Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilizopo.

Kwa mfano kwenye Katiba Mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
 
Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.

Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana

Source: BBC Dira ya Dunia!
Kwani Kuna rock down Kama Uganda mpaka aseme changamoto ya corona
 
Mzee kadanganya na amejaa [emoji23][emoji23]
Ulitaka Warioba akatae jibu la Rais? Uongozi na kuwa na Wazee ni hazina kubwa. Hiki ndicho inapingukiwa CHADEMA.

Ukiwauliza CHADEMA Wazee wenu wa chama mnaokwenda kuomba ushauri ni nani? Watakuambia Edwin Mtei, mkwe wa Freeman Mbowe na Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
 
Back
Top Bottom