PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanatetea haki kulingana na nani raisi wa nchi
Na hivi ndivyo inavyoonyesha kwenye matamko

View attachment 3519757
Hivi kwa nini ukweli ukisemwa huwa mnakimbilia kujificha kwenye dini....dini yenu ina nini cha mno cha kutamanisha hata ishambuliwe....kila mkishika dola ni mvurugano...na hoja za udini huibuka....yaani mnajiona wa maaana wakati hakuna cha mno....nyie ni ndugu na sisi ....ni waafrika wenzetu....hizo dini ukristo na uislam zina wenyewe.....ukienda kule kwa waislam wewe ni nyani tu.....ukienda kwa wakristo bado ni nyani tu....wenyewe wanaungana kujenga mataifa yao na kuimarisha dola zao nyie mnakazana mfumo kristo....dini ambazo haziwatambui kabisa....mnashindwa kujifunza vya maana eti mfumo kristo pumb***v kabisa!
 
Ni kweli 👆, lakini msaada unakuja.

Kumbuka mkoloni ndio aliyeleta Makanisa. Hivyo Mkoloni ni sawa na Makanisa. Mkoloni aliyetawala nchi za Arabuni ndio aliyetawala Tanzania. Hivyo pesa za mafuta alizochukua Arabuni alizileta Tanzania na kujenga Makanisa na Bugando. Tuishie hapo kwa leo..... kwani hata habari ya world bank, IMF nayo inamkono wa pesa ya muarabu...Amka!!!!!

lkn wewe siyo arab, au ? iweje hela ya arabs ikuume? ...
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Polepole.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Kitima

Warioba anaakisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama Lissu, Heche, Gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile, anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya Kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama Warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tu kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Ukristo unakutesa sana maalim, wenzio wamekuzidi akili ona sasa mlipotufikishia nchi nyie "wapigania uhuru!"
Mnataka kurithishana madaraka kama.usultani yaani mnaziingiza familia zenu kwenye utawala bila merits
 
Kwamba sasa mmesoma kuliko wakatoliki?
Kwamba sasa mko wengi serikalini kuliko wakatoliki?
Kwamba sasa.mna taasisi za huduma za kijamii kuliko wakatoliki?
Hebu kuwa serious kidogo basi!
Wamezoea kuona safu zote zina majina yao
Na ilikuwa hivyo kwa miaka mingi sana
Sasa meza imepinduliwa ndio wanalialia udini
 
Inaelekea umesahau kauli ya ofisa wa polisi aliyewahi kusema kuwa "mama hajawa rais kwa sababu ya kura tu, tena akauliza kwani kura kitu gani?, na wao wamo, akionyesha mtutu wa bunduki".

Hii ndo aina ya jeshi la polisi ambalo Warioba anakemea!
Hii ni kweli lakini clip ile ni ya wakati wa hayati JPM kama unataka husisha.

Mzee Warioba hawezi kuwa msafi ktk hili, wao ndio wasanifu wa nchi hii na katiba tuliyo nayo, kama walikuwa na nia na ya dhati wangelibadili siku nyingi. Naomba soma kwa makini hapo chini kama utanielewa kuhusu upande wa kina warioba na katiba.

Wao wanaamini katiba ya nchi hii haina tatizo ni nzuri kama itapata kiongozi mzuri, rudia tena hio statement.
Sasa Kiongozi mzuri ni nani? ukiwapima kwa historia ilivyo mpaka sasa, kiongozi mzuri ni yule anae toka ktk camp yao kina Mzee Warioba, na in most cases kiongozi huyo/hao wamekuwa ni wakristo mpaka sasa, hili ni ktk mambo yanayo changia sana kuleta hizo hisia za udini! Kwa msingi huu ndio maana licha ya wao kusimamia katiba mpya, lakini alipo ingia JPM wote (Mzee Warioba na kina Polepole) wakasasau kuhusu katiba kwasababu ndani ya mioyo yao wanaamini nchi ina Rais bora kwa wakti ule. Hivyo ni vigumu wao kukwepa tuhuma za udini, hata kama mimi nadhani kuna swala la utofauti wa ideology kati ya upande wa Warioba na upande mwingine hasa ule wa viongozi wa ki-islam, tofuati kati ya pande hizi ni kuwa upande wa kina warioba wanaamini wao ndio standard of leadership dhidi ya wengine, jambo amablo pia nadhani linachngia ktk hii crisis ya sasa.
 
Friends and Our Enemies,

Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.

Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special sana katika miongoni mwa mawaziri wakuu tuliowahi kuwa nao ndani ya Taifa hili,hauna uspecial wowote na huna huo umamlaka unaojitia kuwa nao.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Polepole.

Warioba anaakisi sauti ya kijana wake na kijana wa TEC GENZ Kitima

Warioba anaakisi sauti za vijana wake na vijana wengine wa TEC kama Lissu, Heche, Gwajima na kadhalika.

Ni muendelezo wa drama zile zile, anapokuja na hadithi zake za kutunga na zisizo na ushahidi kwamba waliouawa ni wengi kuliko waliolufa kwenye vita ya Kagera anazungumza kwa ushahidi wa takwimu zipi?

