Umesema vema. Taarabu siyo dhambi. Kama alitumia taarabu kama njia ya kutenda dhambi ni tatizo lake binafsi.Tatizo sio taarabu ni ufuska ndio unamfanya alie huenda majibu ya vipimo ndio vimemfanya ahamie upande huo na ndio kilichokuwa kinamliza
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mziki ni dhambi?
Amerudisha na fedha alizochuma kwa dhambi?au kaziweka benki anatumia taratibu
Kwetu sie.Mziki ni dhambi?
Kuwa na hekma japo kidogo. Bakhresa kajenga MTORO na hakuna hicho unachosema sembuse diamond!Huo msikiti watu walivyo wanafki watauenzi kama maka kumbe ni pesa za mafuska mavuta bangi na matapeli na wafugaji wa kitimoto.
Toba imeekwa kwa watu kama yeye, ambao wanajua kama hili nnalofanya ni kosa lakni inalifanya, bahati nzuri Mungu si mwanadamu, kama mungu angekua mwanadamu angekua na mawazo kama yako, kila kheri ustadh mzee YussufMwanadamu ni wa ajabu sana, yaani jamaa kakusanya pesa nyingi kupitia huo mziki halafu anakuja na gia eti anamrudia Mungu kwani hapo kabla hakufahamu kuwepo kwa Mungu. Ni unafiki.
Wapo walofanya dhambi kubwa kuliko huyo na Allah aliwasamehe, na leo walitajwa tunasema radhiallahu anhuHivi atapata msamaha kwa Allah kweli?au anajidanganya? Alishamkosea Mungu huyu na watu wengine ,watu wamevunja ndoa zao kwa ajili ya taarabu yake .Sasa Mungu atampa msamaha je wale aliewakosea?
Allah AKbarTakbiiiiiiiiirrrrrr
Atawagawia Maskini na Mayatima.Na Mali zake haraam achome moto
Allah ni mwingi wa huruma na mwenye kusamehe, anampenda afanyaye toba ya kweli... Walikuwepo majeuri kwa majeuri na walisamehewa sembuse yeye.Hivi atapata msamaha kwa Allah kweli?au anajidanganya? Alishamkosea Mungu huyu na watu wengine ,watu wamevunja ndoa zao kwa ajili ya taarabu yake .Sasa Mungu atampa msamaha je wale aliewakosea?
"..... Hakika mziki ni shetani...."Kaswida sio dhambi, huu muziki wa vinanda, gitaa n.k ndio haramu
N.B mimi sio muislam ila nina rafiki ustaadh huwa ananipa mawaidha
Huko kote ameshavuka ndgu na ww fanya umrudie muumba wako, Dunia mapito.Ngoja tumkumbushe Mfalme Mzee Yusuf ''alivyoliharibu'' Jiji lote la Dar-es-Salaam, Tanzania kuanzia ukumbi maarufu wa ''Lango La Jiji'' na kumbi zingine za vitongoji vya miji ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla.
Jahazi Modern Taarab - Mkuki (Live)
Source: Zenji Nia
Sharti lake hizo pesa zote anatakiwa azitoe kwa maskin na mayatima, hapo toba yake itakua imetakasika.Habar. Allah atamsamehe. Kuhusu pesa alizochuma kupitia mzikia pia Allah atamsamehe mfano mtu alifanya kazi ya riba akiomba toba Allah akimsamehe basi amesamehe kwa kukitakasa kila alichoki huma kupitia riba ila sharti asirudie. Hivyo nayy Allah atamsamehe kwa kila kitu