Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hajaacha alama? Unaota au hujui maana ya alama?Inasikitisha kuona a few that are not sure pia wanaonekana wanapinga hoja ya uwekezaji
Kwanza Hakuna uhakika if warioba said that and pili hata Kama amesema, he has the rights to do so
Lakini hana any additional merits kwani his time ilipita bila yeye kuacha alama
Kila siku watu wanasema wanataka katiba ya Warioba, hiyo uliandaa wewe?
Lakini si afadhali uondoke bila kuacha alama yoyote ya uovu kuliko uache alama ya kuwasaidia waarabu kupora bandari zote za Tanganyika?