Anapozungumza kuwa nguvu kubwa ilitumika yeye akitaka nguvu gani itumike kuwakabili wahuni ambao walikuwa na nia ya kupindua nchi na kuichoma moto?

Hakuna jeshi lolote lililoingia kwenye siasa aache wendawazimu.

Tunalipongeza jeshi letu kwa kuwa ilifanya kazi kubwa kulinda nchi na kurejesha amani na utulivu.

Kama Warioba anaona ameshaishi sana na hana cha kupoteza ni bora ajifie zake tu kuliko kutaka kuchochea nchi iingie kwenye machafuko yasiyo na tija

Warioba ni zao la mfumo kristo ambao hata hivyo umefeli katika muendelezo wa ***** ***** zao.
Kuku Maji vichwa mnatumia kwa kazi gani?
 
Mzee Nyerere viciously collided with Cardinal Rugambwa to the extent he had to use the Vatican to inoculate him. Mzee Nyerere went further by writing a scathing letter to TEC which reminding them not to forget their place.

You can't know about this because Tanzanian academia is in decline.​
Assume this true, lakini huwezi futa ukweli kuwa kuna treatment ya mtoto wa kambo from TEC dhidi ya watawala wasio waumini wao.

Wangelikuwa wakali kwa kiwango hiki dhidi ya maovu toka wakati JPM ana anza mambo haya pengine tusingefikia hapa! Hali hio ya treatment ndio ianyo fanya wengine kuona shida si haki na utawala bora, shida ni maslah yao na kukosa fursa ya kuwa jikoni.
 
Mfumo huo unaiona haki kwa kuwa Rais ni Mwislamu!?
Mbona Mkapa alipoua kwa ndege za kivita 2001 hatukulisikia hilo Kanisa?
Kwani mfumo Kristo ndiyo unaotetea haki?. Kama unatetea haki na kupinga mauaji basi ni mfumo unaofanya vizuri ktk hayo.

Naishauri mifumo mingine nayo iige mfano wa mfumo Kristo katika kupinga mauaji na kupigania haki za watu.
 
Assume this true, lakini huwezi futa ukweli kuwa kuna treatment ya mtoto wa kambo from TEC dhidi ya watawala wasio waumini wao.

Wangelikuwa wakali kwa kiwango hiki dhidi ya maovu toka wakati JPM ana anza mambo haya pengine tusingefikia hapa! Hali hio ya treatment ndio ianyo fanya wengine kuona shida si haki na utawala bora, shida ni maslah yao na kukosa fursa ya kuwa jikoni.
Yaani wewe uuwe watu halafu tupotezee kwa sababu wewe ni muislam!
Hebu jadili maongezi ya Warioba ni wapi kasema uongo?
 
Akili zenu na kinyesi tofauti yake ni joto tu, yaani mkristo akiongea tu ametumwa na TEC mtakua wajinga mpaka lini wapumbavu nyie? Hivi Mange Kimambi ni mkristo??? Angekuwa mkristo mngesema ametumwa na TEC ila kwakuwa ni muislam mnamruka katika udini mnazugia kwingine. Hao uliowataja hapo kama ni waislam wewe muislam mjinga wanakusaidia nini kwa kuwapo kwao madarakani ???

Wapi Warioba katika mazungumzo yake ametaja hoja ya dini??? Nyinyi mmekuwa wajinga kwa kuendekeza maudini tuuu kila saaa mnataka kuziba watu midomo wasizungumzie mnawatishia udini badala ya kuzungumza fact.

Nyinyi mnaonekanana mna inferiority complex hamjiamini sijui kwanini, yaani wote mpo hivyo na hata mkiwekwa madarakani hilo wazo lako la udini mnalitekeleza kweli mkidhani wakristo huwa wanapendelewa kwasababu ya dini yao.

Ni kwambie tu fanya utafiti wako huru kabisa kama una taasisi au nenda katika kampuni yeyote waambie watangaze ajira za wasomi watu 100, watu waombe Kisha zifanywe interview za kiukweli free and fair. Majibu yakitokea waislam ni wengi kuliko wakristo, njoo unikate mkono. Ukiona katika Taasisi ambayo watu huingia kwa elimu zao waislam ni wengi kuliko wakristo jua imepangwa sio free and fair kama ilivyokuwa kwa Ramadhani Dau kipindi akiwa NSSF.

Nyinyi mnashida sana, wakristo kwenda shule wanabebwa na historia shule zililetwa na wamisionari hapa Tanzania hazikuletwa na waarabu pamoja na kwamba wao ndio walikuwa wakwanza kuja hapa, kwahiyo sehemu za kazi wao kuwa wengi sio upendeleo ni fact tu.

Jibuni watu kwa hoja wanazozitoa acheni kuangalia wana dini gani, hii nchi ni yetu sote wakristo na waislam ikipotea tutaangamia wote. Bora hata mseme hawqmtaki kwa kuwa ni mzanzibari inaweza kuwa na ukweli kwasababu watu hatuutaki huo muungano usiokuwa na faida kwa watanganyika.

