Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Ngoja tumkumbushe Mfalme Mzee Yusuf ''alivyoliharibu'' Jiji lote la Dar-es-Salaam, Tanzania kuanzia ukumbi maarufu wa ''Lango La Jiji'' na kumbi zingine za vitongoji vya miji ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla.

Jahazi Modern Taarab - Mkuki (Live)
Source: Zenji Nia
 
mkuu unachosema ni kweli mm mwenyewe maneno yao wanayoimba siyakubali ila kwenye upande wa masebene hatari
 
Kishakusanya za kutosha kwa miaka mingi, sasa ndiyo anagundua kama ni dhambi. Arudishe basi na pesa zote alizopata alipokuwa akitenda dhambi ya kuimba nyimbo mbali mbali za taarab.

Mziki ni dhambi?
 

Aligombea chama fulani hivi lakini kura za maoni hakupita
 
Nasikia alikuwa mrukaji wa ukuta mzuri tu,ila siyo huo ukuta wa chadema
 
Fid q aliwahi kusema

"Palipo maslahi, usisite kuamua kuharibu, ingali yu hai utatubu dhambi taratibu"

Mzee kaishachuma pesa kupitia hiyo 'haram' sasa anamrudia mola
 
Ukute aliokota kimwana huko halafu kutoka kaja kusikia demu ana miwaya keshaua wengi
Ila bora kachagua fungu jema....kumrudia muumba kabla hajaitwa na muumba...BETTER LATE THAN NEVER
Kumbe hata na wewe unaijua MIWAYA,basi umepita kwingi mamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…