Mzimbabwe Maxwell Chikumbutso ameunda gari inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio

Mzimbabwe Maxwell Chikumbutso ameunda gari inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio

Yeye anasema ameunda kitu kinaitwa micro sonic energy device ambacho kinavuna nguvu itokanayo na mawimbi ya sauti ambayo yamejaa kwenye mazingira na kuigeuza kuwa umeme. Amesema amegundua siri ya njia ya kuyafanya hayo mawimbi kuwa umeme wenye nguvu kupitia hicho kifaa chake ambapo yanaweza kuchaji battery battery ikasukuma mota na gari lake halihitaji kuchajiwa wala si hybrid kusema litahitaji mafuta na bado linaweza kutumika kama chanzo cha umeme kwenye nyumba.
Huyu jamaa kama ya magari alianza na TV ambazo hazitumii umeme wala sora kwa kuweka hicho kifaa chake nyuma ya TV yenyewe.
Naona akikiboresha au tayari anaweza kutengeneza mfumo ambapo mtu ananunua na kuunga kwenye nyumba yake anakuwa hana haja tena ya kulipia umeme.
Anadai alipoenda Silcon valley walikuwa hawaamini na alipotaka ku patent ugunduzi wake waligoma kwa sababu unapingana na sheria za fizikia.
Akiwa Silicon valley pamoja na mwenzake alisema walipewa sumu na mwenzake alikufa ila anasema kwa neema za Mungu alisurvive na ndiyo Rais akamwita nyumbani Zimbabwe.
 
Anashindwaje kuendesha hiyo gari na kuthibitisha kwamba inafanya kazi kama anavyodai inafanya kazi?
Phewww

Hili linaweza kuwa swali la kipuuzi...

Je, hata kama Chikumbutsu angeonekana anaendesha gari, kana ni gari ya kutumia umeme, na kumbe ni gari inayotumia utundu mwingine wakinishati na uwezo--utajua tu kwa kutazama kwenye 'Youtube'?

HAPANA, tabia ya kuwa mpondeajipondeaji inaweza kuwa nasibu ya yote mawili, (1) kutengeneza mazingira ya Udadisi ili kuchimbua ukweli wa jambo, ama (2) Kutokubaliana na shauri la mwingine linaloweza kuwa 'limekuzidi kimo' na halafu hauna nidhamu kibinafsi iliyobora ili ku-JUA ilivyobora...

Daima ni vema kuwa na 'kiasi', hata katika 'upinzani'; kwa kuwa 'Dunia ina Mengi'... Kuna mengi kwenye 'Sayansi' huenda hayako kama unavyofundishwa khasa 'Darasani'--iwe ulichofundishwa kuanzia shule ya msingi hata chuo kikuu, Je, utajua?

Haya hufahamika kwenye 'Ugani tu'... Daima ni 'Siri za Kambi'... Tekinolojia ina mengi ya namna hii... Ikwa unaamini sana mambo ya 'Sheria ya Ujihifadhi wa Nguvu za Kinishati'--Jiulize 'Nishati' ni kitu gani khasa?

Mambo ya 'Nishati' ni kabila moja na 'Shauri la Mungu'...

Kama vile kwenye Mashauri ya Dini kuna shauri la 'NENO', kwenye sayansi kunaibuka nadharia ya khabari--'Information Theory', Je, kuna uhusiano gani wa 'khabari' na 'nishati' kwa mfano?

Noumenoni ya M(i)uundo, simetria na umodelishi ni jambo linaloweza kupitiliza nadharia za 'nishati' na 'Sura' za mambo--kutoka ukawaida kuelekea usikawaida...

Kama huu unaivu wa kupondeapondea, ungebaki kwenye akiba ya maneno, basi kuna mashauri yangeweza kufikiwa ilivyobora... Kwa mfano, kwa nini uvumbuzi wa Chikumbutsu 'uuzie nyago' kuhusiana na magari tu?

Kiukweli khasa wa mambo, tekinolojia ya Chikumbutsu inaweza kutumika hata kwenye vyombo vidogo vya uchukuzi kama baiskeli, pikipiki, guta na hata mikokoteni...

