Bongo wakina magari nwijaku mandonga ndy waheshimiwa wana wathamini nkHuyo kijana angekuwa mtanzania si ajabu hiyo teknolojia yake isingefika popote, maana chanzo kikuu cha kodi nchi hii ni ushuru wa magari, na wamiliki wa vituo vya mafuta na wafanya biashara wa mafuta asilimia kubwa ni viongozi
Umekurupuka mkuu..😂😂Uwongo.
Mnaijua 100km/sec nyie?
Yaani itoke Dar hadi chalinze kwa sekunde 2?
Hata ndege haiwezi
Ulijuaje? Mbona hukusema kabla kuwa unajua huyu mgunduzi usalama wake uko mashakani kabla ya kujibu humu jf?Nilijua tu hili lingetokea.
Mi mwenyewe mkokozi nimepaelewa hapo ila wewe umekwama wapiUwongo.
Mnaijua 100km/sec nyie?
Yaani itoke Dar hadi chalinze kwa sekunde 2?
Hata ndege haiwezi
Mkokozi🤣Mi mwenyewe mkokozi nimepaelewa hapo ila wewe umekwama wapi
NdiyoMkokozi🤣
View: https://youtu.be/UTLrEFErVawRaisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai ametengeneza chombo ambacho kinaitwa “Microsonic energy device”kinachogeuza mawimbi ya radio kuwa umeme.
Pia amedai gari hiyo inaweza kutoko 0 mpaka 100km/h ndani ya sekunde mbili.
Soma zaidi hapa: Move Over, Elon Musk: Zimbabwean Inventor Unveils Game-Changing Car That Runs on Radio Wave
Huyu jamaa ni hazina ya Afrika
View: https://youtu.be/UTLrEFErVawRaisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai ametengeneza chombo ambacho kinaitwa “Microsonic energy device”kinachogeuza mawimbi ya radio kuwa umeme.
Pia amedai gari hiyo inaweza kutoko 0 mpaka 100km/h ndani ya sekunde mbili.
Soma zaidi hapa: Move Over, Elon Musk: Zimbabwean Inventor Unveils Game-Changing Car That Runs on Radio Waves
Ngoja sisi tuendelee na nyuzi za kugegedana wenzetu wakiwa mahabara kufanya ugunduz wa kusaidia duniaNg
Shitholes kwa mujibu wa Trump zitamsaidia nini mgunduzi huyo?
Siku za mbele, hapa hapa Tanzania na tena basi Afrika, tutakuwa na maendeleo makubwa katika maarifa ya nyanja na ugani wa sayansi ya umeme... Wala usihadaike na kiingereza cha Transista, rektifaya za silikoni, MOSFETI, Sakiti Vibanzi Jumuifu ndogo ama kubwa... Haya bado ni mambo ya pembezoni mwa 'ujuaji' wa mambo...
Labda bado haujaoneshwa ni namna gani hata sayansi ya umeme >imedumazwa< kwa makusudi... Dhana za 'volti', 'ampia' na 'ukinzani' ni >kujua mambo ya nishati ya umeme kwa sehemu<...
Maxwell Chikumbutsu wa Zimbabwe anachokisa<... Usomi wa 'kikasuku' ni ushamba taslim; ni 'mzigo'. Sisi watu wa Afrika leo hii, wengi wetu, tuna adha ya >'Akili ya Kimaskini'<. Hii inatuacha na haiba ya kujibeza, kujikataa, kujiona hatutoshi na tumepungukiwa... Huu ni >'udunya'< wa kujitakia... Mtu hauwi 'akilikubwa' kwa sababu unaongea, kuimba, kuzuga kama 'mzungu'; mzungu naye ni mtu, tena katika jamii ya wazungu kuna >'wahuni' wenye ufundi wa michezo na hadaa za 'kula na vipofu'<...
Bingwa hebu tuelezee hii teknolojia inafanyaje kazi kwa kimatumbi tuelewe maana hio lugha hata raisi wake hajamuelewa.....Huyu jamaa ni hazina ya Afrika
Anahitaji ulinzi
View: https://youtu.be/UTLrEFErVawRaisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai ametengeneza chombo ambacho kinaitwa “Microsonic energy device”kinachogeuza mawimbi ya radio kuwa umeme.
Pia amedai gari hiyo inaweza kutoko 0 mpaka 100km/h ndani ya sekunde mbili.
Soma zaidi hapa: Move Over, Elon Musk: Zimbabwean Inventor Unveils Game-Changing Car That Runs on Radio Waves
Huyu jamaa kaamua kudefy physics live and direct

Sisi UCHAWA unatosha.

Ni mwendo wa kamba to kamba unachukua uchawi gizani unauleta mwangani, pale ambapo umesema rais hajamwelewa ndio ametamka hivyo sasa hivyo teknolojia ya uchawi inafanyika waziwaziBingwa hebu tuelezee hii teknolojia inafanyaje kazi kwa kimatumbi tuelewe maana hio lugha hata raisi wake hajamuelewa.....
Inaonekana unabisha right,unafikiri Rais kwenda kumpongeza hajaona majaabu hayoImeniacha na maswali:
1) Radio waves carry low energy. How can you harness this low energy to power a 1405 kg car?
2)Bugatti Chiron Super Sport is equipped with a V8 engine with four turbines that deliver up to 1600 hp, allowing the car to accelerate to a hundred in about 2.6 seconds. How does a car with a 380 torque motor achieve 0 to 100 km/h in 2 seconds?
🤣🤣🤣🤣Ni mwendo wa kamba to kamba unachukua uchawi gizani unauleta mwangani, pale ambapo umesema rais hajamwelewa ndio ametamka hivyo sasa hivyo teknolojia ya uchawi inafanyika waziwazi
Kesho kuna mwingine atasema anatengeza gari linalotumia umeme wa upepo, sikua naamini km kuna mtu anaweza akawekewa sahani 2 moja ikajazwa misumali na nyingine ikajazwa viwembe kisha akaanza kutafuna km anakula ugali na mboga na akamaliza misumali na viwembe
Hujanielewa uliza
Bado naendelea kucheka kila sentensi 😂😂😂😂😂Ni mwendo wa kamba to kamba unachukua uchawi gizani unauleta mwangani, pale ambapo umesema rais hajamwelewa ndio ametamka hivyo sasa hivyo teknolojia ya uchawi inafanyika waziwazi
Kesho kuna mwingine atasema anatengeza gari linalotumia umeme wa upepo, sikua naamini km kuna mtu anaweza akawekewa sahani 2 moja ikajazwa misumali na nyingine ikajazwa viwembe kisha akaanza kutafuna km anakula ugali na mboga na akamaliza misumali na viwembe
Hujanielewa uliza
Kwanini hujaamini nilichokwambia?Bado naendelea kucheka kila sentensi 😂😂😂😂😂
Nimeamini pasi na shaka mpaka nimefurahi sana 😂Kwanini hujaamini nilichokwambia?