Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Hajaacha alama? Unaota au hujui maana ya alama?

Kila siku watu wanasema wanataka katiba ya Warioba, hiyo uliandaa wewe?

Lakini si afadhali uondoke bila kuacha alama yoyote ya uovu kuliko uache alama ya kuwasaidia waarabu kupora bandari zote za Tanganyika?
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Mkuu sasa matusi ya nini? Wewe ni GT wa JF, watu wanakutegemea kwa hoja zako humu; mbona una kengehuka? Toa elimu watu waelimike au huna hoja?
 
Katiba ya warioba Iko wapi? Watu wanataka katiba mpya….

Hakuna alama, we are still using the same katiba ya 1977, unless hujui Maana ya alama

Alama ni kitu kilichopo na kinachoishi

Yake ilitupwa kaapun
 
Mkuu watu wanazunguza hoja za kitaifa wewe unaleta mambo ya dini, udini. Pevuka katika mambo ya msingi Mkuu.
 
Ulitaka aache alama ya wizi kama hawa wa sasa?
 
Wazee wamesituka, mama Samia soma alama za nyakati.
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Kujiletea maendeleo yanayoendana na upeo, ubunifu binafsi nirahisi kuwa na uchumi wa kuigwa!( mfano tulipo kataa kuburuzwa na mipango ya corona tukaenda kivyetu) Lakini kutegemea kutengenezewa upeo wa maendeleo daima utakuwa mtazamaji tu na utabaki kuwa mediocre! Hakuna aliye naroho nzuri ya kukupa maendeleo chumbani mwako alafu aondoke akitabasamu watu wasijiulize!
Uvivu wa kuamua na kujikubali ndio umetufikisha hapa pa kumpigania mwanaume mmoja aliyejaaliwa jangwa na rasilimali mafuta yaliyohitaji kujitoa jasho na damu kuyafikia chini ya ardhi zaidi ya kilomita sitini!
Sisi tuliojaaliwa kuhifadhiwa rasilmali hizi na wazazi/wapigania uhuru wetu , rasilimali zilizoning’inia mpaka juu ya miti na milima ukiachilia chini ya ardhi na bahari tukijiita wasomi tunalifanyia nini taifa!!?? Je kizazi hiki cha millennium na cha 70 -80s kipi kilaumiwe!!? Je bongo zinawaza starehe zaidi ubinafsi au nimfumo hauendani na tamaduni zetu!?
Maamuzi ya kivivu yametujaa hatutaki kufanya kazi kwelikweli nakuwa wabunifu kwa maono tuliyojaliwa na muumba wetu kwa taifa letu Tanzania!
Wao wanaweza wana nini na sisi tunashindwa tuna nini!!??
 

Natafuta kujua alichoongea Jenrali Ulimwengu. Sijapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…