His
Haya ndio madhara ya crisis ya sasa! Mbona wakristo na wapinzani walichukulia masheikh walio ongea wametumwa na Rais/Abdul?

Kuhusu elimu, ni kweli wakristo wengi wamesoma kwasababu za ki-historia, maandiko yapo. Toka mkoloni, alibagua kusomesha watu kwasabau nyingi ikiwemo dini, yaani waafrica wakristo walipata faida ya kusomeshwa dhidi ya ya their counter fellow african muslim. Pili kuna dhana, baada ya uhuru pia kulikuwa na systematic ubaguzi/upendeleo ktk mifumo ya elimu hasa wakati ambao watu walikuwa wakiandika majina yao badala ya namba. Mwisho nikubali kuna baadhi ya mambo pia ni perception tu amabyo jamii ya kiislam wanayo kutokana na sababu za ki-historia lakini uwkeli wake unaweza kuwa mdogo au si jambo la mara kwa mara.
 
Yaani wewe uuwe watu halafu tupotezee kwa sababu wewe ni muislam!
Hebu jadili maongezi ya Warioba ni wapi kasema uongo?
Wao waendelee kuongea (TEC au warioba), kama ni mauaji hata kwa JPM (namtumia tu kama mfano) yalikuwepo, hivyo measures zao hizo na pressure zinge anza huko! pengine tusingefika hapa.

Wao wakisema na kuendelea kushinikiza, pia hawatuzuia na kukwepa tafsiri waliyo nayo waislam juu ya mwenendi wao na kwanini wako wakali zaidi sasa kuliko jana. Hizo ni two process zitaendelea hivyo
 
Inanisaidia sana tena sana japo kwa sasa mimi nina shughuli zangu binafsi zenye mafanikio makubwa sana lakini leo hii nina matumaini watoto wangu wakisoma na kufanya vizuri mfumo upo kuwalinda tofautisha na zamani tulikuwa tunakatwa majina yakionekana ya dini fulani.
Upuuzi mtupu, Nenda Zanzibar ambapo 99% ni kobaz na ZEC yote ni kobaz pia uangalie ufaulu wao wa sekondari.
 
Hivi ni kwa nini once mtu anapokuwa muislam anakuwa na inferiority complex, mbona kwenye ukristo hakuna tabia hiyo?
Kimsingi hicho unacho ita inferiority complex huwa ni reaction tu ya jamii ya waislam kwa wakirsto. Jambo huanza hivi, anapokuwa kiongozi ni muislam, baadhi ya watu ktk siasa/dini na hata wananchi wa kawaida huanza kukosoa kiongozi husika (kukosoa si shida kabisa) lakini mara nyingi kukosoa huku huambatanishwa/kuhusishwa na dini yake. Hili la kuhusisha madhaifu ya mtawala na dini yake ni moja ya mambo yanachangia hizi hisia za udini.

JPM alipitia ukosoaji mkubwa sana, lakini sina kumbukumbu ya ukosoaji wake kuhusishwa na ukristo au ukatoliki. Kwanini watawala wakristo madhaifu yao hayahusishwi na dini yake? Lakini mtawala muislam anahusishwa na dini yake?
 
Ana credibility kubwa tu, and when ameshutumu?
Njoo na facts ya kupinga hoja yake badala ku divert kwenye mambo ya dini

No room for excuse safari hii
Binafsi negetamani kupata full interview ya mzee warioba kwanza
 
Hivi wewe unavyowatukana wakristu, na viongozi wao, unadhani hao mnaowasema 31 million walipiga kura kwa huyo Simba Jike wote ni waIslam? Hujui sasa hata hao moderate unaanza kuwastua?

Kwa taarifa yako hata hao akina Mwigulu, Nchimbi na wote hapo wanajua kabisa wanamtumikia shetani kwa msala upitao. Ukipita tu utashangaa. Ogopa sana maneno yako, ndiyo yatakuja kukumaliza. Watu siyo wajinga kiasi unavyofikiri wewe.
nani ambae hatumikii hilo ktk CCM? ktk context uliyo weka wewe!
 
Kimsingi hicho unacho ita inferiority complex huwa ni reaction tu ya jamii ya waislam kwa wakirsto. Jambo huanza hivi, anapokuwa kiongozi ni muislam, baadhi ya watu ktk siasa/dini na hata wananchi wa kawaida huanza kukosoa kiongozi husika (kukosoa si shida kabisa) lakini mara nyingi kukosoa huku huambatanishwa/kuhusishwa na dini yake. Hili la kuhusisha madhaifu ya mtawala na dini yake ni moja ya mambo yanachangia hizi hisia za udini.

JPM alipitia ukosoaji mkubwa sana, lakini sina kumbukumbu ya ukosoaji wake kuhusishwa na ukristo au ukatoliki. Kwanini watawala wakristo madhaifu yao hayahusishwi na dini yake? Lakini mtawala muislam anahusishwa na dini yake?
Nani kamkosoa Samuya kwa kumuhusisha na dini yake??
Nani alimkosoa JK kwa kumuhusisha na dini yake??
 
Back
Top Bottom