Mzee wenu nimegundua kitu fulani katika harakati za kutongoza hawa mabinti wa GenZ πŸ˜€

Utaskia mvi sio busara maana hata wajinga nao wanazeeka
 
Mkuu kubali tu umri umeenda, hawa Gen z aibu utaona wewe aliesoma na ambaye hajasoma hawana tofauti.
Mwenye vidato: Lv ue bby
Zero vidato: Nkpnd sn mpnz
Mmakonde: nmby bdo unmpnd salma au unn chezea tu.
Mmakondeeee🀣🀣🀣
 
UTI on front door we warn you
 
Ahahahahah..
Maisha yame change sana.
Mimi napenda sana mwanamke matured. Utoto uwe ni character yale tu ila sio mechanism ya kufanya mambo yake
 
Gd9t
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…