Siku za mbele, ndani ya miaka 15 kuanzia hii 2025, hii tekinolojia ya ZPE (Tekinolojia ya Chikumbutsu) inakwenda hata kutumika kutengeneza vyombo vinavyoelea hewani--hata mikanda tu ambayo mtu anaweza kuvaa na akawa na uwezo wa kuelea--hata viatu vya uwezo huu. Hill hutalisikia kwa sasa, lakini ni bora ufahamu kujua haya yote ni mawezekano na labda kuna wengine hapa hapa Duniani tayari hivi ni vitu wanaishi navyo kila siku...

Sasa, Mambo ya 'Utomaso' yana faida na Khasara yake; kuna namna siyo ujanja kivile...​
 
Huyu jamaa mimi nina wasiwasi ni tapeli, nachojua mawimbi ya redio yanabeba nishati ndogo sana....... Hivyo iwaje kitu kinachokuwa na nishati ndogo hivi kuweza kuendesha gari?
Kuna nanma ame amplify hayo mawimbi
 
Kuna nanma ame amplify hayo mawimbi
HAPANA...

Vinu vya ZPE, unishati wa Nukta Sifuri--huu kugemwa kwa usifa na hadhi za pumzi za kiusumaku umeme, haviopereti kwa sifa na utabia wa 'Amplification'...

Hata kama mtu anasema 'kiusanii' kana ni 'amplification' fulani--potezea...

Ukiwa na sakiti ya umeme, unaweza kufanya uamplisishi kwa kugema pumzi ya unishati mwingine wa 'Pumzi Kubwa' kwa mfumo wa kisakiti ya 'utiririshi wa umeme'--Uelektronishi. Mambo kama 'kuchetua ukinzani' wa kipitishi umeme ili kiweze kuwa na ukinzani unaobadilibadilika kulingana na 'signali'; Transistor ilivyo ni 'transfer resistor'...

Hili kuna namna linaasili ya 'Mifumo ya Unishati wa Kujifungia'--Self enclosed systems... Mambo kama vile kanuni za Uenendo Halijoto, Thermodynamics, vinahusika; hata mambo ya kana kwamba "hauwezi kukila kitumbua chako na kubakia nacho": Law of Conservation of Energy...

Daima kwenye 'Mifumo ya Unishati wa Kujifungia' hawezi kupata kitu kutoka usikokitu...

ZPE ni 'muziki' mwingine... Kujibayanisha na mambo ya usababishiko...

ZPE ni ujinerishi wa 'pumzi za usumaku umeme' kwa uvunaji wa 'kujipimia'... Je, Unatokea wapi huo usumaku umeme?

Huu upo kila mahali--kujipimia huo kwenye sakiti rahisi ya ZPE ni utundu unashahibiana na kuvuna mawimbi ya usumaku-umeme...

Nani kaweka huu 'usumaku-umeme'? Hapo ndipo 'patamu'...

Ni kama vile ukianza kuleta stori za mungu aliyeuumba ulimwengu--Je, huyo mungu naye aliumbwa na nani?

Kwenye mifumo ya Unishati wa Kujifungua kwa Ndani, ndiyo kuna mambo ya usabishiko; ndiyo basi 'stori za Mungu muumba' zinaleta ukakasi... Maana kama alikuwepo Mungu Muumba na kuumba, naye Je, kaumbwa--na nani khasa?

ZPE, ni Unishati 2.0 na Unishati 3.0... Hayo ya Mifumo ya Kujifungia kwa ndani ni unishati 1.0...

ZPE, ni Ulimwengu wote -- Ulimwengu unaoumbika wakati wote... Wakati ni fumbo la 'Akili na Utambuzi'...

ZPE, ni Ulimwengu wote -- Ulimwengu ni maajabu ya Kitu kufanyika kutokea Kutofanyika--'Usikitu' kuwa 'Kitu'

ZPE, ni Ulimwengu wa 'Moja' iliyo ni Yote, katika Vyote na ilivyo ni mote...

ZPE, ni Ulimwengu wa 'Moja' iliyo ni 'Pumzi' na 'Akili' kwa vyote na yote...

