Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi kutakuwa na lingine alikuwa analifanya ndilo linalomtoa machozi..Mziki ni dhambi?
AaaaminEnyi mlio amini! Tubuni kwa Mwenyezi Mungu toba iliyo ya kweli! Asaa Mola wenu Mlezi akakufutieni maovu yenu na akakuingizeni katika Pepo zipitazo mito kati yake, siku ambayo Mwenyezi Mungu hatamdhalilisha Nabii na walio amini pamoja naye. Nuru yao inakwenda mbele yao na pande zao za kulia, na huku wanasema: Mola wetu Mlezi! Tutimilizie nuru yetu, na utughufirie! Hakika Wewe ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
alilofanya linatoshaAmpe Yesu MAISHA (ahokoke) hapo ndo atakuwa ameshinda la sivyo Hamna kitu
Hujaambiwa muziki ni haramu ila kile ukitoacho kwa kupitia muziki ndicho haramu,Je una uhakika Mungu alitoa vipaji vya mziki,unasoma wapi au umepata wapi hiliSio kila mtu anaweza kufanya mziki, mziki ni special talent ambayo Mungu amewajaalia watu wachache sana. Sasa kama kufanya mziki ni haramu, Mungu alitoa hivi vipaji vya nini? Kwa matumizi yapi labda? Nawaza tu msinirushie mawe
Kaswida kwaiyo dhambi sioNdio, muziki ni haramu kwa waislam
HahahahMan Fongo atawastaafisha wengi
ha ha ha ha ha ha ha watu na majibu yao ya mwendokasiiiiii, eti huenda vipimo ndio vimemfanya alie!Tatizo sio taarabu ni ufuska ndio unamfanya alie huenda majibu ya vipimo ndio vimemfanya ahamie upande huo na ndio kilichokuwa kinamliza
Mtamuongezea kilio mkuu.Aiseeee, basi poa kama ni kweli.
![]()