nepotism, kuuza bandari na Ngorongoro,.
Haya tutayapinga bila kujali dini ya mtu
M
LalaI wish nikujibu shida yako sasa ni matusi, Yan hapa sasa hivi lazima utacomment tusi
Huyo hana credibility ya kuzungumzia chochote nchi hii baada ya kushutumu teuzi za Samia Zina harufu ya udini
Ale pensheni asubiri kabuli,asivuruge nchi
Wadini wahedi, nyie ni cancer kwenye nchi ya TanzaniaWamezoea kuona safu zote zina majina yao
Na ilikuwa hivyo kwa miaka mingi sana
Sasa meza imepinduliwa ndio wanalialia udini
Kama Warioba ni tunda la mfumo Kristo ni nani sasa tunda la mfumo wa Waislamu nchini, ni JK, ni Samia, ni nani?.
Sitaki kuamini kuwa mfumo Kristo unazaa watu waadilifu kama Warioba halafu mfumo wa Waislamu hapa nchini unazaa mafisadi na watu wanaotetea mauaji.