Hmmm​
 
Kumbuka ajaenda shule sana kwa hiyo kumwita tapeli ujamtendea haki. Tusubiri kwanza huko mbeleni itajulikana tu.
Itajulikana lini mkuu? haya mambo kaanza kitambo huko tangu anadanganya watu katengeneza TV inayopata nishati kupitia mawimbi ya redio, Leo hii anasema gari
Yaani mpaka sahizi TV zake ilibidi ziwe zimeshajaa vijijini huko maana hata wabunge amabo hawajapelekea watu wao umeme wangezitumia kupigia kampeni
Sikatai kwamba ana kitu kichwani ila katumia science illiteracy ya waafrika kutulisha matangopori
 
Phewww

Hili linaweza kuwa swali la kipuuzi...

Je, hata kama Chikumbutsu angeonekana anaendesha gari, kana ni gari ya kutumia umeme, na kumbe ni gari inayotumia utundu mwingine wakinishati na uwezo--utajua tu kwa kutazama kwenye 'Youtube'?

HAPANA, tabia ya kuwa mpondeajipondeaji inaweza kuwa nasibu ya yote mawili, (1) kutengeneza mazingira ya Udadisi ili kuchimbua ukweli wa jambo, ama (2) Kutokubaliana na shauri la mwingine linaloweza kuwa 'limekuzidi kimo' na halafu hauna nidhamu kibinafsi iliyobora ili ku-JUA ilivyobora...

Daima ni vema kuwa na 'kiasi', hata katika 'upinzani'; kwa kuwa 'Dunia ina Mengi'... Kuna mengi kwenye 'Sayansi' huenda hayako kama unavyofundishwa khasa 'Darasani'--iwe ulichofundishwa kuanzia shule ya msingi hata chuo kikuu, Je, utajua?

Haya hufahamika kwenye 'Ugani tu'... Daima ni 'Siri za Kambi'... Tekinolojia ina mengi ya namna hii... Ikwa unaamini sana mambo ya 'Sheria ya Ujihifadhi wa Nguvu za Kinishati'--Jiulize 'Nishati' ni kitu gani khasa?

Mambo ya 'Nishati' ni kabila moja na 'Shauri la Mungu'...

Kama vile kwenye Mashauri ya Dini kuna shauri la 'NENO', kwenye sayansi kunaibuka nadharia ya khabari--'Information Theory', Je, kuna uhusiano gani wa 'khabari' na 'nishati' kwa mfano?

Noumenoni ya M(i)uundo, simetria na umodelishi ni jambo linaloweza kupitiliza nadharia za 'nishati' na 'Sura' za mambo--kutoka ukawaida kuelekea usikawaida...

Kama huu unaivu wa kupondeapondea, ungebaki kwenye akiba ya maneno, basi kuna mashauri yangeweza kufikiwa ilivyobora... Kwa mfano, kwa nini uvumbuzi wa Chikumbutsu 'uuzie nyago' kuhusiana na magari tu?

Kiukweli khasa wa mambo, tekinolojia ya Chikumbutsu inaweza kutumika hata kwenye vyombo vidogo vya uchukuzi kama baiskeli, pikipiki, guta na hata mikokoteni...

Siku za mbele, ndani ya miaka 15 kuanzia hii 2025, hii tekinolojia ya ZPE (Tekinolojia ya Chikumbutsu) inakwenda hata kutumika kutengeneza vyombo vinavyoelea hewani--hata mikanda tu ambayo mtu anaweza kuvaa na akawa na uwezo wa kuelea--hata viatu vya uwezo huu. Hill hutalisikia kwa sasa, lakini ni bora ufahamu kujua haya yote ni mawezekano na labda kuna wengine hapa hapa Duniani tayari hivi ni vitu wanaishi navyo kila siku...

Sasa, Mambo ya 'Utomaso' yana faida na Khasara yake; kuna namna siyo ujanja kivile...​
Hivi..... Kuna ugumu Gani bwana Maxwell kuchukua hii teknolojia yake ya kuzalisha umeme na akamtunuku hata tajiri mmoja kwenye fleet ya magari hapo Zimbabwe kama proof of concept?
Kuna tajiri gani atakataa kutoa mlungula ili gari zake zijiendeshe bila mafuta?
Yaani anafuatwa na rais wa nchi yake ambaye siku 3 baadae anafuta video zote za kujihusisha nae katika mitandao ya kijamii
Yaani avumbue free energy afu eti mabepari wamkosekose na sumu? Yaani atake kuharibu uchumi wa dunia afu eti anadunda tu?
Mimi sio kwamba napinga kwa mabaya , napinga kwasababu sheria za fizikia nimezisoma na nimezielewa na kama huyu jamaa angekuwa amefanya kile ambacho anaclaim kafanya basi kila nchi ingekua inampapatikia
 
Akiwa Silicon valley pamoja na mwenzake alisema walipewa sumu na mwenzake alikufa ila anasema kwa neema za Mungu alisurvive na ndiyo Rais akamwita nyumbani Zimbabwe.
Rais huyu huyu ambaye kafuta video zote za uhusiano wake kwenye website za serikali?
 
