Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Mie nampenda sana Mungu, naamini maandiko yake pia, Ila sioni ubaya wa yeye kuendelea na music kama dhamila yake ilikua ni kuburudisha. Kama alikua Na dhamira nyingine ni uamuzi mzuri. Kama kasisitiza mziki wake usiuzwe ni sawa Ila he atakubali kugawa Mali alizopata kupitia huo mziki?
 
Mzee kama umeamua hongera, kusema kuwa nyimbo zako zisichezwe Hiyo sio saw a uwez futaaa uloyoyatenda ten a huo n ushuhuda mzur acha wazitumie ili w engine wabadilike wataposikia mwimbaj huyu amebalika nao watashawishika kubadilika.
 
Amepima Ukienda Kule India Mwambie Waziri Imooooooooo?
 
L
Tatizo sio taarabu ni ufuska ndio unamfanya alie huenda majibu ya vipimo ndio vimemfanya ahamie upande huo na ndio kilichokuwa kinamliza
Umesema vema. Taarabu siyo dhambi. Kama alitumia taarabu kama njia ya kutenda dhambi ni tatizo lake binafsi.
Kuna viongozi wanatumia nafasi zao kutenda maovu. Huwezi sema taasisi hizo ni za dhambi.
 
Huo msikiti watu walivyo wanafki watauenzi kama maka kumbe ni pesa za mafuska mavuta bangi na matapeli na wafugaji wa kitimoto.
Kuwa na hekma japo kidogo. Bakhresa kajenga MTORO na hakuna hicho unachosema sembuse diamond!
 
Mwanadamu ni wa ajabu sana, yaani jamaa kakusanya pesa nyingi kupitia huo mziki halafu anakuja na gia eti anamrudia Mungu kwani hapo kabla hakufahamu kuwepo kwa Mungu. Ni unafiki.
Toba imeekwa kwa watu kama yeye, ambao wanajua kama hili nnalofanya ni kosa lakni inalifanya, bahati nzuri Mungu si mwanadamu, kama mungu angekua mwanadamu angekua na mawazo kama yako, kila kheri ustadh mzee Yussuf
 
Hivi atapata msamaha kwa Allah kweli?au anajidanganya? Alishamkosea Mungu huyu na watu wengine ,watu wamevunja ndoa zao kwa ajili ya taarabu yake .Sasa Mungu atampa msamaha je wale aliewakosea?
Wapo walofanya dhambi kubwa kuliko huyo na Allah aliwasamehe, na leo walitajwa tunasema radhiallahu anhu
 
Habar. Allah atamsamehe. Kuhusu pesa alizochuma kupitia mzikia pia Allah atamsamehe mfano mtu alifanya kazi ya riba akiomba toba Allah akimsamehe basi amesamehe kwa kukitakasa kila alichoki huma kupitia riba ila sharti asirudie. Hivyo nayy Allah atamsamehe kwa kila kitu
 
Mwanzo wa uzi nimesema, ibiliis wataumia sana kwa habari hii, nadhani maneno yangu hayajaanguka,
 
Hivi atapata msamaha kwa Allah kweli?au anajidanganya? Alishamkosea Mungu huyu na watu wengine ,watu wamevunja ndoa zao kwa ajili ya taarabu yake .Sasa Mungu atampa msamaha je wale aliewakosea?
Allah ni mwingi wa huruma na mwenye kusamehe, anampenda afanyaye toba ya kweli... Walikuwepo majeuri kwa majeuri na walisamehewa sembuse yeye.
 
watu wakifanikiwa hawakos kasaro hvyo bac awagawie mafukara pesa zote alizozpata kupitia huo mzk ili tujue kweli ametubu.
 
Ngoja tumkumbushe Mfalme Mzee Yusuf ''alivyoliharibu'' Jiji lote la Dar-es-Salaam, Tanzania kuanzia ukumbi maarufu wa ''Lango La Jiji'' na kumbi zingine za vitongoji vya miji ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla.

Jahazi Modern Taarab - Mkuki (Live)

Source: Zenji Nia

Huko kote ameshavuka ndgu na ww fanya umrudie muumba wako, Dunia mapito.
 
Habar. Allah atamsamehe. Kuhusu pesa alizochuma kupitia mzikia pia Allah atamsamehe mfano mtu alifanya kazi ya riba akiomba toba Allah akimsamehe basi amesamehe kwa kukitakasa kila alichoki huma kupitia riba ila sharti asirudie. Hivyo nayy Allah atamsamehe kwa kila kitu
Sharti lake hizo pesa zote anatakiwa azitoe kwa maskin na mayatima, hapo toba yake itakua imetakasika.
 
Back
Top Bottom