Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Wikii hii alikuwa anapiga show mkoa wa Lindi, pale Police, yamempata yapi huko!!
Ukute aliokota kimwana huko halafu kutoka kaja kusikia demu ana miwaya keshaua wengi
Ila bora kachagua fungu jema....kumrudia muumba kabla hajaitwa na muumba...BETTER LATE THAN NEVER
 
Raia wanasema ni sembe imekuwa ngumu Tanzania wengine wanasema bacteria wengine wanasema uzushi wengine wamekaa kimya kama mimi.
 
Hivi atapata msamaha kwa Allah kweli?au anajidanganya? Alishamkosea Mungu huyu na watu wengine ,watu wamevunja ndoa zao kwa ajili ya taarabu yake .Sasa Mungu atampa msamaha je wale aliewakosea?
 
Wale wanamuziki waliokufa morogoro walisema alihusikaga kama kweli Mungu amsamehe
 
Mwanadamu ni wa ajabu sana, yaani jamaa kakusanya pesa nyingi kupitia huo mziki halafu anakuja na gia eti anamrudia Mungu kwani hapo kabla hakufahamu kuwepo kwa Mungu. Ni unafiki.
Wanafiki wakubwa watakuwa wale wenye kuungama na kuungamisha wenzao

Hivi milango ya toba ipo kwa ajili ya nani??
 
Hana akili huyo. Aliemwambia mziki ni dhambi nani? Aseme tu mziki wa taarab kwa sasa umekosa soko asilete zisingizio vya dini.
Kama hujui sabab zake muache na maamuzi yake
 
Back
Top Bottom