Hivi..... Kuna ugumu Gani bwana Maxwell kuchukua hii teknolojia yake ya kuzalisha umeme na akamtunuku hata tajiri mmoja kwenye fleet ya magari hapo Zimbabwe kama proof of concept?
Kuna tajiri gani atakataa kutoa mlungula ili gari zake zijiendeshe bila mafuta?
Yaani anafuatwa na rais wa nchi yake ambaye siku 3 baadae anafuta video zote za kujihusisha nae katika mitandao ya kijamii
Yaani avumbue free energy afu eti mabepari wamkosekose na sumu? Yaani atake kuharibu uchumi wa dunia afu eti anadunda tu?
Mimi sio kwamba napinga kwa mabaya , napinga kwasababu sheria za fizikia nimezisoma na nimezielewa na kama huyu jamaa angekuwa amefanya kile ambacho anaclaim kafanya basi kila nchi ingekua inampapatikia
Okay...

Dhana ya 'Utajiri' ni shauri lenye uhusiano na pia maingiliano na 'Information Theory'... Ikiwa unashindwa kubaini ni kipi kinamfanya huyu 'Tajiri' na yule mwingine kuwa 'Maskini' basi haujafahamu nafasi ya 'Mifumo' katika kukadirisha sura ya (1) wenyenacho na (2) wasio nacho...

Uono Mifumo, na pia Ufikirifu Mifumo unahitaji 'Urazini' na 'Dhamira' ya ku-JUA na si tu kujua...

Urazini ni kule kujiuliza uliza maswali na kujijibu mwenyewe akilini mwako... Kuna tofauti ya kujua na ku-JUA...

Unafikiri nini unakipata unaposoma 'thought experiment' ya Maxwell kuhusiana na 'Maxwell Daemon'?

Matajiri na Maskini wapo katika huu ulimwengu wa hii Dunia kwa sababu za kimfumo...

View: https://www.youtube.com/watch?v=q6DgW64HkC8

Huu mfumo hauruhusu 'watu wote kuwa matajiri'--ama tuseme watu wote wawe 'Maskini'... Mataifa/Nchi-Dola vivyo hivyo.

Huu mfumo unakuwepo kwa dhana ya kupumbaza umma wote ya kwamba kuna 'uhaba wa Rasilimali'--kwa hivyo, katika safari ya mtu kutafuta kukwea kilima cha 'Kujionesha Fahari ya Mapenzi yake binafsi -- Self Actualization' basi inampasa acheze mchezo wa 'kimikakati'--mikakati ya kichoyo...

Tekinolojia zote zina mapitio yake hadi kuja kufaa matumizi yake kwa ufanisi na manufaa yake--hili siyo tofauti kwa tekinolojia za ZPE(Tekinolojia za akina Chikumbutsu). Ni kana vile kuna 'ridhaa' kutoka kwa 'wakubwa fulani'... Siyo tu uholela wa ukuaji wa nguvu za uzalishaji mali na nyenzo zake...

Kwa mfano, unaweza usiwe unafahamu, hata leo unachokiona katika maendeleo ya tekinolojia ya 'Akili Bandia' na 'Vyombo kujiendesha Vyenyewe' ni mchakato unaotengenezewa njia kwa ajili ya mapinduzi ya kiuchukuzi kwa mifumo ya vyombo vyenyewe vya uchukuzi... Ndani ya miaka 15 ijayo vitakuwapo vyombo vinavyoruka hewani na kujiendesha vyenyewe kwa sehemu kubwa...

Unishati nukta sifuri, unamafungamano na Unishati 2.0 na Unishati 3.0; ungalidadsisi haya ndiyo 'mashikolo gani'(?) basi ndiyo ungeotea kwa nini na kwa vipi mambo ya ZPE yanaingiliana na nasibu ya 'Ungamuzi wa Kikwantumu' na 'Usentienti'...

