Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Habari za jioni wanajamvi.
Taarifa nilizozipata punde zinasema mfalme huyo wa taarabu anaacha rasmi mziki huo na kumrudia mungu.
Mungu amjaalie wepesi afanikiwe katika dhamira yake

UPDATES;

Mzee Yusuph ameamua kuachana ma Muziki na kumrudia Mungu wake na amewataka watu wote wamsamehe ili apate msamaha kwa Mola wake.

Mzee Yusuph Ameapa kuto kujihusisha na Muziki na kutaka Nyimbo zake zisipigwe tena kwenye Media zote. Mzee Yusuph alionekana analia kwa uchungu katika msikiti wa Bongoni Ilala na kujutia yale aliyokuwa akiyafanya enzi za Ujahili wake.

Keshapata mtaji,bora aaachane na hayo mambo basi!
 
Mpeni muda kidogo....huyu sina shaka atarudi kwenye mipasho yake hata mwaka hauishi.
Yote yanawezekana, maana hapo ibilisi ndio anarudi no.3 anavuta mafta anatia 4 akiitafta 5.. Ni hatar.. Ibilisi anafanya kila awezalo
 
Kashatajirika sana yule jamaa kwa sisi tumaomjua.ila afadhari kaacha maana alikuwa ni muhuni sana.
 
Mimi sielew maana nimewauliza vyanzo vya karibu na maswahiba zake wanasema hawana taarifa yyte juu ya hili tena wanadai wanaona tu.mitandaon
Halaf mnasema kaacha jee bendi yake inafanya kazi maana kuna msanii wa taarab wa kundi amepost akuwasisitiza mashabik kuwa leo jahazi modern taarab itapiga show bongo kama kawa
 
Mbn leo wana show ya jahaz kwa mujib wa msanii wake ndani ya jahazi.modern taarab. Leo wana show kama kawa?
 
Hongera zake. Ni jambo la heri sana maishani kumrejea Muumba wako.
 
Taaraabu inauhusiano wa moja kwa moja na:
Kuwa na elimu ndogo;
Chaguo la mashoga;na
dini ya watu wa pwani
 
Sio nasaka kiki mbona sauti yake siisikiii akitamka mwenyewe?
 
Niliwahi kusikia yeye pia ni miongoni mwa waabudu shetani(devil worshipper). Nahisi hilo ndo linamfanya alie machozi au.....
 
Niliwahi kusikia yeye pia ni miongoni mwa waabudu shetani(devil worshipper). Nahisi hilo ndo linamfanya alie machozi au.....
Hili si la kusikia, mimi kuna bar huyu jamaa alikuwa akifanya show zake ni lazima aje saa nne asubuhi wakati wa kufunga vyombo, atawasha udi zake hapo anaondoka basi kurudi kwake mashabiki wake wanasema anakuja usiku mkubwa na anaimba nyimbo mbili au tatu tu, sasa hilo nyomi ndio usiseme.

Kuna kitu huyu jamaa kimemsibu wala si bure.
 
Na hela alizochuma kwa mziki kazipeleka kwa mwenyewe shetani?
 
Back
Top Bottom