Mradi wa STARGATE ndiyo labda kwa kwanza kwa 'Umma' kufahamishwa--jitihada za kurasmisha mambo yaliyokomaa kwenye 'miradi ya uwani'.

Ni hao hao 'Matajiri' wanaokadirisha mifumo ya 'Miradi ya Hadharani' na 'Miradi ya Uwani'... Sasa jichanganye kujifanya 'umejua'--utakuja kujua kumbe 'haujui'... Haulazimika hata 'kujitangaza', utafahamika kwao kabla hata 'haujafanya maajabu'... Usifikiri mambo ya 'haki za uvumbuzi' ndiyo tikiti ya 'Umaarufu/Umashuhuri/Mchongo wa Utajiri'... UTAJIDANGANYA; hivyo ni vyombo vya kudhibiti kipi kinarasmishwa na kipi hakirasimishwi kwa maslahi ya 'Statusi Kwou'...

View: https://www.youtube.com/watch?v=k9dctUcTclY
 
Achana na BBC (Kufika huko unless unataka publicity ili upige pesa za wawekezaji) Kina Toyota, kina Tesla na wadau wa Nishati wa nchi zote wangekuwa wanamsumbua dogo na kuhangaika ni jinsi gani wanaweza kupata patent; hii issue sio gari tu ukiweza ku power generator basi unaweza ku power chochote kile.., hivyo huyu inabidi awe karibu na kina Faraday na aweke kabisa theories zake..., Ila ndio hivyo lugha za kibiashara huchelewi kuambiwa hio inachofanya ni kutumia nishati fulani kidogo ili kuwasha nishati nyingine nyingi ili iweze kufanya kazi....

Na issue za siasa huchelewi kuambiwa dogo kuna makampuni ya mafuta yalimpiga biti ili ashindwe kuweka sawa issue yake (ingawa kumbe ukweli jambo halikuwa viable)

Kwahio mpaka tukifahamu the HOW hii iendelee kuwa Story kama nyingine nyingi..., By the way hivi zile battery za Mengi za kuchaji smartphone sijui kukaa na chaji wiki ziliishia wapi ?
wazungu wana wivu,sana,nilisoma story flan maeneo ya kibosho watu walikuwa wakitengeneza magobore,na walitumia,vyuma vyembamba kamarisasi,vyuma hivi walikuwa wakifuata upareni,kule upaareni kuliwa na ukoo mooja,walikuwa wanajua udongo wenye madini ya chuma,na walicoma huo udongo mpaka ukayayuka na wakatengenea vyuma mbalimbali,lakini unaambiwa wakoloni walivokuja waliwakata mikono,,pia walikuta wenyeji wa TANGANYIKA yote wakijibu kwa mitishamba na walipona,na ata kama mtu alikuwa amevunjika,wanamyoosha alafu wanamkanda na dawa za asili zilizochemshwa,then wanafunga kwa nvu kutumia ngozi za wanyama zilizokauka,,then,kila sikua anafunguliwa alipofungwa hiyo ngozi,wanamcua alaf wanamfunga tena,,,,walifanya ivo mpaka anapona,lakini unaambiwa walipigwa vita balaa,,leo hii tumegundua madawa ya kizungu hayana issue,unatibu ugonjwa huu alaf unaua figo kwa ajili ya kemikali,pia bibi zetu walikuwa wanajifungua kwa kutumia njia za asili bila shida!!!,,,ok,lakini pia walikuta tuna imani zetu na mitume wetu kama kina mwanamarundi ya yule malkia wa singida,kina mkwawa,,,unaambiwa mkwa alipigana na wajerumani lakini walimuua,,ata malkia wa singida alipigana na wazungu,,,lakini walimuua!!!wewe unafikiri kwa nini walimuua patrick lumumba,gadafi na wengeo????sasa unasikia TRUMP ametishia s.afrika kuwawekea vikwazo kwa sababu eti wanabagua jamii flani,,,lakini anaona aibu kuitaja hiyo jamii,,,lakini ki ukweli ni makaburu,anataka washirkishwe kwenye maamuzi ya serikali[hakuna asiyejua kwamba TRUMP hatupendi wa2 weusi}
 
Back
Top Bottom